Kisa hayupo kwenye msafara wa mkulu.
=====
RAIS MAGUFULI AMTIMUA KAZI KAMANDA WA TAKUKURU MTWARA
Rais Magufuli amemfukuza kazi Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Mtwara baada ya kumuita mkutanoni Masasi akawa hayupo
Amuagiza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo kuteua...
Rais leo katika kusheherekea sikukuu ya muungano ametoa msamaha kwa wafungwa. Kuna kundi wamepunguziwa robo ya vifungo vyao achilia mbali moja ya tatu inayotambuliwa. Naona moshi mweupe kwa mh. Sugu
Wanatunyanyasa sana sisi wateja wanywa soda, maji nk haswa kwa siku za mwisho wa juma tunapokwenda kuangalia ligi mbalimbali bar hii ipo maeneo ya tank la maji
Mwanaume mmoja mkazi wa Manzese jijini amefariki dunia wakati akifanya mapenzi maeneo ya Tandale kwa malaya wanapojiuza. Mwanaume huyo ni Dereva wa taxi. Polisi walifika na kufanya upekuzi walimkuta kavaa ndomu na vidonge vinne vya Viagra. Inasemekana alimeza viwili kabla.mwanamke alitimua mbio...
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya NASA bwana Raila Odinga amewataka wafuasi wa NASA kususia kwenda kazini kesho. Ameyasema haya hivi punde wakati anahutibia wafuasi wake maeneo ya Kibra jijini nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
========
Opposition leader Raila Odinga is currently...