Mikoa ya Kagera Mwanza,Geita,Kigoma na Singida imetajwa jana Bungeni kama mikoa ambayo wananchi wake ni maskini wa kipato kiasi wanashindwa hata mlo wa siku.
============
Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amewasilisha bungeni Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa Fedha...
Nimeshuhudia Madiwani wakiapishwa huku hawajui kusoma wala kuandika hiki ni kituko cha kipekee najiuliza hiyo mikataba ya Halmashauri wataisomaje na kuielewaje na hiyo miradi ilioko chini yao?
Hata kama ni siasa oneeni huruma fedha za Halmashauri.
Scientist estimates that You"ll fall in Love seven times before you get married......unaweza ukapima mwenyewe uko mara ya ngapi ku fall kabla ya ndoa yako...!
heshima mbele wajameni ,niko kwenye pozi la furaha baada ya wife kujifungua mtoto wangu wa kwanza ..baby Dominick...nimeona nishare nanyi huu wakati wa furaha na baraka.Nawatakia kila la heri wale wote wajawazito,Mungu awalinde mjifungue salama.
Wakuu naomba kufahamishwa ikiwa mfanyakazi yuko serikalini na anafani mbili mfano ni Afisa kilimo na mifugo na ni mwanasheria ,anataka kubadilisha afanye kama mwanasheria wa serikali au idara inayoswihi na hiyo taaluma ya pili,naomba kujulishwa utaratibu kufatwa au waraka wa serikali juu hilo.!
Familia tatu zimejifungia msikitini mkoani kibaha toka zoezi la sensa lianze wamesema wao ni waislam safi na hawako tayari kuinajisi dini ya mwenyezi mungu,Amri kutoka kwa mkuu wa wilaya kibaha imetoka ndani ya masaa 24 wawe wameondoka ,wamesema wao wanatetea haki za waislam wako tayari kufa na...
Miaka saba vana persie amekaa arsenal hamna kitu bora usepe ,halafu kuna yule loser mwingine Fabegras kakimbia Arsenal kahamishia mkosi Barca ,Gary cahil miezi sita tu FA CUP na CHAMPION LEAGUE.huu ni mwaka wa blue blue,naona hata kwenye basketi huku Oklahoma wameichapa LA Leakers. BLUE IS THE...
Kama kuna kitu ccm waliyumba ni kumleta mpiga porojo lusinde halafu wakaongeza na mganga wa kienyeji steven ngonyani ,mikutano yao ikaonekana kama mkusanyiko wa "ibada za kiganga" wameru wakashangaa hii ni ile ccm ya nyerere au wapiga ramli,baada ya wiki tatu za kebehi,matusi,dharau na ramli za...
Elvis prisley,John kennedy, Robert kennedy,chacha wangwe,dr Omar ali Juma,brenda fassie ,michael jackson,kim jong il,Tupac shakur Amina chifupa..the list goes on .....why .Today Regia Mtema RIP.
Aliyekuwa katibu mkuu ,James ndalivoi Amejiuzulu uanachama wa nccr mageuzi na kujiunga chadema ,kupinga kuvuliwa uanachama mbunge wa kigoma kus,David Kafulila,amesema yeye pamoja na jopo la wanachama 1000 wamejiunga chadema,anaamini ndicho chama kinachotetea maslahi ya kitaifa na wanyonge.source...
Ukiangalia sakata la David kafulila,kufukuzwa uanachama ikimaanisha pia hata ubunge wake ataupoteza ,hapa ndio naelewa kwanini wabunge wa ccm unaweza waona kama wanasahau akili zao,wanapotetea mambo ya chama,wako tayari kujipendekeza kwa chama kwa hoja zilizojaa porojo,mifumo ya demokrasia ya...