Search results

 1. Elly B

  Wimbi la Kuhama Vyama Bado Kupita!

  Naona kuna kundi lingine ambalo limeachwa nyuma kwenye hili wimbi la kuhama. Kuna wale waliotangaza nia wakiwa watumishi wa umma, mawaziri na wanaofanana na hao. Hawa nadhani wameamua kusubiri muda wao uishe halafu nao waamue wanachofanya. Naona kuna kundi limekuwa kimya ghafla. Na siamini kama...
 2. Elly B

  Watanzania wanataka kuona tofauti ya "Watawala" na "Waomba ridhaa"!

  Wapendwa, Kila baada ya muda fulani huwa napata sababu ya kuona tofauti kubwa iliyopo kati ya Tanzania na nchi nyingine duniani. Na ni wazi kuwa hii ni nchi ya tofauti. Nchi ambayo inaweza kuvumilia mambo mengi ambayo hayavumiliki kokote. Nchi ambayo ina watu wenye kipaji cha kubebwa na upepo...
 3. Elly B

  Ipo shida uandikishaji kwa BVR

  Wapendwa, Nimekuwa natafakari huu mfumo wa BVR na athari zake kwa maana ya faida na hasara zake. Lakini nimekuwa najikuta narudi palepale. Hivi kuna uhakika gani kuwa katika utaratibu huu uandishi unakuwa haurudii? Ni nini kitamzuia wakala kuendelea kuandikisha nyumbani kwake usiku? Nani...
 4. Elly B

  Hivi kuna tofauti ya Uhalifu na Ujasiriamali?

  Nikiuliza hivi siyo kwamba nimeshindwa kufikiri. La hasha! Nadhani nimefikiria na naona bado sipati kuelewa! Kwani inakuwaje hasa hapa kwetu? Mwananchi afanye nini hasa? Huyu ameamua kuuza madafu ili walau watoto wapate kibaba cha unga na wao siku ipite! Tazama anavyopewa jehanum! Huenda baada...
 5. Elly B

  Simchukii mtu, Lakini kwa utaratibu huu tutafika?

  Leo, pamoja na kwamba ningependa kusema sana, sisemi. Ila naomba tuangalie hizi picha mbili, halafu kwa kutumia akili ya kawaida kabisa tuone kama vipaumbele vya serikali vinalenga kumsaidia nani! Napenda nisieleweke vingine. Swala la ulinzi na usalama nalo linapaswa kupewa kipaumbele. Lakini...
 6. Elly B

  Mapinduzi: Maajabu yafuatayo yatatokea Zanzibar Leo!

  Ndugu Zangu, Wakati nafikiria kwa makini maana ya Mapinduzi, nikajiwa ghafla na hii picha yenye utata ya jinsi sherehe ya mapinduzi itakavyokuwa. Kwanza nikaona ni siku ya kihistoria kwa sababu kuna wajukuu waliozaliwa katika mapinduzi hayo ambao wengi hawajui hata ukweli kuhusu mapinduzi...
 7. Elly B

  Komredi George Magombe: Shujaa wetu tusiyemshangilia

  Disemba 15, 2013 dunia ilikumbushwa historia ya Tanzania juu ya Ukombozi wa Afrika, kule Kijijini Qunu katika wasaa ule wa Misa ya kumuaga Shujaa wa Demokrasia na Ukombozi wa Afrika ya Kusini, Komredi Nelson Mandela, Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa fahari kabisa aliieleza dunia juu ya kila hatua...
 8. Elly B

  Bora Kikwete amalize aondoke

  UKISIKILIZA vizuri hotuba ya Rais Jakaya Kikwete ya mwisho wa mwezi uliopita kuhusu kukwama kwa Bunge la Katiba, lazima utamwombea kila aina ya dua kwa Mwenyezi Mungu, kwamba afadhali amalize kipindi chake apishe rais mwingine mwenye umakini na maisha ya wananchi. Niliwahi kusema kwamba iko...
 9. Elly B

  Nashauri hata CCM ijiunge UKAWA!

  Kwa muda mrefu, tangu kuibuliwa kwa tuhuma za ufisadi, ikifuatiwa na kuzorota kwa wazi kwa utendaji wa serikali katika nyanja nyingi, CCM imekuwa ikihaha kujitetea na kutoa maelezo kila kukicha. Mbaya zaidi ni pale hata maelezo hayo yanapokuwa ni ya kitoto na yasiyotosheleza. Mpaka sasa...
 10. Elly B

  CCM,Steven Wassira, hivi ni kwa nini hamuoni aibu kwa unafiki mlio nao?

