Search results

 1. JET SALLI

  Hakuna tatizo miradi mikubwa ya kimkakati kuelekezwa Chato

  NI HASARA SANA KWA NCHI KUBWA KAMA TANZANIA KUWA NA VIONGOZI WASIO HAYA WALA SONI KAMA TULIENAE.Hata aibu haipo na wajinga wanaendelea kusifu ilhali maeneo watokayo hayana kitu chochote na ndugu zao wanakufa kila uchao kwa kukosa huduma mambo yote ni ubabe juu ya ubabe.Nakumbuka mjinga mmoja...
 2. JET SALLI

  Picha: Hospitali ya Rufaa ya Chato iliyowekwa jiwe la msingi na Rais Filipe Nyusi. Kuhudumia takriban watu milioni 18 mikoa ya Kanda ya Ziwa

  Maendeleo hayana chama ila maendeleo yana ukanda, hapa nimemkumbuka mzee Butiku aliyesema hakuna wa kumfananisha na Nyerere kweli ni hakika.
 3. JET SALLI

  Rais kukaa Chato ni gharama kwa Taifa

  Huwezi kuwa perfect leader hata siku moja na ili ufikie viwango hivyo na useme ww ni kiongozi wa wanyonge lzm ujinyime sana la sivyo utajikuta unanyonga wanyonge kwa kulewa madaraka tu na ukafika pahala ambapo ww hujali gharama ila kinachokusukuma ni ile kusema mm ndio Rais bwana.
 4. JET SALLI

  Jinsi DC Sabaya alivyomnasa Afisa Ugani na mtandao wa kitapeli wa Q NET alivyochota mamilioni ya watu

  Yaani unaamka unamkabidhi mtu milioni nne.kazi ipo.Tusipende mtelemko kwenye maisha ndugu zangu hakuna maisha ya hivyo.
 5. JET SALLI

  Jinsi DC Sabaya alivyomnasa Afisa Ugani na mtandao wa kitapeli wa Q NET alivyochota mamilioni ya watu

  Walimu hawa sijui tuwaitaje katika Tanzania hii,yawezekana kada hii ilishavamiwa na vilaza na wapumbavu wengi sana maana asilimia kubwa ya walimu hadi kadi zao za benki wanawakabidhi matapeli yaani huwezi kuelewa kabisa upuuzi wanaoufanya walimu walio wengi.Inasikitisha sana na hawa ndio...
 6. JET SALLI

  Lissu: Naishi kwenye makazi ya balozi(Ujerumani) kwa sababu maisha yangu hayako salama, nitarejea Ubelgiji

  Hatia ni hatia tu huwezi kushinda UCHAGUZI kwa kishindo alafu ukabaki unamuogopa mtu ambae hata wabunge wawili hana nchi nzima na bunge zima.sasa hiyo ni akili au matope.tuache kutawaliwa na ujinga.kama wameshinda kwa HAKI basi wafungue mitandao ya kijamii.Dhamira humsumbua sana mwizi akijua...
 7. JET SALLI

  Serikali iwe makini, isikurupuke kurudisha mtandao wa intaneti

  Ww aliyekwambia serikali imezima internet ni nani,kama hujui mambo ya IT ni afadhali ukae kimya tu kuliko kuanzisha thead usiyojua unaongea nn.
 8. JET SALLI

  Masanja Umechemsha bro!!

  Hivi masanja ndio yupi huyo wakuu?
 9. JET SALLI

  Kuna haja ya Afrika kuwa na Chombo Huru cha kusimamia Chaguzi zote na kuwa na Sauti Moja dhidi ya Mataifa Makubwa

  Umoja wako wa Africa ulishashindwa kila kitu tatizo letu Africa ni unafiki na ulafi wa madaraka na owongo. umoja ulioshindwa kutatua hata mgogoro mmoja wa Congo jirani zetu hapa ndio unataka kuwavika jukumu ambalo halilingani na umri wao.Vijitu vinatumwa kuja kula posho tu na kulishwa maneno ya...
 10. JET SALLI

