Habari za jioni! husika na kichwa cha somo!!
Wenye uzoefu tafadhali naomba kujua ni ipi nzuri,
Nikimaanisha network pamoja na comission zikoje!
nakaribisha maoni na ushauri pia!
W/end njema wapendwa!!
Wadau hbr za muda huu?
naomba kujuzwa taratibu za kusoma "QT" na sehemu gani nzuri mtu anaweza kuipata elimu hii!! kwa Dar es salaam
Kwa kipindi hiki mtu anaweza kujiunga na kufanya mtihani wa national? (form two).
Natanguliza shukrani!!!
Wanajamvi natumaini mpo salama,
Nipo kwenye ndoa kwa miaka kadhaa sasa ila siifurahii ndoa yangu. Na sababu kubwa ni x wa mwenzangu, yupo nao busy utadhani hajaoa kuna wakati nahisi alikosea maybe sikuwa chaguo lake!
Nimejaribu kuongea nae mara kadhaa kuhusu hiyo issue hana la kunijibu...
wanajamvi salama? nimekuwa mfuatiliaji wa mijadala hapa jamvini, nimevutiwa nayo na nimeona nami nishiriki kulisukuma hili gurudumu! niko tayari kwa muongozo.