Hiyo kawaida sana mbona binadamu akiwa hai uitwa mtu na akifa anaitwa marehemu mifano iko mwizi kila jina lina sababu zake watu ubadilishwa majina kutokana na matendo yao.
ACT ilikuwa inawakilishwa na Zitto tu mbona hakususwa tatizo ni umimi kwani yeye akiwa mbunge pekee wa CHADEMA hatoweza kuongea na kupewa hoja na chama chake kupeleka bungeni.
Ingekuwa bora mngetuonesha aliyekamatwa nazo lakini si kutuonyesha kwamba zimekamatwa wakati mtuhumiwa hayupo ndio nini sasa,labda mumeamua kupotosha umma ili ieleweke kuwa ni kweli kumbe usanii ,sasa nimeanza kuona umuhimu wa kuzima mitandao maana haya wanaoona hawafiki hata 1000
Watanzania wa kipindi cha kwanza cha Mkapa watakubaliana nami kuwa mazoea yanaharibu sana fikra za jamii. Kipindi cha kwanza cha Mkapa nchi ilikuwa imetoka katika uongozi wa ruksa maana yake nchi ilikuwa haina mifumo imara hivyo alipoingia Mkapa alisababisha watu wengi kuanza...
Namaanisha kuwa mungu ndiye upanga jambo ila pia muombaji wa kweli kwake upata na muombaji mnafiki hawezi kumpatia, ishu ya vifo vya korona imewaathiri sana mataifa yenye ushoga mwingi kama marekani,Italy,Brazil,nk hivyo najaribu kukujibu kuwa ni kweli mungu ndiye ametuwezesha kufanikisha ila...
Biashara ninayo na haijahathirika kwa chocchote wewe unauza nini madawa ya kulevya au bhangi hivyo vilishapigwa bani lakini biashara halali bado zinaendelea.