  Kuna haja ya Afrika kuwa na Chombo Huru cha kusimamia Chaguzi zote na kuwa na Sauti Moja dhidi ya Mataifa Makubwa

  Halafu unaitwa intelligence justice hebu tendea Haki jina lako hilo.
 11. JET SALLI

  Kuna haja ya Afrika kuwa na Chombo Huru cha kusimamia Chaguzi zote na kuwa na Sauti Moja dhidi ya Mataifa Makubwa

  Ww bado ni mtoto na hujui ulimwengu ulikotoka ndio maana maandiko yako hayausiani na ustaarabu wa kilimwengu ndio hujui unaandika nn.Si lazima kuandika hata Kama huna cha kuandika.
 12. JET SALLI

  Tusipotoshe umma, Tanzania ni Nchi inayofuata mfumo wa vyama vingi, sio lazima Wapinzani kuchaguliwa kuwa Wabunge

  Bora mimi sikuchagua binadamu asiye na tone la huruma ingawa ni mkatoliki anayesali sala ya baba yetu inayomuomba Mungu atusamehe makosa yetu Kama na sisi tunavyo wasamehe wale walio tukosea.Tukiikataa sauti ya wengi twaikataa sauti ya Mungu,Tukijichagua ilhali Mungu hajatuchagua basi tujue...
 13. JET SALLI

  Tusipotoshe umma, Tanzania ni Nchi inayofuata mfumo wa vyama vingi, sio lazima Wapinzani kuchaguliwa kuwa Wabunge

  Hebu fikiria Simba watakapomaliza kula wanyama wengine pale porini na wakaisha kabisa na wakabaki Simba watupu kitoweo kingine kitatoka wapi.
 14. JET SALLI

  Tusipotoshe umma, Tanzania ni Nchi inayofuata mfumo wa vyama vingi, sio lazima Wapinzani kuchaguliwa kuwa Wabunge

  Tunajua humu wamo Great thinkers na wamo watu kama wewe hamuwezi kukosa.
 15. JET SALLI

  Uchaguzi 2020 Jumuiya za Madola ziheshimu maamuzi yetu watanzania

  Naona Zanika unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe kweli yajayo yanafurahisha.
 16. JET SALLI

  Askofu Bagonza: Ndoa inahitajika...

  Baba wa TAIFA alituambia kwamba hakuna umaskini mkubwa Kama umaskini wa akili mm nasema kwa Tanzania ya Sasa wanaounga mkono serikali hii ni wachache Sana ukubali usikubali,Watanzania Wana akili KUBWA KULIKO wanaotuongoza ndio shida ya Sasa huweza kupenda bunge la chama kimoja Wakati wenye Akili...
 17. JET SALLI

  Kwa mazingira yalivyo; je, sanduku la kura liendelee kuwa suluhisho la kupata voongozi?

  Ukishinda uchaguzi kwa Haki hata isoni kwako kunaonekana ushindi waziwazi lkn watazame CCM Kama ww ni mdadisi wa Mambo utaelewa kitu kikubwa sana.
 18. JET SALLI

  Busara za Nyerere zisisahaulike

  Haya watakaolewa ni watanzania wengi sana wapumbavu wachache hawataelewa.Hv kama Mwl.Nyerere anayeheshimika kama mwanafalsafa nguli Africa na ulimwenguni aliweza kuona mbali kiasi hicho kwa kipindi kile sasa imagine Leo mtu haoni sasa unadhani kuna akili hapo lzm uwe na wasiwasi na akili za...
 19. JET SALLI

  Uchaguzi 2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

  BASI NA TUSEME MUNGU MAPENZI YAKE YATIMIZWE SI KAMA TUTAKAVYO SISI BALI ALIYE KINYUME CHA DHAMBI NA UCHAFU WOTE NA WIZI UKIWEMO.KWA SABABU SS TUNAOMBA KWA MUNGU LKN MUNGU ANA STRATEGY ZAKE ZA KUJIBU.YAWEZEKANA TUKASHUHUDIA MAKUBWA TUSUBIRI TUOMBE UZIMA.
Top Bottom