RIWAYA: MVAMIZI
NA; BAHATI K MWAMBA.
SIMU: 0758573660/0656741439.
1:
CHIPIPA, ANGOLA…
Pembezoni kidogo mwa mji mdogo wa Chipa ulioko ndani ya mkoa wa Chipipa nchini Angola, kulikuwa na tukio lililokuwa linaendelea katikati ya giza nene. Tukio ambalo lilikuwa linafanywa...
RIWAYA; NGOMA NGUMU
NA: BAHATI K MWAMBA
SIMU: 0758573660/0624155629
NAIROBI, KENYA…
Kulikuwa na mabishano makubwa ndani ya nyumba moja ya kifahari, katikati ya jiji la Nairobi. Kulikuwa na familia inayoongozwa kwa misingi ya kihuni na ukorofi uliyotukuka. Familia ambayo iliamua kuliteka jiji...
RIWAYA; CHELEWA UZIKWE!
NA; BAHATI K MWAMBA
SIMU; 0758573660/0624155629.
DAR ES SALAAM….
Kelele za muito wa simu zilimuamsha katikati ya usiku mnene. Alijivuta kivivu huku akijaribu kushindana na uzito wa macho yake. Aliifikia simu yake na kutazama mpigaji.
Haraka alinyanyuka kitandani na...
NA; BAHATI K MWAMBA
-----1------
Kikao cha watu watatu kiliendelea na kila Mjumbe, tayari alishatoa wazo lake aliloona ni sahihi kwa wakati huo. Makubaliano ya hapa na pale yalifikiwa, lakini ukaibuka utata kwenye hitaji lao la mwisho, na lilowafanya wakutane siku hiyo...
RIWAYA; MAUAJI YA KIFO
MTUNZI; BAHATI MWAMBA
SIMU;0758573660.
Mwaka 2012
CHAYA-
Kikundi chao kilikuwa na watu wanne. Kikundi hiki kilikuwa na watu wanaopenda kujiongeza, bila kujali matokeo yatakayopatikana baadae. Kwa lugha yao ya utani kambini; kikundi hiki kiliitwa...
Wale wapenzi wa riwaya za Kudo. Mliokuwa mnanunua kila mara na mara ya mwisho, mliahidiwa ofa na hamkupata..
Tafadhalini, nitext whatsapp 0658564341. Simu yangu iliibwa, hivyo nimepoteza mawasiliano yenu yote.
RIWAYA: JASUSI KOMANDO
NA; BAHATI MWAMBA.
SIMU: 0758573660
1.
BERBERA, SOMALIA (Somaliland).
Alivuta pumzi zake kwa kasi kisha,alizishusha taratibu huku akiwa amefumba macho yake na kichwa chake akiwa amekiinamishia mbele kiasi, kidevu chake kiliegama kifuani mwake.
Zoezi lile alikuwa...
RIWAYA ; KIKOSI CHA PILI.
Season 2.
Na; BAHATI MWAMBA.
SIMU;0758573660.
Soma hivi……..
GATUMBA BURUNDI.
Kiasi cha kilomita kumi na tano kutoka Bunjumbura na, kilomita tano kutoka mashariki ya Congo, kulikuwa na kundi la watu wanne wakijongea kwenye makazi ya watu yaliokuwa kati...
RIWAYA; DOA LA VIPEPEO
NA; BAHATI MWAMBA
SIMU; 0758573660.
-----1-----
Ulikuwa ni muda sahihi kwa kila mmoja kurejea nyumbani, muda ambao jua lilikuwa limeanza kuiacha Mashariki yake na kwenda kwa mchepuko wake bi. Magharibi. Harakati za hapa na pale zilianza kufungwa, watu walianza...
RIWAYA; MTUMWA
NA; BAHATI MWAMBA
SIMU; 0758573660
RIWAYA ZILIZOTANGULIA..
