Hapana sijawahi kutumia karasha za kawaida. Ila wanaotumia ndio nimewaskia kuwa wanapata tabu kdg mawe yakiwa na maji. Labda walio na experience nazo humu watatupa details
Nikirefer wachimbaji wadogo wengi wanashindwa kupeleka plant kufanya leaching kwa sababu ya cost kama chemicals, kumlipa mkemia na kukodi plant. Ndio maana mwisho wa siku wanaamua kuuza marudio yao.
Njia rahisi ya kupata faida kutoka kwenye chemicals baada ya kujiridhisha na report ya maabara...
Hiyo ni aina mojawapo ya karasha kitaalamu inaitwa hammermill. Tofauti na nyingi zilizozoeleka hii inasaga mawe pamoja na maji na final product inatoa slurry (tope) ambalo linapita kwenye gunia kwa ajili ya kukamata dhahabu. Makarasha mengi yaliyozoeleka ni yale yanayotumia gololi na moja ya...
Vilipuzi na compressor mara nyingi huwa vinaenda sambamba. Mfano kuchoronga mwamba tundu moja bei yake average ni tsh 10,000. Ukimuwekea mtu na mlipuko ni 15,000. Hvyo kuchoronga na kulipua tundu moja inakuwa 25,000. Ila kumbuka mtu wako anayelipua lazma awe na certificate. Thats y sikushauri...
Mie nadhani issue sio simu inatoka nchi gani. Inakuwa ngumu kwa mzungu kukaa chini ku assemble simu kwa mshahara anaopewa mchina au muhindi hasa linapokuja swala la mass production.
Hapo ndo kinapokuja swala la OEM. Yaani mchina au muhindi atakutengenezea kitu chako according ulivyokidesign...
Hayupo asoyajua haya nnayoyasema,
Vyombo vya kusafiria huenda mbele daima
Nahodha twategemea awe mbele akinema
Manahodha wa mashua kwa nn wakae nyuma
(hapa anasema vyombo vya safari kuwa vinaenda mbele na anategemea nahodha awe huko akinema (mfano wa kunema ni kama vile watoto wa madrassa...
Nashindwa kwenda mbali maana sijajua kama language nyingine umeshapitia ambazo unaweza kuintegrate na VB kama vile mySQL etc. Kwa sababu app yako inahusu zaidi number na maneno jaribu kutengeneza simple games kama vile sudoku au word scrambles.
Umenikumbusha mbali sana zaidi ya miaka 13 wakati...
Mwanzo mzuri mkuu big up. Kukuongezea tu mawazo unaweza kuilink kwa nfano na database yenye maneno ya kiswahili au kiingereza ili ikitoa result iyoe maneno yenye kufahamika kilugha.
Vitu vingine sitapenda kukwambia nahofia nisije kukukatisha tamaa ukaona programming ngumu. Keep it up
Kwa wale wanaopenda kuboost account zao za instagram kwa personal uses au biashara unaweza kutumia telegram kutimiza lengo lako.
Pitia hapa kidogo
"
Also known as Telegram Pods, Telegram Groups, or Instagram Engagement groups, basically they are a group of people in a chat, created...
Dar al shabab ipo vizuri sana hiyo. Kama ni mpenzi wa smell hizo za kiarabu tafadhali jaribu kutumia sheikh al shuyukh au oud wood. Utakuja kupa asante baadae