Search results

 1. K

  Raha ya mapenzi uingie mzimamzima!

  Kuingia mzimamzima ndio utamu wake ni kama dimbwi unajitupia tu pwaaaaa! Sio unaingia kwenye mapenzi mguu nje mguu ndani,hiyo haifai hutafaidi na unakuwa unajishitukia na hofu zisizomaana!. Hata Kama ni ya uongo we ingia mzimamzima tu ule mema ya dunia maisha ni mafupi haya ukizubaa yatakukula...
 2. K

  Ukweli kuhusu wewe

  Maisha ni kama fumbo,fumbo ni kama kufuri na maarifa ndio ufunguo wa maisha!. Kila ulichopandikizwa kinaweza kukufunga au kukufungua,angalia usijechelewa ukakata tamaa. Si Kila agano unapaswa ulishupalie,mengine yaache yapite! Na ukweli kuhusu wewe ni Siri yako yakupasa uifungue.
 3. K

  Naomba msaada wa kung'amua tatizo hapa

  Ilianza Kama tonsensi ikaisha ikaja michaniko ya ulimi kidogo nikatumia dawa nayo ikaisha.. sahivi nimekuwa nikisikia ganzi usoni,mbavu Kama zinabana japo sahivi zimelegeza kidogo na Kuna muda hata haja kubwa ilikuwa tabu lkn sahivi angalabu, imefika hatua nimeota viupele usoni na hata kusikia...
 4. K

  Msaada nitumie dawa gani kwa tatizo hili la ulimi?

  Ni kama ulimi umechanikachanika japo si sana na radha nahisi bado ila nahisi Kama kuwa na ganzi midomoni!.. Nitumie dawa gani?
 5. K

  Msaada wa haraka meno yangu yanapukutika

  Madaktari hebu nisaidieni meno yangu yanapukutika sijui kwanini! Jino linapukutika tu mwishowe linakatika lenyewe. Nini tiba?
 6. K

  Wataalum wa uchumi kimewashinda nini kuikomboa thamani ya fedha yetu?

  Sitaki kuamini kuwa tunaenda kwa mwendo huu, mwendo wa fedha yetu kukosa thamani na kuzidi kudidimia chini. Ni ajabu wana uchumi kashindwa kuikomboa fedha yetu, wazee wetu wanatuambia hapo kabla fedha ilikuwa imara lakini hivi sasa inakuwa mdebwedo. Dola moja ni sawa na Tshs elfu 2000 na kitu...
 7. K

  Matata: Story ya kijasusi

  "Fanya kama ulivyoambiwa" Alisema mtu yule,mrefu mweusi na mwenye mapana! Niligeuka nyuma na kumtazama mke wangu,alikaa pale.. kiti cha mbao,mikono nyuma,kamba miguuni,kamba tumboni na kitambaa mdomoni!!.. kwa mbali niliweza kuyaona machozi yake,alionyesha kila hali ya uoga kifo kilikuwa...
 8. K

  Hodi hodi Mgeni nimeingia

  Kama kuna malipo na majukwaa ya kulipia nipo tayari natafuta na kimwana
Top Bottom