Search results

 1. F

  Hii inaweza kumfanya mtoto ashindwe kuongea?

  Habari wakuu, Mvurugo wangu ni huu hapa...Hivi mfano ikatokea mtoto amefikisha umri wa mwaka mmoja toka kuzaliwa eneo fulani labda tuseme Dar (Ubungo) kisha ukamuamisha ukampeleka Mara(Majita) ndani ndani huko ambapo lugha wanayozungumza ni tofauti na ile ya Dar,nako huko akae mwaka mmoja...
 2. F

  Utaratibu wa keki kwenye shughuli

  Habari wakuu,hivi huu utaratibu wa shughuli kama harusi na kumbukumbu ya kuzaliwa(birthday) kua lazima kue na keki tumeutoa wapi?Na je unamaana gani? Kwamaana ushakua kama rasmi sasa kwenye hizo shughuli na itakua hajabu sana na watu watakushangaa kama utafanya sherehe ukumbini au nyumbani na...
 3. F

  Kwanini ukila nanasi ukinywa maji mdomo unakuwa mchungu?

  Kwanini baada ya kumaliza kula nanasi na ukanywa maji unasikia ladha ya uchungu mdomoni? Je kuna uhusiano gani kati ya nanasi na maji?
 4. F

  Chuchu kuuma na kutoa damu

  Habari wajumbe Kuna mdogo wangu amepata tatizo chuchu zinamuuma hadi kutoa damu ila hajui chanzo cha tatizo Hilo,umri wake ni miaka 20 na hajawai kuzaa. Swali:Ni nini chanzo na tiba yake?
 5. F

  Msaada: Jinsi ya kuanzaisha building company (class seven)

  Habari zenu wakuu. Naomba msaada kwa walio na ujuzi au uzoefu katika kampuni za ujenzi, binafsi nataka kufungua kampuni ya ujenzi ya class seven ila sijui naanzia wapi na natakiwa nifanye nini. Hatua niliyoanza nimeenda CRB wakaniuzia kitabu chenye maelezo kuhusu kampuni za ujenzi na class...
 6. F

  Mtoto kufa baada ya saa 3 toka kuzaliwa

  Habari wakuu...kuna binti kajifungua salama kwa njia ya kawaida Leo Saa 10 alfajiri...akaruhusiwa kurudi nyumbani punde Tu baada ya kujifungua...alivyorudi nyumbani akapumzika kwa kulala yeye na mtoto kwa uchovu wa uzazi...saa 1 asubuh akaamka na alipojaribu kumuamsha mtoto alikuta...
 7. F

  Mkojo, Damu na Gravitational Force

  Hivi kwanini Kama mtu akiwa amebanwa na mkojo alafu akawa amekaa kitako Hua mkojo hautaki kutoka ila akisimama mkojo Hua unakua na nguvu na unataka kutoka tofauti na akiwa amekaaa. Swali:Je Kuna namna yoyote gravitational force inahusika? Kama jibu ni ndio vipi kuhusu damu inamaana mtu akisimama...
 8. F

  Nitaondoaje Hili Tatizo Lililotokana na Matumizi ya Dawa ya Fansida

  Nilikunywa fansida siku 1 mwaka 2009 nilipoamka kesho yake nilivimba uso na macho, alafu uso ukawa mweusi sehemu niliovimba. Hadi Leo bado kweusi. Msaada kwa anaejua namna gani nifanye ili hii hali itoke tafadhari. Nawasilisha.
 9. F

  Hivi mishahara ya serikali kwa MTU mwenye degree au diploma kwenye fan ya ujenzi(civil engineering)

  Vipi kuhusu fani ya usanifu majengo ( architecture) na ujenzi kwa ngazi ya diploma na degree?
Top Bottom