Search results

 1. I

  Ushauri nataka kununua PC, HP niko Dodoma

  Habari zenu wakuu, Naombeni ushauri nataka kununua PC mpya aina ya HP, Lakini sina utaalamu wowote juu ya PC ipi ni nzuri zaidi. Hivyo ningependa kujua yafuatayo:- ~PC ipi ya HP itanifaa kwa kusomea na kuchezea games ~Pia ipi ni nzuri kea kutunza charge ~Display iwe kuanzia 14inches Pia naomba...
 2. I

  Naombeni msaada wa mbinu na connection za kuweza kubalidi course UDOM

  Habari zenu wadau,husika na kichwa cha uzi hapo juu naomba kujuzwa mbinu,ujanja na connection ambazo watu wanatumia hadi wanafanikiwa kubadili course hapo Udom. Kwa ufupi mimi nimechaguliwa nursing udom lakini ndoto zangu zilikuwa ni kusoma MD. Nawaza nikifika chuo zikitokea chance za kujazia...
 3. I

  Naombeni ushauri nisome course gani ya afya kwa matokeo haya

  Habari wana jf,husika na kichwa cha Uzi nimesoma PCB na matokeo ni kama ifuatavyo. Phy-C Chem-C Bios-C Bam-D Sasa baada ya kuomba round ya kwanza sijabahatika kupata chuo,Naombeni ushauri ni course zip nzuri za afya ambazo naweza kupata kwa round 2. Nawasilisha.
 4. I

  Msaada Muhas admission result kwenye account yangu hakuna taarifa yoyote!

  Habari zenu wadau,husika na kichwa cha Uzi naomba msaada maana sijapata taarifa yoyote.
 5. I

  Naomba kujua nauli ya basi kutoka Mbeya hadi Kigoma ni shilingi ngapi?

  Habari wana JF, Naomba kujua nauli ya basi kutoka Mbeya hadi Kigoma ni shilingi ngapi? Pia, naomba kujua kama kuna basi la moja kwa moja Mbeya to Kigoma? Nawasilisha.
 6. I

  Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

  Habari wana jf, Husika na kichwa cha uzi naomba kujua kama RITA wameshaanza uhakiki wa vyeti kwa njia ya mtandao kwa vijana wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB? Pia naomba kujua kama bodi ya mikopo,HESLB kama tayari wameshatoa vigezo vitakavyotumika mwaka huu? Nawasilishà. #jEshi.
 7. I

  Mabaharia karibuni mtoe na nyinyi sifa zenu za marriage application

  *Mzuri wa sura sio unakuwa na demu sura kama ngiri. *Mweupe au rangi ya chocolate au maji ya kunde na sio mweusi. *Shepu lazima awe na msambwanda medium size,Sio shape kama Sanchoka maana ile ni kero. *Awe mrefu kiasi sivutiwi kabisa na short chassis. *Miguu isiwe na gaga,vidole vya miguu...
 8. I

  Je, Askari akiua ni dhambi kwa Mungu ?

  Habari wana jamii intelligence, Kutokana na kichwa cha uzi nini maoni yako kwamba askari mfano mwanajeshi,polisi akiua mtu pindi awapo katika majukumu yake ya kazi ni dhambi kwa Mungu? Nimemuuliza kiongozi wangu wa dini naona hana hoja za msingi binafsi Mimi naona ni dhambi kwa sababu kila...
 9. I

  Mke wa ndoa akichepuka bora umgeuze msukule upate hela

  Habari wana MMU, Bila kupoteza muda nimeona njia sahihi ya kumkomoa mke mchepukaji ni kumgeuza msukule ili urudishe hasara ya kugongewa,Pia itakusaidia kuongeza kipato chako mwisho was siku Unakamata chombo kingine. Sio mtu unahudumia halafu yeye anagawa tu papuchi.
 10. I

  Naomba kufahamu namna gani naweza kuwa rubani wa jeshi au commando

  Habari zenu wakuu! Husika na kichwa cha uzi. Naomba ufafanuzi wa hayo. Pia mtu aliyesoma PCB anaweza kuwa rubani jeshini? Nawasilisha.
 11. I

  Likizo ya siku 30 imesababisha jamaa yangu kuwa baba kijacho

  Habari zenu wana JF Natumai mtakuwa wazima wa afya bila kupoteza muda niende kwenye mada husika. Kuna jamaa yangu ni mwanafunzi wa form six, huyu bwana yeye kazi yake akiwa likizo ni kubadilisha tu mademu. Yani ni mzee wa kula tunda kimasihara. Huyu jamaa siku hizi takribani 20 kesha tembezea...
 12. I

  Msaada naomba kujua ada ya Doctor of Medicine chuo cha Bugando na KCMC

  Habari wana Jf, Kwa ufupi ninaomba kujua ada a hii course Doctor Of Medicine katika vyuo tajwa hapo juu. Nawasilisha.
Top Bottom