Search results

 1. Angel Nylon

  Msaada: Namna ya kuona images na video links baada ya kuhamisha SD card

  Salaam wakuu, Nimehamishs SD card 4Gb kutoka kwenye simu nilokuwa natumia na kuweka kwenye hii simu nilonayo sasa. But sizioni image wala links zangu zilokuwemo. Jee kuna namna ya kufanya ili ziweze kuingia kwenye gallery? Au ndio basi tena nishazipoteza? Na ubaya wa mambo simu niliokuwa...
 2. Angel Nylon

  Vituko jikoni, Let us share and have fun

  Habari zenu wanajiko. Leo ningependa tushee mambo yanayotutokea jikoni, yale ya vituko vituko. Mie mengi yamewahi kunikuta lkn ntaweka machache tu. Kuna siku mama yangu aliniwachia niangalie pishi la mseto, sikujua kama kabla haujaepuliwa haukorogwi na mwiko si niukoroge, wacha mseto uungue...
 3. Angel Nylon

  Farhina, amu, mazizimkavu, bak na wapishi wengine. Msaada wa mapishi ya beef burger.

  Asalam alykum all members of jf chef. Naomba kufundishwa juu ya matayarisho ya ile nyama tunaoweka katikati ya burger. Kwa upande wa ule mkate sina tatizo, ila kama ntapata recipe yake pia sio mbaya pengine ntapata kitu tasty zaidi. Ila ile nyama sasa ndo kimbembe, jee kuna beef zake special...
 4. Angel Nylon

  Cheka kidogo

  Polisi wakiwa katika msako mara wakamkamata mtu mmoja bila kujua kama ni chizi. Walipofika kituoni ukutani palikua na picha ya nyerere na kikwete, chizi akaanza kucheka alipoulizwa sababu ya kucheka akajibu: Ama kweli msako wa leo ni kiboko nyerere na kikwete nao wamo ndani!!!!!!!!!!???????
 5. Angel Nylon

  Dear salary

  Dear salary, Pls come back to stay with me. You left in such a rush last month, I didnt even have time to tell you about my plans. MISS YOU. I'm sorry about what I did last month. I promise I will b good this month Love u with all my depth. Ssssshhhhhhhhh......... Dont tell...
 6. Angel Nylon

  Nini tofauti ya neno bahari na pwani, pls.

  Jee ni maneno tofauti yenye maana 1 au kila moja lina maana yake? Km kuna tofauti ktk maana naomba kujua tafadhali
 7. Angel Nylon

  To all women: Happy women's day

  We are cute daughters We are sweet sisters We are lovely lovers We are darling wives We are adorable mothers We are source of strength We are WOMEN THE WAORLD WOULD HAVE BEEN TOTAL DIFFERENT PLACE WITHOUT US ON IT May the Lord gives us strength to go on,fulfil all our desires and most...
 8. Angel Nylon

  A story of mr. Sing and mr. Mwarabu

  Kulikuwa na marafiki wawili, very best. Kilaa pahala walikua wako pamoja, bt tatizo la hawa mabwana walikua wanapenda kuoneshana kwamba kila mmoja kamshinda mwenzake kwa ujuaji. Siku 1 Mr. Sing alimwambia Mr. Mwarabu km anaweza kumnyonya ziwa mke wa mfalme tn mbele ya mfalme mwenyewe na watu...
 9. Angel Nylon

  JF top 3-wabishi

  Hem wasikieni hawa wabishi: Kongosho: siku 1 nlimpigia simu mume/mke wangu akapokea lkn hakusema halow na mi nkauchuna hadi credit zikaisha. Excellent: wee cha mtt tu hio, mi kuna day 1 nlirudi home nit. Nkagonga mlango mke wangu akanifungulia lkn hakusema karibu mume wangu nkasimama...
 10. Angel Nylon

  Maswali ya mume kwa mkewe.

  Mume: nambie ukweli mke wangu, hivi ushavunja uaminifua mara ngapi? Mke:siku 1 nililala na mwenye nyumba sababu alidai kodi. Mume: sio mbaya. Mke:mara ya pili siku ulipofanyiwa operation tukiwa hatuna pesa ikabidi nilale na Dr. ili utibiwe. Mume:kweli unanijali mke wangu. Mke:mara ya tatu...
 11. Angel Nylon

  A test to draw a picture...

  Biology teacher told all student in a test to draw a vagina. One girl felt shy and looked down, suddenly a boy shouted: 'Teacher she's copying'
 12. Angel Nylon

  Mashine ya kukamatia wezi from Japan...

  Japan ilitengeneza mashine ya kukamatia wezi na kuipitisha ktk nchi tofauti kwa ajili ya kui test. Japan baada ya dkk 9 ilikamata wezi 4,711 china baada ya dkk 15 ilikamata wezi 11, 507 Nigeria baada ya dkk 6 ilikamata wezi 141,333 Kenya baada ya dkk 2 ilikamata wezi 55, 312 Tanzania baada...
 13. Angel Nylon

  one spelling mistake can destroy a marriage

  A husband wrote a message to his wife on his official trip and forgort to add 'e' at the end of a word:- 'Am having such a wonderful time! I wish u were her..... Kiingerereza hicho bora ukosee Kiswahili
 14. Angel Nylon

  Hellow, how r u all.

  Hellow all members of JF, m happy to join JF lkn nimesumbuka kweli mpk leo kuweza ku log in. Nawaomba mnipokee jamani. Karibuni Zeeeennnjiiiii......
Top Bottom