Search results

 1. GENIUS JAGUAR MONSTER

  Msaada kuhusu hatua za kufungua biashara

  Wakuu nitaenda haraka kwenye point Nilikua nahitaji kujua hatua za kufungua biashara ndogo tu ya ujasiriamali, nimepata kaeneo kando kando ya barabara. kuna mtu anaweza kunipa hatua zote za kufata mpaka kupata kubali? Nilikua naomba kama mtu akieleza hatua basi aeleze in detail kidogo ili niweze...
 2. GENIUS JAGUAR MONSTER

  Uchafuzi wa mazingira Dar es Salaam

  Wakuu wakuu. Ninaandika kwa machungu na hasira sana. Hivi wakuu kwann hatuzingatii vitu vya msingi vyenye athari ya moja kwa moja kwenye jamii. 1. Uchomaji taka holela Kuna watu huku mtaaani wanachoma taka inakua ni usumbufu. Maana moshi ni kuanzia asubuhi hadi jioni. Mbona kuna mitaa hapa dar...
 3. GENIUS JAGUAR MONSTER

  Afrika na wazo la umoja

  Wakuu wakuu turudi kwenye mada zetu za msingi. Japokua sisi ni sauti zisizosikika au wenda zikawa zinasikika kwa mbali sana kwa sababu hatuko kwenye nafasi za power(nguvu). Lakini siku moja zitasikika. Wakuu, tunatambua kwamba mababu zetu walichapwa viboko na kuteswa na wakoloni na wakalimishwa...
 4. GENIUS JAGUAR MONSTER

  Kwanini kesi zetu kwa viongozi wa Afrika zinatatuliwa na ICC? AU iko wapi?

  Wakuu habari zenu. Turejee fasta kwenye mada. Wakuu kuna huu utaratibu kwamba ikitokea viongozi wa afrika wameharibu wanapelekwa kwenye mahakama ya kimataifa. So swali langu ni kwamba AU (African Union) iko wapi kutatua matatizo na migogoro ya ndani ya Africa. Wakuu tunajua kwamba kwenye bara...
 5. GENIUS JAGUAR MONSTER

  Kwanini viongozi wa Afrika hatuwafanyii interview viongozi wa Ulaya

  Wakuu wakuu wakuu. Turejee kwenye kijiwe chetu cha tafiti na habari. Wakuu nimekua nikijiuliza sana. Katika bara letu la africa tuna viongozi wa nchi 24, tuna utajiri wa kila kitu, tuna lugha ya kiswahili nzuri ya bara la africa, tuna AU ( Africa Union) ambayo inaweza kua na agenda zake yenyewe...
 6. GENIUS JAGUAR MONSTER

  Tujadili kuhusu hili la kupungua thamani ya pesa

  Wakuu leo tuongelee kuhusu thamani ya pesa a.k.a currency value. Tunajua kwamba Mataifa makubwa ambayo ndio yanatawala dunia na kua na silaha kali kuliko Mataifa mengine ndo yana pesa zenye thamani. Mataifa kama Marekani, Europe, China e.t.c. yanaweza kuamua chochote juu ya thamani ya pesa na...
 7. GENIUS JAGUAR MONSTER

  The story of Abidon

  Abidon ni mtu mmoja aliekua mwema na mwaminifu na akiamini kwamba kila mmoja ni muaminifu kama yeye. Siku moja Abidon alienda dukani kununua kiatu. Alipofika dukani akaona kiatu kizuri sana. Lakini kwa bahati mbaya kiatu kilikua hakijawekwa bei. Kwa sababu abidon alikua mtu wa imani akamuuliza...
 8. GENIUS JAGUAR MONSTER

  Mtoto wa kiafrika na vitu anavopaswa kuelimishwa

  Kuna umuhimu sana wa kubadili syllubus ya Watanzania mashuleni. Kila siku viongozi wanaongelea kuhusu barabara, reli, na vitu kibao. Hivyo vyote vinakomaza system ya mzungu ya utumwa. Kuna umuhimu sana wa ku liberate mind za waafrika kabla hujawaletea hiyo miradi ya wazungu. Kwa sababu hiyo...
 9. GENIUS JAGUAR MONSTER

