Search results

 1. namriny

  Nimesoma International Relations, naomba mbinu za kupata kazi

  Nina bachelor degree ya IR (International Relations) Nmeomba kazi kuanzia January hadi hivi ninavyoongea yaani kila siku nikiona tangazo la kazi nliyosomea na apply Ila sijapata chochote, wale wenzangu waliomaliza wakapata kazi mnatumia mbinu gani?
 2. namriny

  Watu wote wa JamiiForums pitia hapa

  Jamani nawapenda saana, yaani nikiwaga nimechoka akili ikihitaj kuburudika napitia JamiiForums kuna kila kitu Hiyo nawapenda saana.
 3. namriny

  Vifurushi Bomba vya internet

  Habar wanajamii, naomba kwa anaejua vifurushi vya bei nzuri anijuze, maana nilikuwa natumia voda vifurush vya chuo ila dah wamepandisha, tigo nayo ndio kabisa, wenzangu mnajiunga vifurushi gani bomba.
 4. namriny

  Mwanamke hawezi kukusaliti kama unatimiza haya

  Yaani kwa kifupi sisi wanawake tumejaliwa kupenda kwa dhati, wanaume ndio wanasababisha mwanamke awe msaliti, Wewe kama una mpenzi/ mke/ mchumba/f anya yafuatayo, kwanza kabisa - Mpende mwanamke wako, - Msifie kila wakati, - Mpe maneno matamu mda wote, - Hata kama uko bize kias gani hakikisha...
 5. namriny

  Tafakari ya leo, msamaha unafaida kuliko jeuri

  Wanajamii wenzengu hakuna kitu kizuri kama kuomba msamha pale unapokuwa umekosea,hata kama uliyemkosea atakuwa hajakusamehe ila wewe utakuwa na amani moyoni,usipuuze neno msamaha maana lina faida kubwa. Sent using Jamii Forums mobile app
 6. namriny

  Tujuzane mahusiano gani mazuri kati ya haya?

  Je, ni yale ambayo unampenda sana kuliko yeye anavyokupenda, yaani hata ukikuta anakucht unamsamehe tuu au ni yale ambayo yeye anakupenda sana ila wewe upo naye kwakuwa tu yeye anakupenda na anakujali unaona acha uende nae hivyo hivyo?
 7. namriny

  Kwanini wanaume wanachepuka sana?

  Yaani wanaume sijui kwanini mnakuwa hamridhiki? Yaani utakuta una msichana mzuri kwa umbo, sura, hata tabia ila kwanini bado unakuta ukiona mwingine unatamani? Mpewe nini? Hebu leo mtujuze.
 8. namriny

  Kwanini wanaume wengi wanaogopa sindano?

  Hivi ni kwanini wanaume wengi wanaogopa sindano kuliko wanawake?
 9. namriny

  Nawezaje kupata nafasi za kazi kwa Internship UN

  Naomba kwa mwenye kujua ZAIDI namna ya kupata internship UN Msaada Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom