Search results

 1. khairun

  Azam yapoteza ubora wa picha

  Nimekuwa nikiangalia mechi za mpira wa miguu za tanzania kupitia king'amuzi cha azam kwenye Smat TV. Niliangalia mechia ya yanga na simba ya tarehe 12 July 2020 na mechi ya Yanga na Singida ya tarehe 15 July 2020. Zote zinaubora mbovu kabisa. Sijawahi ona obora wa hovyo kama kwenye picha za...
 2. khairun

  Elections 2015 Lowassa ashindwa kuhutubia Geita

  Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mheshimiwa lowasa alifika kiwanjani saa 11 na dkk 20. Lakini tukaambiwa mzee anaahirisha mkutano mpaka siku ingine, wakati tunajua huwa hatumii zaidi ya dkk10, kwa nini asingehutumia, mamia ya watu wanalalamika kuwa hawatoi tena kura kwa lowasa, wamekasirika...
 3. khairun

  Nawezaje kuziweka chopstick( ice cream) kwenye kifungashio.

  Nimekuwa na biashara ya kutengeneza chopstick wengine huziita chokstick, nataka niziweke kwenye kifungashio na ziweze kukaa hata kwa mwezi mzima bila kuharibika na pia kupanua soko langu, naomba kwa mwenye utaalam anisaidie.
 4. khairun

  Kinga ya bunge dhidi ya mh:Pinda

  Wanaharakati wanaonekana kuweweseka na kauli ya Waziri mkuu kwa kuwa wao ni washawishi wakubwa kwa watu kuandamana, na kwa kauli ya waziri mkuu wanajiona wao nao watakuwa wahanga wa kauli hiyo, Hivi hawajui au wamesahau kuwa mbunge hatashitakiwa kwa kauli yoyote aliyoitoa bungeni. Pinda...
 5. khairun

  Sababu ya Hasira za KAGAME kwa KIKWETE

  Bwana KAGAME amepata hasira na Tanzania na sio KIKWETE, sababu kubwa ni kwamba nchi yetu imezuia ulaji wake huko CONGO. Haiingii akilini Bwana KAGAME amtukane Rais wetu hazarani kwa sababu ya ule ushauri, Tena ushauri wenyewe unaonekana ukifuatwa tatizo la waasi wa Rwanda litakwisha. Hii nchi ya...
Top Bottom