Search results

 1. pisi jacky

  Dear ladies

  Hope mko poa.... Niwaibie siri mwenye maskio na askie, jaman siku izi kuna kamsemo, "mwanaume akimwaga mboga we mwaga ugali ikiwezekana mwaga Hadi maji ya kunawa". Jaman mwanamke asiposimama imara dunia yote inayumba, kamwe kwenye maisha yako usimlipe mwanaume ubaya kwa ubaya anaokutendea...
 2. pisi jacky

  Nashauri kipindi cha mvua wanafunzi wawe wanavaa buti za plastiki

  Ningependa kuiomba serikali yangu tukufu na njema, kwa miezi hii ya Januari hadi Aprili watoto wawe wanavaa buti za plastic shuleni. Iweke tu sheria ya buti nyeusi, kwa sababu katika kipindi cha mvua watoto hukanyaga sana maji machafu. Leo nimekutana na katoto ka darasa la kwanza kamevua viatu...
 3. pisi jacky

  Uke wenza...

  Happy new year [emoji95] Hope mko poa, tuanze mwaka na simulizi izi mbili za wake wenza. Ya kwanza ni ya kijana mmoja natamuita dany, dany alioa kwa bahati nzuri au mbaya mkewe hakubahatka kuzaa ivo dany katika pita pita zake akakutana na kabinti kamoto kweli yule binti alibeba mimba na kuzAa...
 4. pisi jacky

  Gentlemen nawaita kwa heshima zote

  Hello, everyone Hope mko poa, siku kazaa zimepita niliitisha Kikao Cha ladies. kutaka kujua kwanini mala nyingi hua haiwezekani kushare mwanaume[emoji848] wapo waliorespond raha ya mume muwe zaidi ya mmoja! Wapo waliobisha kabisa[emoji2955] wengine Hadi nimewaona pm wakieleezea kwa hisia Kali...
 5. pisi jacky

  Ladies mkuje hapa tuseme jambo

  Hope mko poa Moyo wangu unasononeka sana, ndan ya wiki moja yametokea matukio ya ajabu sana hapa mtaan kwetu. Yaan kila nikifikilia na kuangalia nakosa hata ham ya kula. Lakini kabla sijawasimulia naomba Niulize swali. kuna shida gani?!mwanaume akiwa na wake wawili na wote anawahudumia vzuri...
 6. pisi jacky

  Wanaume mnaopiga wake zenu

  Wasalaam, Mungu ametuumba tu katika hali ya kutegemeana, moyo wangu unaniuma sana ninapoona watu wanapishana to the extent wanapigana . Kwa wanaume mnaopigwa mtanisamehe, sikuhukumu mwanaume unaempiga mkeo Wala sikunyoshei kidole. Let's talk just talk Najua mpaka unachukua uamuzi wa kumpiga...
 7. pisi jacky

  Dunia ina Mambo...

  Vijana wetu wa kiume hamjambo, nawasalim ni mim tena mwandiko bila nukta Wala vituo. Kuna wakaka mi nawaita watoto, bila kujali umri wao yaan n wavulana. unakuta mvulana ana More than 34 years hajaoa, ila kakazana kupost "mwanaume mwenye gari utamkuta unapopaki gari lako" mala nyingi mtu...
 8. pisi jacky

  Kuoga mara mbili

  Jamani hamna kitu sipendi kama kuoga, ningezaliwa wa kiume walahi ningekua namaliza wiki bila kuoga yaani kila asubui napoingia bafuni roho inaniuma mno ila jinsia inanibana inanibd nioge. Kinachoniuma zaidi usiku tena lazima nioge nikijitaidi kulala bila kuoga sa sita usingizi unakata mwili...
 9. pisi jacky

  Single fathers: Wanaume mje msome

  Nimeona sehem nyingi watu wanaongelea ongezeko la single mothers wanasahau mtoto n wa baba na mama leo nawaletea uzi maalum kuhusu single fathers Kuna single fathers wengi kuna aliefiwa na mkewe kuna aliekua na mwanamke wakaoana na baadae wakaachana kuna ambae ye ndo kichaa kampa binti wa watu...
Top Bottom