  Maombi yangu kwa viongozi wa Afrika

  Mimi ni sauti ya samaki alie kina kirefu cha maji. Tena samaki huyu anapumua kwa shida kwa sababu maji yana kina kirefu. Lakini samaki huyu anataka kuwapa taarifa viumbe walioko nchi kavu kwamba kuna hatari anaiona inakuja ambayo viumbe hao walioko nchi kavu hawawezi kuiona. Twende kwenye mada...
 10. GENIUS JAGUAR MONSTER

  Viongozi wa Afrika na story ya udereva (fumbo na mtazamo)

  Wazo Tanzania ni kama gari na rais ni dereva. Na Watanzania ni abiria. Lakini gari lilianzwa kuendeshwa na mzungu kwenye uelekeo waliokua wanaujua wao kwa mda mrefu sana. Walichokijadili kuhusu mwelekeo wa gari kilikua ni siri. Lakini wakaona kuendesha gari huku abiria waliomo hawampendi dereva...
 11. GENIUS JAGUAR MONSTER

  Its not about black and white. All people are good and illuminati is not real

  Wakuu, kitu ambacho inatakiwa tuwe aware kwenye hii dunia ni kwamba tusi concetrate sana kuchukia races, "all races are equal under the sun. Watu wana concetrate kuchukia wazungu sana na historia iliyotuumiza kwa mda mrefu. Lakini hata kabla ya kuja kwa wakoloni waafrika wenyewe tumeoneana...
 12. GENIUS JAGUAR MONSTER

  Umeme umevumbuliwa na watu weusi

  WAKUU WAKUU, hii ni wake up call kwa waafrika wote ( black people). Wakuu inatakiwa tujifunze sana juu ya mtu mweusi, kumbe darasani tulikua tunajifunza kuhusu historia za uvumbuzi na kuambiwa wazungu ndo wamevumbua karibia technology zote duniani, utafiti unaonesha kumbe watu weusi ndo...
 13. GENIUS JAGUAR MONSTER

  Inaelezwa ‘Illuminates’ wanaua watu weusi wanaonekana kupata nguvu kama Kobe na Chadwick (Black Panther)

  Wake up call! Wakuu, kuna habari ambazo sio poa zinaendelea juu ya watu weusi huko Marekani. Kitu cha kutisha na kusikitisha ni kwamba kuna tetesi kuwa Illuminate a.k.a White Supremists wanafanya kazi za mauaji ya watu weusi wanaoonekana wana develop power ya aina yoyote. Kama wakuu mnakumbuka...
 14. GENIUS JAGUAR MONSTER

  Waafrika na watu weusi kwa ujumla tuamke

  WAKE UP CALL! Wakuu, kuna habari ambazo sio poa zinaendelea juu ya watu weusi huko marekani. Kitu cha kutisha na kusikitisha ni kwamba kuna tetesi kua. Illuminate a.k.a white supremists wanafanya kazi za mauaji ya watu weusi wanaoonekana wana develop power ya aina yoyote. Kama wakuu mnakumbuka...
 15. GENIUS JAGUAR MONSTER

  Wizi mpya kwa kutumia 'Visa card' na usumbufu wa benki kurudisha pesa

  Wanajamvi habari zenu. Jamani mwenzenu nimepatwa na majanga ya kuibiwa pesa kutoka kwenye card yangu ya VISA. Kuna wizi mpya umejitokeza kwamba kwenye ile VISA card mtu akichukua namba za nyuma na mbele basi anaweza kufanya transaction ya vitu online. Huyu mtu kaweza kutrack namba zangu za...
 16. GENIUS JAGUAR MONSTER

  Hebu tujikumbushe historia kidogo

  TUMETOKA MBALI WAKUU
Top Bottom