Search results

 1. Z

  Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nileteeni Madiwani wachapakazi kama Juma Raibu

  KAMPENI ZA MAGUFULI MKOANI KILIMANJARO Nileteeni Madiwani Kama Juma Raibu Leo katika kampeni zake zinazoendelea Mkoani Kilimanjaro Rais na Mgombea wa CCM Dkt John Pombe Magufuli wakati akiwaombea kura Wagombea wa Udiwani wa CCM amesema anahitaji madiwani wachapakazi za Wananchi wanyonge Kama...
 2. Z

  Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

  Marekani ishike mambo yake
 3. Z

  Uchaguzi 2020 Davis Mosha: Mchagueni Magufuli nitawapa Bodaboda 500 hata Kama hamkunichagua 2015

  Kada wa chama Cha mapinduzi na bilionea Davis Mosha amewaambia hayo Wananchi wa Moshi kuwa hata Kama hawakumchagua 2015 kwenye ubunge hatasita kutekeleza ahadi zake alizowapa kipindi hicho. Pia Davis Mosha amewataka kuacha kufuata mkumbo wakuaminishwa kuwa Kilimanjaro Ni Upinzani hata iweje...
 4. Z

  Uchaguzi 2020 Davis Mosha: Kaskazini sio upinzani, tusifuate mkumbo

  Akiongea na Wananchi wa maeneo tofauti tofauti kaka Mkubwa Davis Mosha amewataka wanaMoshi kumchagua Rais Magufuli, Priscuss Tarimo na Madiwani wa CCM na sio kufuata mkumbo wakuaminishwa kuwa Kilimanjaro na Kaskazini Ni Upinzani hata iweje, Kaka Mkubwa Mosha amesema leo wafanyabiashara wa Moshi...
 5. Z

  Tuzo ya amani na uvumilivu iende kwa Freeman Mbowe

  Mbowe a.k.a faru john
 6. Z

  Uchaguzi 2020 Davis Mosha: Mpeni Magufuli, hao wengine watauza nchi

  Aliyewahi kuwa Mgombea wa CCM Moshi Mjini na bilione Davis Mosha amwombea kura, Rais Magufuli, Priscuss Tarimo na Juma Raibu Kada wa Chama cha Mapinduzi na Aliyekua Mgombea wa Ubunge Moshi Mjini 2015, Ndugu Davis Mosha leo aliendelea na Kazi ya Kuomba kura za Urais kwa Dr. John Pombe...
 7. Z

  Uchaguzi 2020 Juma Raibu aharibu ziara ya Lissu Kilimanjaro. Ang'oa viongozi 15 wa CHADEMA

  Siasa za Chuki Mgombea wa Chadema Moshi Mjini Raymond Mboya dhidi ya Juma Raibu zinaharibia chama,viongozi wanazidi kuhamia CCM kuunga mkono kazi za Raibu Mgombea Udiwani wa BomaMbuzi Wakati tunamsbiri lissu Kilimanjaro ndivyo Hali inadhidi kuwa mbaya.
 8. Z

  Uchaguzi 2020 Martin Munisi amfikisha Mbowe mbele ya Kamati ya Maadili

  Hai, Kilimanjaro Mgombea udiwani Kata Ya Machame kupitia CCM Jimboni Hai, Ndugu Martin Munisi leo Mapema amefikisha Malalamiko yake kwa Msimamizi wa Uchaguzi dhidi ya Mgombea Ubunge kupitia Chadema Ndugu Freeman Mbowe Malalamiko ya Martin Munisi ni kuwa Mgombea Wa Chadema Ndugu Freeman Mbowe...
 9. Z

  Kilimanjaro: Diwani wa CCM Juma Raibu avamiwa na Kuvunjiwa vioo vya magari

  Mimi mwanachadema ila sijapenda hii tabia ya chadema Moshi kufanya unyama kwa Diwani kijana makini kama Raibu ,Huyu huwa anajali makundi yote ya vijana bila kujali itikadi yoyote.Chadema Moshi nimewashusha vyeo
 10. Z

  Malalamiko yangu dhidi ya baadhi ya Viongozi wa Wilaya ya Siha

  Malalamiko yangu Dhidi ya Onesmo Buswelu,Gama na Katibu wa CCM Wilaya ya Siha Juu ya Uchaguzi wa Kura za Maoni Mimi Tumsifu Kweka Ni Miongoni mwa wagombea waliopigiwa Kura katika Uchaguzi huo,Nikafanikiwa kuwa Mshindi wa tatu kwa kupata Kura 53 nyuma ya Dkt Mollel aliepata Kura 148 Na Aggrey...
 11. Z

  CCM Kilimanjaro acheni Kamati Kuu ifanye kazi yake

  WACHENI KAMATI KUU IFANYE KAZI YAKE Kwa sasa Kura za Maoni zimeshapigwa na Tayari Kamati kuu zina Picha halisi za Wagombea ambao wanawahitaji kuwezi kupeprusha bendera ya CCM kwenye Majimbo na kata. Wakati wagombea wakisubiri Matokeo juu ya Mgombea gani atapata ridhaa ya Kupeperusha Bendera ya...
 12. Z

  Ole Sabaya: Dkt. Magufuli anastahili ushindi wa 100%

  @Molembe ulivyozoea kutetea mkate hapo ufipa kwa kumpamba mbowe kuwa Ni mwamba ndo unahisi wote wako ivyo acha unyumbu
 13. Z

  Ole Sabaya: Dkt. Magufuli anastahili ushindi wa 100%

  Hakuna paliposifiwa Bali umeongelewa uhalisia
 14. Z

  Ole Sabaya: Dkt. Magufuli anastahili ushindi wa 100%

  Awamu hii mtasema yote Ila Ole Sabaya atamng'oa faru john kule Hai Wala hamtaamini
 15. Z

  Ole Sabaya: Dkt. Magufuli anastahili ushindi wa 100%

  Na wewe mbowe kakupofusha kila ukimsikia Sabaya unamwaga povu tu
 16. Z

  Ole Sabaya: Dkt. Magufuli anastahili ushindi wa 100%

  Akihojiwa na Global TV Mkuu wa wilaya ya Hai na kada wa Chama Cha Mapinduzi Lengai Ole Sabaya. *JPM Hakupigiwa Kura Ila Zilikuwa ni Kura Kwajili ya SGR, Elimu Bure, Uchumi wa kati, na zaidi kura kwa Heshima kwa Mtanzania wa uchumi wa kati -Ole Sabaya* NI DC WA HAI *LENGAI OLE SABAYA* AELEZEA...
 17. Z

  Uchaguzi 2020 Jimbo la Iramba hakika ni kumi yatosha!

  Mwigulu Nchemba Ni mashine kubwa acheni kucheza nayo Bwashee wangu Mwigulu Nchemba wape dozi zako nakumbuka 2015 ulivyowanywesha maji kwa ndio Sasa hivi wanyweshe kwa pipa [emoji2][emoji2][emoji2]
Top Bottom