Mkuu, nunua ni simu nzuri sana hiyo. Nina OPPO F9 CPH 1823 RAM 4GB na Rom 64 GB, Lakini tangu nimechukua DOOGEE N20 yenye ukubwa huo huo siyo siri nimeikubali sana. Nilianza kununua DOOGEE X55 nikitaka kuiona utendaji wake, niliikubali japo ilikuwa na uwezo mdogo. Lakini kwa DOOGEE N20 iko...
Unapoona No Command, Bofya Vol Up +Power Button kwa Pamoja kwa haraka Kisha unaachia. Au Vol up+Vol Down. Au Vol Down +Power Button fanya hivyo bila kuchoka utafanikiwa.
Mkuu, Nenda Setting >Mobile Networks >Preferred Network Type > 4G/3G/2G/AUTO
kisha rudi nyuma Angalia Internet >Chagua Tigo, Voda etc
Angalia Mobile Data uwashe.
Anza kutumia hautajutia.
Format hiyo HDD.Kama kuna vitu umetunza kwenye hiyo HDD,copy kwenye External HDD.Install hiyo 7/8/8.1/10 na baada ya hapo weka Partitions zako ukitumia Easy US.
Online Shop YALUZU New US Keyboard for DELL Latitude D620 D630 D820 D830 Keyboard | Aliexpress Mobile
Mkuu ni kiasi gani itanigharimu hadi kuutia mikononi mzigo huu hadi huku Mwanza?