Search results

 1. Msolopagazi

  Barabara za Makao Makuu Dodoma

  Tuko busy na Chato kwanza huko Dodoma inabidi msubiri kwanza......maendeleo hayana chama.
 2. Msolopagazi

  Mrisho Gambo & Lema wakutana uso kwa uso leo

  Huyo mwenye shati jeupe anaonekana ndiyo mbunge wa Sasa na ajaye huyo mwenye kofia kama ya mzee Ojwang' anaonekana kama msela fulani aliyekutana na kiongozi wake...😂😂😂✌️
 3. Msolopagazi

  Uchaguzi 2020 Dar: Helkopta ya Kampeni ya Tundu Lissu, yanyimwa kibali cha kutumia anga, ni baada ya kuomba kibali hapo jana

  Kama Diamond na Harmonize wanapewa vibali kila siku kwenda kwenye show za kipuuzi Ila mtu kama Lissu ananyimwa Huu upuuzi sijui utaisha lini
 4. Msolopagazi

  Q Chillah : Mwana FA acha utoto

  Naona jamaa unamshambulia sana Q Chief sababu Q Chief na watanzania wengi timamu wanauliza Mwana FA alienda lini South Africa wakati jumamosi alikuwa kwenye uzinduzi wa albamu ya Harmonize so South alienda lini na kurudi lini, pia kitendo cha msanii msomi na uelewa kama FA huwezi kuiponda korona...
 5. Msolopagazi

  Tetesi: Sharti Moja kubwa waliopewa viongozi waliofika Ikulu ni hili hapa

  Leo Mbatia mbeya kapokelewa na mkuu wa mkoa kwa serikali hii unafikiria kuna nini
 6. Msolopagazi

  Tetesi: Sharti Moja kubwa waliopewa viongozi waliofika Ikulu ni hili hapa

  Hii ishu ni kweli Magu anataka kuua upinzani especially chadema baada ya 2020 ibakie NCCR na ACT ndio zenye wabunge wakuunga sera za CCM ili misaada ije na uchaguzi uonekane ulikuwa huru na haki...😢😰
 7. Msolopagazi

  Rais wetu Magufuli, Watanzania tunakuhitaji sana zingatia afya yako

  Umeanza vizuri umemaliza fyongo kwamba wapinzani ndio wameanza kufurahia?
 8. Msolopagazi

  Serikali ya awamu ya tano mnatuharibia nchi

  Nakumbuka mwaka 2017 tulivyoachishwa kazi katika mgodi wa Acacia kwa mbwembwe nyingi kwamba ni wezi tunaiba makinikia na serikali inakuja kulipwa matrilioni nchi nzima ilifurahi lakini kiukweli maelfu ya watu tulipoteza kazi na mabilioni ya kodi na mapato ya serikali na nchi kwa ujumla na mpaka...
 9. Msolopagazi

  Kumetokea nini Tumaini Hospital Upanga?

  Tatizo walikuwa wanatumia insuarance kama AAR na strategies ambayo makampuni mengi yamejitoa kutokana na hali ya uchumi hata Aga Khan nako hali siyo nzuri watu wanajaa Muhimbili na Mwananyamala.
 10. Msolopagazi

  RC Makonda atangaza neema kwa wamiliki wa viwanda vidogo, maonyesho ya bidhaa za ndani sasa kufanyika kila mwezi

  Huyu Bashite akome kuchezea NSSF zetu mie nimefanya kazi mgodini miaka kumi naumia chini ya ardhi nimetoka nimeathirika mgongo na mapafu halafu nazungushwa malipo yangu zaidi ya mil 70 wanaenda kupewa watu ambao hawajahi kuchangia hata siku moja eti wafungue viwanda siwatupe hela zetu siye...
 11. Msolopagazi

  Msaada wa kisheria kuhusu mifuko ya jamii NSSF

  Jamani mimi nilikuwa mfanyakazi kwenye sekta ya madini nimeachishwa kazi muda wa miezi nane lakini kila nikienda NSSF nazungushwa njoo baada ya miezi miwili mara mwezi bila mafanikio je kuna njia gani nitaweza kutumia labda ili niweze kupata haraka. Nitashukuru sana kwa mawazo yenu.
 12. Msolopagazi

  CCM kuimaliza CHADEMA 2020

  Toa huu upupu hapa....
 13. Msolopagazi

  MAUAJI DAR: Maiti tatu zadaiwa kuokotwa ufukweni Coco Beach

  Duh!!! kweli Tanzania ya amani ndio tumefika huko. Eeeh Mungu tuepushe.
 14. Msolopagazi

  Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

  Kakola katoro bulyanhulu nako ni shida.
 15. Msolopagazi

  Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

  Jamani Kampuni ya Vodacom Tanzania mbona wananchi tunashindwa kuwaelewa haiwezekani leo inakaribia wiki moja mtandao wenu wa mawasiliano ni mbovu especially kanda ya ziwa simu hazitoki , data nazo ni shida, m pesa nayo ndiyo usiseme unatoa hela asubuhi inakuja message usiku hivi tatizo ni nini...
 16. Msolopagazi

  DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

  Get well soon Hon. Tundu Lissu.
 17. Msolopagazi

  Dar coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabus

  Duh!! nilikuwa sijui kumbe ukiona mtu ameweka mabasi zaidi ya kumi barabarani inatakiwa kumheshimu aisee.....
Top Bottom