kama hana akiba ya kueleweka na vitega uchumi atateseka sana na atajuta siku zote..... Hata kama una hasira ni vizuri kukishusha muda mwingine na kuacha baadhi ya votu vipite tu....tusiache hasira zituongoze
hivi mkuu huwezi toa hoja bila kutukana? hivi hapo mbona ungemwambia nilishabikia toka kipindi cha Halland snr au toka kpindi cha kina Richard dunne mbona jibu lilikuwa simple sana,
Matusi hayakupeleki kokote toa hoja unapobishiwa matusi sio uungwana maana upo kwenye uzi wao sio uzi wenu wa city.
vipi chelsea ya Timo werner, haverte, Malang sarr, eduardo mendy na thiago silva inaimpact gani kwenye league?
Mpo nafasi ya ngapi vile?..... Pia unahitaji impact gani zaidi ya kuwa msaada kwa timu kuongoza league mkuu? Je kikosi chenu kimekosa impact hata ya kuwa top four mpaka baada ya game...
mahitaji ya Pes yapo chini kidogo lwemye upande wa graphic ram yake gpu and the likes ila kwemye FIFA aiseh kila kitu kipo juu sana kuanzia ram inayohotajika,gpu na mengine....ndio maana wenye pc weng wanatumia FIFA14 wameweka mods wanapiga vizuri kiasi japo shida ya mabeki kukatika ukipiga chop...
sijaona kikosi cha kuifunga man u leo, yani kwa centre-backs za Hendo na Fabinho ndio mumzuie rashford martial na cavan (akiingia) wewe jiandae kumtukana klopp badae
Shauri yako baada ya dakika 90 utakuja hapa kumlalamikia klopp kwanini amemuanzosha Henderson kwenye CB......kitu nilicho nauhakika nacho leo mi man u kufunga goli
unafuatilia mpira vizuri? hiyo kupiga mbele na kufukuzia wazungu wanaita counter attack nitajie timu ambayo haitumii counter attack hata mara 2 kwa game 1 nikupe video yao ya counter attack....
manchester united wanatumia counter attack na imewapa mafanikio makubwa hasa kipindi cha babu fergie...
ubora wa timu unazungumziwa kwa mafanikio ya muda husika, je msimu huu mmeshinda mechi ngapi na kupoteza ngapi na manchester united wameshinda ngapi na kupoteza ngapi.......
Je mpo nafasi ya ngapi kwenye league na manchester ipo nafasi ya ngapi kwenye league hadi muda huu?
hayo maswali mawili...
kwahiyo mzazi wako alitaka usioe ili mali zako kidogo azimiliki yeye nini?.. Hatuhukumu ila inatia shaka sana......kama hajaharibikiwa kisaikolojia basi ipo namna.