• MPANGO WA CONGO
• KIKOSI CHA PILI
• URITHI WA GAIDI
• DAKIKA ZA MWISHO
• OPERESHENI KuKu
• OPERESHENI JICHO LA PAKA
• BAHARIA
• SAUTI YA MTUTU
• MBWA WA GETI
• CHUMBA CHA SABA
Endelea………
---01---...
RIWAYA; OPERESHENI KUKU (KUFA KUPONA)
NA; BAHATI MWAMBA
SIMU; 0758573660
VITABU VILIVYOTANGULIA
• KIKOSI CHA PILI
• MPANGO WA CONGO
• URITHI WA GAIDI
• SAUTI YA MTUTU
• DAKIKA ZA MWISHO
• OPERESHENI JICHO LA PAKA
• BAHARIA
• CHUMBA CHA SABA.
Soma
----Beni; Kivu kaskazini...
RIWAYA; BAHARIA
NA;BAHATI MWAMBA
SIMU; 0758573660
VITABU VILIVYOPITA.
• MPANGO WA CONGO
• DAKIKA ZA MWISHO
• URITHI WA GAIDI
• OPERESHENI JICHO LA PAKA
• SAUTI YA MTUTU
• MBWA WA GETI
• KALENDA YA IBILISI
******
--Gazeti Mwananchi—
Ndege ya shirika la ndege la...
Nimewaza tu zile kura za ndio wakati wanapitisha sheria ya kikotoo, nimekumbuka yule mwenyekiti wa vijana alivyoita waandishi na kujifanya anajua sana kueleza.
Nawaza tu katibu mwenezi na katibu mkuu wanalipi hapa la kutufanya tusapoti juhudi zao za kuita wengine mafisadi na wahujumu uchumi...
RIWAYA: URITHI WA GAIDI.
NA; BAHATI MWAMBA.
SIMU: 0758573660
Vitabu vilivyopita.
• Kikosi cha pili
• Dakika za mwisho
• Mpango wa Congo
• Mbwa wa geti
• Operesheni jicho la paka
• Sauti ya mtutu
1:HISABATI
Jua lilikuwa linaelekea magharibi na kuelekea...
RIWAYA: URITHI WA GAIDI.
NA BAHATI MWAMBA.
SIMU: 0758573660
Vitabu vilivyopita.
• Kikosi cha pili
• Dakika za mwisho
• Mpango wa Congo
• Mbwa wa geti
• Operesheni jicho la paka
• Sauti ya mtutu
1:HISABATI
Jua lilikuwa linaelekea magharibi na kuelekea kuzamia...
Moja ya sehemu yenye watu makini na wenye uthubutu ni hapa Jf ila nadhani umakini na uthubutu huu ni kwakuwa tuko nyuma ya Id fake!!
Ni mengi yanaendelea ambayo hayapendezi, japo yapo machache yanayopendeza japo si sana!!
.
Nimeona watu tukilumbana kuhusu watu wanaoalikwa Ikulu kazi yao ni...
Mods naomba msiunganishe uzi huu mana na nyie mmekuwa kama mnahusika na mitandao kila tukiweka uzi wa aina hii mnafuta au kaunganisha na nyuzi za miaka sita nyuma.
Kiukweli upande wangu imegeuka kuwa kero kuwa mtumiaji wa mitandao hii ya simu.
Si voda;airtel;Halotel ama Tigo yote hali ni moja...
RIWAYA: MPANGO WA KONGO
NA, BAHATI MWAMBA
SIMU: 0758573660.
1
MAUAJI
Ilikuwa ni ndani ya majengo ya ubalozi wa Tanzania yalioko pembeni kidogo mwa mji wa mji mkuu wa Congo DRC katikakati ya mji mdogo wa Ivuba.
Katika moja ya meza zilizokuwa ndani ya vyumba vya juu kabisa ndani ya...
*Mwanaume* haitaji Mwanamke mwenye Sura nzuri kama *Miss Utalii* na *Makalio* yanayoweweseka akitembea kama mshumaa uliopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi....
Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa ya macho na ngono...
*THERE IS LIFE BEYOND ATTRACTION AND SEX*
Ndo maana utashangaa mtu...