Search results

 1. Elly B

  Kwa mwendo huu, sherehe za Mapinduzi Zanzibar zitakuwepo?

  Achaneni na politics zilizochanganywa na propaganda. Wanasiasa ni watu wa aina yake! Mtashangaa mkija kuona upande wa pili wa shilingi!
 2. Elly B

  Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!

  Talking of presidential decrees...hazikutakiwa kutumika katika nchi zinazohubiri utawala wa kidemokrasia. Kwenye nchi za kifalme yes!
 3. Elly B

  Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

  Wapendwa nadhani ni vizuri tukakumbuka kuwa sheria ya manunuzi inakuwa na makali kwa fedha za umma. Ile ilikuwa michango binafsi. Kama kuna usanii mwingine, mimi sijui. Lakini tukutaka kusema kuna sheria zilikiukwa hapo hutuna pa kushikia. Pesa binafsi zinaweza kutumika kwa mipango yoyote...
 4. Elly B

  TBC na magazeti ya Serikali vishitakiwe

  Chombo binafsi kina uhuru wa kutangaza habari ambazo kinaona zinafaa. No limitations no rules. Mradi ni za kweli! Chombo cha Umma, kinachoendeshwa kwa kodi kodi za wananchi wote, bila kujali vyama au dini, rangi au kabila, ni MAKOSA kuamua kutoa taarifa za upendeleo kwa tofauti za itikadi ya...
 5. Elly B

  Mzee Matson Chizi Mwizi maarufu wa Kura aliyehama CCM na kujiunga CHADEMA

  At least mnakubali huwa mnashinda kwa kuiba Kura. Its a step forward. Next step will be to realize kuwa kwa kuwa mmekuwa mnaiba kura, hamna ridhaa ya wananchi kuongoza nchi na hivyo chochote mnakifanya kinatupeleka karibu zaidi na kupoteza amani yetu kwa gharama ya tamaa zenu za kishetani!
 6. Elly B

  Utafiti wa Synovate: Magufuli aongoza kwa 62%. Yabainika watanzania bado wana imani na CCM

  Synovate ndiyo kadudu gani tena? Hivi na Tandale saccos wanatangaza tathmini yao lini?
 7. Elly B

  CCM nendeni mkafanye mdahalo wenu feki

  Mwacheni mgonjwa wa watu aendelee na ratiba zake. Kimsingi kama afya yake haimruhusu kusimama masaa 3, hana haja ya kusimama masaa yote hayo. Cha msingi yeye afanye anayoweza kwa kadri ya afya yake kwa sasa. Ugonjwa siyo aibu kama wengi mnavyotaka ionekane. Nadhani it's heroic kwamba mtu...
 8. Elly B

  Against Twaweza opinion poll - No validation (Pingamizi la utafiti wa Twaweza)

  Sidhani kama hawawezi. Ni ujinga wa demokrasia za kiafrika. Kwamba unataka uonekane kwako kuna demokrasia wakati kuna chama kinaegemea polisi, Usalama na mahakamani! Matokeo yake mijitu kama hiyo inahongwa itangaze matokeo yasiyoeleweka na yenyewe inatangaza tu kama vile nchi nzima ina wanafunzi...
 9. Elly B

  Against Twaweza opinion poll - No validation (Pingamizi la utafiti wa Twaweza)

  Sana mkuu. Ndiyo maana nikasema validation kwa matokeo yenye maswali kama yale ni hatua ya mbali sana.
 10. Elly B

  Timu ya kampeni ya Dr. Magufuli yasambaratika

  Kama unavyoona, mimi sijakutukana bado. Wala sitakutukana. By the way hata siyo supporter wa mgombea yeyote, though ni mpenda mabadiliko sana!
 11. Elly B

  Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

  Kwenda Tandale? Sijawahi kuona kama ni kitu cha ajabu sana. Simuongelei EL tu hapa, Katiba ya JMT inatoa haki ya association with condition: mradi havunji sheria! So kama yeye au yeyote ameamua kukutana na mtu au watu bila kuvunja sheria sioni kama 1. Ni maigizo-coz ni haki yake kikatiba...
 12. Elly B

  Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

  Ni wazi kuwa hawa watu wameshaona hata wakinadi sera na ilani yao bado watu hawawaelewi. Kwa hiyo kilichobaki ni kufanya ukatuni na comedy mpaka uchaguzi ufike, waibe kura, wakishindwa wasababishe fujo ili nchi itawaliwe kijeshi. Vinginevyo nadhani ingekuwa poa sana kama hawa wangepiga na push...
 13. Elly B

  Exclusive Interview with UKAWA's Edward Lowassa: I think I can be a President

  Huyu mgombea anaonekana kweli ana tatizo kiafya. Ajabu ni kwamba nadhani bado hilo siyo pingamizi kuchaguliwa. Hata Kenya walipomchagua Mwai Kibaki alikuwa mgonjwa sana na aliwahi kusema kama kuna mtu ulaya ana shida yeye ni mgonjwa hawezi kusafiri so wamfuate Kenya! Nadhani wote mnaona what...
 14. Elly B

  Against Twaweza opinion poll - No validation (Pingamizi la utafiti wa Twaweza)

  Kudai validation ni kutoka barabarani. Nadhani the concern was supposed to be imekuwaje wakafikia hapo? Kwa manufaa ya nani? Kwa nini wanadanganya umma?
 15. Elly B

  Timu ya kampeni ya Dr. Magufuli yasambaratika

  Wala siyo ubunifu, ni taarifa zilizothibitishwa toka ndani ya "kamati" Na ni kweli kamati imebomoka jana usiku. Na ajabu kuna ya ghafla imeundwa ikiongozwa na naibu waziri fulani Kijana kuliko wengine.
 16. Elly B

  Wasomi watanzania: Wakili Lissu mfano wa mchumia tumbo na aibu kwa Chama Cha Mawakili

  Tafsiri ya huo "umaskini" haikumaanisha kutokuwa na kitu. Ila alitaka tu kusema kwa yeye kuwa advocate, pesa ambazo angetengeneza huko ni nyingi ukilinganisha na kuwa mmbunge. Hivyo alimaanisha kuwa kwa yeye kuamua kuwa mmbunge ni kuamua kuwatumika watu bila kujali faida hasa, kwani angetaka...
 17. Elly B

  CCM wamekosea kutumia M4C kumnadi Magufuli

  Public icons hazihitaji kusajiliwa ili ziwe limited. Ndiyo maana pamoja na kuwa jina "Kamati kuu ya CCM" halijasajiliwa popote, hakuna mwingine anayeweza tena kulitumia. Hata kama CCM hiyo siyo Chama cha Mapinduzi! Au huwezi leo ukasajili asasi ukaiita "Wizara ya kazi" hata kama hilo...
 18. Elly B

  Wasomi watanzania: Wakili Lissu mfano wa mchumia tumbo na aibu kwa Chama Cha Mawakili

  Ukishaandika vitu kama hivyo, hasa pale inapokuwa ni mtazamo ambao unao peke yako, siyo mbaya ukamaliza na "in my opinion"! Otherwise ni vizuri ukajua kuwa kwa mtazamo wangu, ambao unaungwa mkono na wengi, Lissu ni mwnasheria makini, anayejua anachofanya. Ana uwezo mkubwa kisheria kuliko...
 19. Elly B

  UKAWA inaweza kuleta mabadiliko?

  Again, inakupunguzia kitu ikiwekwa tena? Inakupa shida ukijiridhisha tu kuwa ulishachangia mwaka juzi, leo ukapita tu bila kusema lolote? Au unahisi wote waliiona siku hizo? Au je ni wote waliochangia leo walishachangia kabla? Kwamba wewe uliingia hotelini ukapewa wali ukala ukashiba, haitoshi...
 20. Elly B

  Wafanyakazi waliosambaza Video ya Dr. Slaa akiingia chumbani Serena Hotel wafukuzwa kazi

  Hilo swala ni complicated zaidi ya hapo wapendwa. Kama uongozi umeamua kuwafukuza kwa kubreach confidentiality hilo ni sawa. Ila walitakiwa kupewa nafasi ya kujitetea. Kwa kipengele hicho wanastahili fidia. Kuhusu wafanyakazi kuhisi kuwa kuna kitu ambacho kinahatarisha usalama wa nchi, I don't...
Top Bottom