Search results

 1. Mpekuzi Tanzania

  Uzi maalamu wa matukio yaliyogonga vichwa vya habari mwaka 2020

  Kipigo Cha mbwa koko walichokipata CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu na kukimbilia ughaibuni kuomba hifadhi
 2. Mpekuzi Tanzania

  Uchaguzi 2020 Hafla ya kuapishwa Dkt. John Magufuli kuendelea na Awamu ya Pili ya Urais wa JMT uwanja wa Jamhuri, Dodoma 05 Oct 2020

  Makamanda wa Mbowe wanaangalia wakiwa mafichoni baada ya spana za wapiga kura. Taifa Linasonga mbele.
 3. Mpekuzi Tanzania

  Tetesi: Mgombea wa CHADEMA Jimbo la Igunga apata ajali akiwa kalewa Chakaliii

  Mpaka sasa Makada wetu Wanaendelea kufuatilia hali ya mgombea na wapambe waliopata ajali usiku wa kuamkia Leo wakitoka kupiga kilaji kwa katibu uenezi Ndugu Kamanga VICENT
 4. Mpekuzi Tanzania

  Uchaguzi 2020 Nicholaus Ngassa, mtia nia Jimbo la Igunga

  JINA KAMILI NICHOLAUS GEORGE NGASSA UMRI MIAKA 35 MAHALA PA KUZALIWA HOSPITALI YA WILAYA YA IGUNGA - TABORA UTAIFA MTANZANIA JINSIA KIUME ELIMU 2017 – 2019 Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Umma (Masters’ of Public Administration) Chuo Kikuu cha Mzumbe 2007 – 2010 Shahada ya Sayansi ya...
 5. Mpekuzi Tanzania

  Uchaguzi 2020 Orodha ya wabunge na watia nia ambao kama watagombea hawatarudi bungeni 2020 kupitia vyama vyao au kisanduku cha kura

  William Ngeleja - Sengerema Dalali Kafumu - Igunga Suleiman Zedi - Bukene Charles Mwijage - Muleba Mwarabu wa Kilosa Muhindi wa Kwimba Mwarabu wa Solwa - Shinyanga Vijijini
 6. Mpekuzi Tanzania

  Mbunge wa Igunga, Dalaly Kafumu mikononi mwa TAKUKURU

  Ndio yule mheshimiwa Rais alisema kamera zilimnasa anawawinda wajumbe wa KAMATI YA MAKINIKIA APINDISHE ripoti ya kamati kwa kutumwa na mabeberu
 7. Mpekuzi Tanzania

  Mbunge wa Igunga, Dalaly Kafumu mikononi mwa TAKUKURU

  Takukuru chini ya Brigedia John Mbungo naona wamepata meno zaidi. Kumbe hakuna kinachoshindikana
 8. Mpekuzi Tanzania

  Mbunge wa Igunga, Dalaly Kafumu mikononi mwa TAKUKURU

  Mbunge wa Igunga Dalali Kafumu anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa tuhuma za kugawa milungula kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa JIMBO ili waweza kumpa kura kwenye mchakato wa uteuzi wa wagombea. Heko kwenu takukuru lakini msiishie kuhoji tunataka kuona wakifikishwa...
 9. Mpekuzi Tanzania

  Uchaguzi 2020 Dkt. Philip Mpango atangaza nia kugombea Ubunge jimbo la Buhigwe

  Subiri taarifa ya Habari ndio vyanzo vyako, mie nakupa za moto
 10. Mpekuzi Tanzania

  Uchaguzi 2020 Dkt. Philip Mpango atangaza nia kugombea Ubunge jimbo la Buhigwe

  Anaitwa Obama Ntabaliba na mpaka sasa yupo Mikononi mwa TAKUKURU kwa tuhuma za Rushwa
 11. Mpekuzi Tanzania

  Mbona vifo tata vimepungua sana!?

  Kuna mtu mpaka alianzisha Ukurasa wake facebook aliniita corona virus Tanzania na alijipa kazi ya kutoa taarifa za vifo, naona nae Kimya. Ha ha ha ha Mkemia wa CHATO kawaweza Sana hawa mawakala wa Mabeberu
 12. Mpekuzi Tanzania

  Hali ya Kisiasa: Ridhiwan Kikwete anapumulia mashine Jimboni

  Moja la kosa wanalofanyaga Chama chetu CCM ni kuamini Hawa watoto wa viongozi kuwa nao Watakuwa viongozi bora. That's a wrong perception. Hata Kalenga walimuweka mtoto wa Marehemu Mgimwa, Yule jamaa hopeless kabisa kabaki kufuga midevu. CCM mpya ya Magufuli Nadhani Mtego huu watautegua
 13. Mpekuzi Tanzania

  TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi, Mafumu Bilal Bombenga afariki dunia

  Mwenyezi Mungu amrehemu. Jamii forum Ebu fungueni jukwaa la misiba maana naona mmegeuza jamvi kuwa notes board ya obituary ya misiba, kwanza mnaongeza hofu kwa wananchi na pili vifo vipo kwa kila mmoja kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu tusifanye kama tunafurahia.
 14. Mpekuzi Tanzania

  Uwongo wa mchana wa Prof. Kabudi kuwa dawa inagawiwa na Rais Madagascar kumbe ipo hadi madukani

  Sidhani iyo supermarket ni TANZANIA, hata ukiangalia matangazo yake kwenye kuta unaona imekaa mazingira ya nje ya nchi
 15. Mpekuzi Tanzania

  Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

  Kuna mtu anaitwa Katibu wa Bunge, huyu ni mteule wa Rais, ndio Mlipaji Hapo DODOMA. Kupokea maelekezo ya Mwajiri wake Sio hoja
 16. Mpekuzi Tanzania

  Ndugai: Bunge kuendelea na vikao ama CHADEMA wapo au hawapo

  Akiongea na Azam News amesema kuwa Bunge litaendelea na vikao vya Bajeti hama chadema wapo ama hawapo. Heko kwako Spika Ndugai kwa msimamo thabiti. Tanzania inahitaji kusonga mbele. Duniani huko wanahaha kwasababu ya "lock down ". Timizeni wajibu wenu kwa wananchi
Top Bottom