Search results

 1. M

  Uchaguzi 2020 Wakili msomi Dr. Adv. Fidelis C. Mligo achukua fomu Njombe mjini kupitia CCM

  Huyu ni mzaliwa kijiji cha Ihalula au Kisilo huko Njombe. Kada ndakindaki wa CCM. Ni wakili wa kujitegemea, mhadhiri sheria chuo kikuu Iringa. Mwanateolojia na mwanafalsafa pia. Miaka ya nyuma aliwahi kuwa padre(Dr. Slaa namba 2). Vajameni mwaka huu tutaona mengi ambayo hayawahi kutokea.
 2. M

  Uchaguzi 2020 Watia nia Ubunge Njombe mjini wafikia 23

  Kwa mara ya kwanza ubunge CCM Njombe Mjini wapata watia nia wengi na mchanganyiko toka kada mbalimbali. Sasa wafikia 23. Kazi na uchapakazi wa Magufuli amewavutia watu wengi kuingia kwenye siasa za CCM. Yupo Mwalongo mbunge mstaafu Mwalimu Dr. L. Mwalongo Mr. Mchami diwani CCM mstaafu Mr...
 3. M

  Kiinua mgongo walichopata wabunge kinachangia rushwa na uondoa usawa

  BAadhi ya wabunge wasitaafu wanatumia kiinua mgongo waliachopata hivi majuzi kurubuni wajumbe na hicyo kuondoa keshima ya chama chetu. Kila kona rushwa. Hii inaondoa usawa kwa wagombea ubunge mwaka huu. Itakuwa vigumu sana wasio na pesa kupata ubunge. Tunaimba uongozi wa chama chetu ccm uwe...
 4. M

  Ombi la kizalendo: Dr. Slaa ashike TRA ili asimamie uadilifu kwa vitendo

  Nimeona leo TBC ikionyesha Rais Magufuli akiwa bandarini ambako kuna uozo mkubwa sana. Mimi ni mwanasheria ambaye pia ni mtaaam wa sheria za kodi. TRA ni jipu kubwa sana. Hayo 'magari hewa' ambayo mmiliki hajulikani, na yamefichwa; wahusika wa kubwa ni watumishi wa TRA. Madili hayo kisheria...
 5. M

  Kwa mujibu kwa Canon Law, maaskofu Pengo na Niwemugiizi wametoa maoni yao binafsi

  Kwanza kabisa ni declare interest ya kwamba niliwahi kuwa padre wa kanisa katoliki. Niliamua kuachana nao kwasababu nilitaka kuoa. Hiyo ni haki yangu. Kwa sasa kitaaluma ni mwanasheria. Kwa mujibu wa canon law MSIMAMO RASMI wa baraza la maaskofu(Episcopal Conference) kwa TZ TEC, lazima uwe ni...
 6. M

  Rais Magufuli endelea kupiga kazi

  Achana na kelele za milango ambazo baadhi ya watu wanapiga, hazina miguu.Kelele ni za kawaida dhidi ya kila kiongozi. Hata Papa/Baba mtakatifu wapo watu wanaompigia kelele. Mhesh.Raisi endelea kupiga kazi. You are the only president of the United Republic of TZ. We trust you! Watakuelewa...
 7. M

  Kanisa katoliki liache kuanzisha vyuo vya Udaktari wakati wataalamu halina

  Kanisa katoliki lilianzisha college nyingi za vyuo vikuu kimihemuko tu kutafuta pesa wakati hawana walimu na vifaa. Chuo cha Udaktari kama kile cha Songea, Peramiho na Ifakara ni feki. Havina walimu wala vifaa. Ni kuungaunga tu. Usanii mtupu. Huko ni kuweka rehani afya za watanzania kwa ajili...
 8. M

  Hongera Rais Magufuli na Waziri Ummy Mwalimu kwa kuhudumia vizuri wazee wetu

  Ni kwa mara ya kwanza tunashuhudia kama taifa wazee wetu wanathaminiwa na kukumbukwa kwa namna ya pekee na serikalii iliyoko madarakani. Wazee sasa wana uhakika wa kuishi maisha marefu chini ya serikali ya Magufuli. Ni vyema ikatungwa SHERIA ya Wazee ili kuwe na legal protection kwa haki za...
 9. M

  Taasisi ya LHRC ina uongozi wa "Kifalme/kimalikia"

  Utawala wa kifalme/kimalikia, mtawala hubaki madarakani mpaka kufa. Uongozi wa taasisi ya LHRC umebaki uleule tangu kuanzishwa kwa taasisi hiyo miaka ya tisini. Bisimba amedumu ktk nafasi hiyo tangu kuanzishwa kwa Taasisi. Sasa ni zaidi ya miaka ishirini na ushehe. Je huu kama siyo udikiteta...
 10. M

  Serikali itangaze makampuni yote ambayo ina hisa

  Wananchi wengi tulikuwa hatujui kuwa serikali ina hisa ktk kampuni ya kuuza mafuta ya PUMA. Uteuzi alioufanya Raisi kwa mwenyekiti wa bodi ya Puma umetushitua wengi. UWAZI NA UWAJIBIKAJI: Wakati umefika sasa kwa serikali kutangaza makampuni yote ambayo serikali ina hisa. Hii ni haki yetu...
 11. M

  Ushauri kwa mhesh.Raisi:TAMMISEMI bado kuna mchwa sana, kuna kuhitaji waziri mkali.