  Wapendwa, Kuna wakati huwa najiuliza mambo mengi sana, ninapofikiria CCM na uelekeo inaochukua. Kwa sasa imekuwa ni kawaida na naona inakubalika ndani ya chama kwamba kila mtu mwovu anapatiwa hifadhi hata kama uovu wake uko hadharani! Katika kufikiria nimetokea kutoelewa ni kwa nini CCM...
 11. Elly B

  CCM and its Leaders Hypocrisy Can Not Go Unnoticed! Historia Itatuhukumu

  YAPO mambo ukiyasikia ama kuyaona kutoka kwa wanasiasa na watawala wetu fulani ambao taifa linawaamini kuwa wanayo busara ya hali ya juu, unaweza kuangua sio tu kicheko bali kilio cha uchungu! Watanzania wamewasikia baadhi ya wanasiasa na watawala wakifura kwa nguvu na hasira kwa madai kwamba...
 12. Elly B

  Please See if this helps

  Jobs at SOS Children’s Villages Tanzania Electrical Engineers Jobs at IRIS Executive Development Centre Mechanical Engineer Jobs at IRIS Executive Development Centre 8 Waitresses Jobs at Green View Hotel 3 Secretaries Wanted at Green View Hotel Accountant at Green View Hotel in Dar Es Salaam...
 13. Elly B

  Kwa Wapendwa Wabunge wetu!

  Habari Ndugu zangu, Kwa miaka mingi sasa nimekuwa niosikia na kuona, kama ambavyo naamini wengi mmekuwa mkiona na kusikia hii tabia ya ajabu ya waheshimiwa wabunge wetu, na sana wa CCM. Imekuwa ni kawaida sasa (ingawa sijui kama huwa wanafikiria kweli) kwamba mbunge anaposimama kuchangia hoja...
 14. Elly B

  Angalia aina hii ya ajira kama inasaidia

  nimekutana na hii website inayotoa ajira, naomba wadau muangalie halafu mniambie kwa wenye uzoefu inafanyaje kazi. JobofWork.com Home base internet job - 3000$ per month earning.
 15. Elly B

  Ni Kweli Hakuna Anayejua ni Kwa nini Tanzania ni Maskini?

  Ndugu zangu, Kwa muda sasa nimekuwa nikikutana na mishangao ya watu mbalimbali kuhusu majibu rahisi ya viongozi wetu hasa wale waandamizi kuhusu chanzo cha umaskini wetu. Wengi waliotokea kujiuliza na kuuliza swali hilo wamekuwa na mtazamo kuwa nchi ya Tanzania ilipaswa kuwa na hali nzuri...
 16. Elly B

  Mlitegemea Mheshimiwa Rais awapongeze wapinzani?

  Ndugu zangu, Nimefuatilia maoni ya watanzania wengi pamoja na magazeti, bila kusahau tweets za mh. Rais JK kuhusu mchakato tata wa kupatikana kwa katiba mpya. Wengi wamechangia kwa mtazamo wa "wapinzani wameshinda" au "CCM wameaibishwa" na kiasi wamepigia kelele mhe. Rais kugeuza "hotuba ya...
 17. Elly B

  Nape anza kuangalia dignity yako katika jamii na historia ya Tanzania!

  Kwa muda sasa nimekuwa nikilalamikia tabia ya Uropokaji ya Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye. Ni mara nyingi kiondozi huyo wa CCM amekuwa na tabia za kukimbilia kuropoka bila kuangalia athari au ukweli wa kauli zake. Lakini cha ajabu amekuwa siyo muungwa na...
 18. Elly B

  CCM Haina Mafanikio ya kuwaonyesha Watanzania Waielewe!

  Ndugu zangu, Mjumbe mmoja wa Baraza la Wazee la CCM Taifa amependekeza kikaoni Dodoma kuwa dawa kuu ya wapinzani ni kuwaonesha wananchi mafanikio ya chama tawala kwa matendo. Mjumbe huyo ambaye alikuwa Makamu wa CCM Tanzania Bara amesema kuwa wapinzani kama CHADEMA hawatakuwa na la kusema ikiwa...
 19. Elly B

  CCM Should start acting like "Chama Tawala", no other way around...!

  Ndugu wana JF, Katika kupitia makala ,nilikutana na mada hii ambayo nimeona inabeba ukweli usiotakiwa kupuuzwa...... KATIKA mfumo wa demokrasia ya vyama vingi, kazi ya chama tawala na vyama vya upinzani zinatofautiana sana. Kazi kubwa ya chama tawala ni kuisimamia serikali yake itekeleze yale...
 20. Elly B

  Polisi Iache Kujihusisha na Siasa..CCM Haitatawala Milele and so is CHADEMA and others

  Binafsi, kama ilivyo kwa wananchi wengi wa nchi hii, naendelea kusikitishwa na tabia ya Polisi kutumiwa na Serikali kwa maslahi ya CCM. Tabia hii siyo tu inawakosesha wengine haki, bali inafanya wananchi wakose Imani na uadilifu wa Polisi ilinayotakiwa kulinda usalama wa raia na mali zao (siyo...
Top Bottom