Mpaka sasa Makada wetu Wanaendelea kufuatilia hali ya mgombea na wapambe waliopata ajali usiku wa kuamkia Leo wakitoka kupiga kilaji kwa katibu uenezi Ndugu Kamanga VICENT
JINA KAMILI NICHOLAUS GEORGE NGASSA
UMRI MIAKA 35
MAHALA PA KUZALIWA HOSPITALI YA WILAYA YA IGUNGA - TABORA
UTAIFA MTANZANIA
JINSIA KIUME
ELIMU
2017 – 2019 Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Umma
(Masters’ of Public Administration) Chuo Kikuu cha Mzumbe
2007 – 2010 Shahada ya Sayansi ya...
Mbunge wa Igunga Dalali Kafumu anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa tuhuma za kugawa milungula kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa JIMBO ili waweza kumpa kura kwenye mchakato wa uteuzi wa wagombea.
Heko kwenu takukuru lakini msiishie kuhoji tunataka kuona wakifikishwa...
Akiongea na Azam News amesema kuwa Bunge litaendelea na vikao vya Bajeti hama chadema wapo ama hawapo.
Heko kwako Spika Ndugai kwa msimamo thabiti. Tanzania inahitaji kusonga mbele. Duniani huko wanahaha kwasababu ya "lock down ". Timizeni wajibu wenu kwa wananchi
Mbunge wa Igunga Dkt Kafumu Leo ametumiwa salam na wapiga kura wake kwa "zomea zomea" na kelele kuwa Wananchi wamemchoka na hawatamchagua tena baada ya kuwatelekeza.
Hayo yamejili Leo kwenye ziara ya Waziri wa Mifugo na Uvivu Mheshimiwa Luhaga Mpina. Mpina aliwaambia wananchi wa Igunga...
TAARIFA YA UJIO WA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI DR BASHIRU ALLY KAKURWA MKOANI TABORA
Ndugu zangu wanaCCM tarehe 7 na 8 Disemba 2019 tutakua na ugeni wa katibu mkuu wa CCM katika mkoa wetu wa Tabora. Atakua na shughuli maalumu katika wilaya ya Nzega Jimbo la Nzega mjini.
Amealikwa kuwa...
RAIS NDANI YA IGUNGA MJINI
Kaongea na Wananchi wa Kata ya Igunga. Kaulizia Mkuu wa Wilaya (DC ) hakuwepo japo ndio Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya
Kamuulizia Mbunge wa Jimbo Dr Kafumu hakuwepo na wananchi wakapiga mayowee kuwa hawamtaki Msomi huyu wa Madini
Kamuulizia...