  Kwanza nikupongeze mheshimiwa Raisi wetu JPM kwa kazi nzuri na uzalendo mkubwa unaouonyesha na kuuishi. Kila mtu mwenye akili timamu anaona na kujua uzalendo na uchapakazi wako. Falsafa yako hii si mpya, bali umeionyesha tangu ulipokuwa waziri wa ujenzi.Hongera sana mhesh Raisi. HATA HIVYO...
 12. M

  Ghorofa moja ya moja ya wakurugenzi wa ACACIA mjini Njombe ichunguzwe kama ujenzi wake upo kisheria.

  Kama moja ya wazalendo wa nchi hii, naomba mamlaka husika kuchunguza kwa umakini mkubwa na bila kupokea rushwa, kama ujenzi wa ghorofa hilo umezingatia matakwa mbalimbali ya sheria za nchi hii. That construction leaves much to be desired.
 13. M

  Polisi wakikamata mhalifu waache kujitetea eti "mamlaka za juu zimeagiza".

  Wajibu wa polisi pamoja na mambo mengine kisheria ni kukamata wahalifu na kupeleleza. Wanapomkamata mtu anayetuhumiwa kufanya uhalifu, maana yake polisi wanatimiza wajibu wao kisheria. Kwa nini waanze kusema "mamlaka za juu" zimeagiza? This is unprofessional,unethical statement. Tundu lissu...
 14. M

  Waziri wa sheria na katiba harakisha mswada wa bodi ya mawakili haraka sana Bungeni

  Mswada huo unaounda bodi ya mawakili na kuua sheria ya chama cha mawakili, ni mswada muhimu sana. Utaleta nidhamu ya uwakili ktk nchi hii.Maana kwa sasa fani ya uwakili imetekwa na kuvamiwa na wanasiasa, na kuondoa lengo msingi la fani hii. OMBI:Mheshimiwa waziri/AG aulete mswada huo bungeni...
 15. M

  Vyuo vikuu hapa Tanzania vimelala, havijitangazi

  Vyuo vikuu hapa Tanzania haviko aggressive and proactive katika kujitangaza tofauti na vyuo vya Kenya na nchi nyingine. Vyuo vya nje viko active sana kujitangaza kwenye social media na media nyingine kubwa. Na vimeweka ma-agents ndani na nje ya nchi zao kwaajili ya kujitangaza. Vimewekeza pesa...
 16. M

  The investors should comply with the new extractive industry laws or pack and go

  For so long Wazungu from th west have been thinking that they are predestined by God that they know and own every good thing on earth. This is wrong conception. These guys have been milking our natural resources, getting superprofit,sharing luculative dividents in London stock exchange...
 17. M

  Wizara ya Nishati na Madini sasa apewe mwanamke, wanaume imetushinda

  Ni ukweli kwamba wizara hii ya Nishati na Madini imetushunda sisi wanaume Sasa apaewe mwanamke mwenye UZALENDO NA MCHAPAKAZI. Kuna wanawake makini sana ambao wamedhibitisha uwezo na uzalendo wao kwa kufanya kazi vizuri ktk wizara au ofisi zao. Mfano: 1.Angela Kairuki 2.Ummy Mwalimi 3.Mama...
 18. M

  Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

  TISS mnafanya kazi nzuri sana.Kila mtu mwenye akili timamu na mzalendo anajua hilo. You are doing a wonderful job for our great nation. Mnasitahili sifa zote. Mungu awabariki sana. Nchi sasa iko barabarani. Mambo ya msingi yote yanaenda vizuri. Mpango wa kujenga bwawa la umeme huko Rufiji ndo...
 19. M

  Barabara MUHIMU kwa sasa ni ya Nachingwea hadi Mahenge Morogoro.

  Barabara hii ni muhimu sana kama itajengwa kwa kiwango cha lami. Itaunganisha mikoa ya kusini na Dodoma. Bidhaa kama cement ya Dangote itawezafika Dodoma na mikoa mingine kwa gharama nafuu hivyo bei kuwa chini. Tunaomba serikali ichukue hatua ili barabara hii ijengwe kwa kiwango cha lami.
 20. M

  Baada ya Singasinga na Rugamalila,sasa wafuate MAJAJI,MAASKOFU,WACHINGAJI NA MAPADRE wa Escrow.

  Ili kulinda maadili ya wanaotakiwa kuwa vielelezo vya uadilifu ktk jamamii, majaji wa escrow,maaskofu wa escrow,mapadre wa escrow wakamatwe mara moja. Walipata pesa za wizi kwa kazi gani. Jino kwa jino. Sheria uwe msemeno kweli.
Top Bottom