Hello
Kwa wataalamu wa afya ningpenda kujua ni sababu gani zinamfanya mzazi akatazwe kunyonyesha mtoto ukiacha ya HIV ambayo ndio pekee naifahamu.
Leo nimeshangazwa kuona mzazi hanyonyeshi tena mtoto sababu anasema maziwa yake ni machafu hivyo ameshauriwa ampe mwanae maziwa ya ng'ombe au kopo...
Kumbukumbu zangu
Mwaka 2005 nilisoma kwenye gazeti moja hivi (sikumbuki) alisema anampango wa kugombea ubunge ifikapo 2015.
Sijui kama bado ana nia hiyo iliyomlazimu aache kazi au kapata shavu kwingine.
ALL IN ALL: Kila la kheri Maulid Kitenge a.k.a Baba Shadya tutakumiss kwenye kioo...
Kila nikijitahidi kuangalia vipindi vya TBC vyote vinaonyesha tu mafanikio ya Serikali na Mambo mazuri tu, Sijawahi kuona vipindi vinavyoonyesha kero za wananchin
Nimejaribu kugoogle matokeo tajwa hapo juu yaani form 4 waliomaliza mwaka 2005 sijaona napata tu 2006 na kuendelea pliz mwenye link ya huo mwaka pamoja na formsix mwaka 2008.
Napenda kujua tofauti kati ya msichana na mwanamke ni nini umri au kuna vigezo vingine maana maana ya kiswahili na kiingereza nitofauti ningependa kujua nini tofauti?
Msanii AY kaohijiwa na Citizen Tv muda mfupi uliopita anasema ndoto yake ikikuwa awe rubani na sasa ameanza kusoma hiyo fani ajabu ajasema anasomea wapi maana anaona yuko busy na show tu za nje.