Search results

 1. M

  Uchumi Supermarket imeamua kuwauzia wateja wake mifuko

  Hali hii nimeikuta leo nilipokwenda kupata mahitaji yangu.Mteja baada ya malipo anaulizwa kama anahitaji mfuko.Mfuko huuzwa 200.
 2. M

  Mwanamume amzika mkewe jikoni kama ishara ya upendo

  Mwanamume mmoja nchini Kenya afanya kituko cha mwaka kwa kumzika mkewe jikoni ili kuonesha upendo.Tukio hilo limetokea jimbo la Kaembu mji wa Kisii. Mume huyo amesema amefanya hivyo ili kumuenzi mkewe aliyempenda kwa dhati ingawa alikuwa mkulima mwenye kipato kidogo wakati mwanamke ni...
 3. M

  Rais Kikwete apewe tuzo ya rais bora katika ukanda wa maziwa makuu

  Hakuna asiyeona kazi nzuri na utumishi uliotukuka wa rais wa Tanzania ndugu Jakaya Kikwete. Kwa muda aliokaa madarakani ameleta maendeleo makubwa katika nchi yetu. Elimu, afya, kilimo na ujenzi wa miundombinu ni baadhi ya maendeleo katika kipindi cha uongozi wake. Kuna haja ya Watanzania...
 4. M

  Mkuu wa shule anapomlinda mwalimu anayejishughulisha na vitendo vya kishoga kwa wanafunzi

  Mkuu wa shule moja mkoa wa Pwani wilaya ya Bagamoyo kwa muda mrefu amekua akishindwa kumchukulia hatua za kinidhamu mwalimu mmoja wa kiume mwenye tabia za kuwadhalilisha wanafunzi wa kiume kwa kuwaita ofisini kwake na kuwafanyia vitendo vya aibu. Shule hiyo ni ya sekondari iliyoanzishwa kwa...
 5. M

  Msaada wa kisheria: Afisa elimu wa Bagamoyo amezuia mshahara wangu

  Mimi ni mtumishi katika idara ya elimu Bagamoyo. Nilikwenda kusoma baada ya kukataliwa releasing letter, mshahara umezuiwa kwa muda mrefu, niko kazini still mshahara wangu umezuiwa. Naombeni ushauri ili nipate haki zangu.
 6. M

  Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) inapolalia vituo vya afya

  Vituo vingi vya afya vilivyoingia mkataba na mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa vimekuwa vinalaliwa malipo baada ya kutoa huduma kwa wanachama.Mathalani dawa ya shilingi 20000 NHIF hulipa shilingi 10000. Hali hii imesababisha baadhi ya vituo vya afya kutoingia mikataba na NHIF matokeo yake...
 7. M

  Network mbovu ya LUKU yawalaza watu kwenye giza

  Jana wateja wengi wa Luku walilazimika kulala gizani baada ya kushindwa kununua umeme kupitia wakala na mitandao ya simu na benki.Hali hii imesababishwa na kusuasua kwa network ya luku. Wateja wengi wa luku wameathirika na hali hii.Tanesco hawajatoa tamko lolote mpk sasa.
 8. M

  Serikali ya Burundi yaomba msaada wa kijeshi kutoka Tanzania

  Baada ya kuonekana viashirio vya uvunjifu wa amani kutoka makundi ya waasi nchini Burundi, nchi hiyo imeomba msaada wa kukabili waasi hao kutoka vikosi imara vya majeshi ya Tanzania.Vikosi hivi imara vimejijengea sifa baada ya kuvifyeka vikosi vya waasi wa M23 nchini Congo. Vikosi vya Tanzania...
 9. M

  Idd Azan, mwanamume hasusi! Usiliachie jimbo la Kinondoni kwa sababu ya fitina za CCM

  Utakuwa huwatendei haki wananchi wa jimbo la Kinondoni kutokana na uamuzi wako wa kutogombea tena ubunge jimbo la Kinondoni. Hao akina Tarimba, Madabida wanaoliwania jimbo la Kinondoni wasikunyime raha. Kuna msemo unasema ukisusa sisi twala. Una kila sababu ya kugombea tena ubunge wa jimbo la...
 10. M

  Ni kweli maghorofa ya TAZARA Chang'ombe vetenary yameuzwa?

  Kuna tetesi eti maghorofa yanayomilikiwa na shirika la reli la Tanzania na Zambia yameuzwa kwa Oil Com. Wafanyakazi waliokuwa wakiishi kwenye maghorofa haya wametakiwa kuhama kuwapisha watu wa Oil Com. Uuzaji huo umefanyika bila kuishirikisha nchi ya Zambia. Makabidhiano bado. Upande wa Zambia...
 11. M

  Madhara ya kuishi na mwanamke bila kupenda kwa kuwa umezaa naye

  Kumbe wanaume wanaowakana wanawake wanaowapa mimba wakat mwingine wanafanya uamuzi nzuri sana.Wanajiepusha na matatizo mengi.Wanawake wengi baada ya kupewa mimba wanalazimisha kuishi pamoja na wanaume waliowapa mimba hata kama mwanamume hakuwa tayari. Hali hii huwakuta wanaume...
 12. M

  Mkutano wa rais na wazee 22/12/2014 : Msitegemee rais afuate mawazo yenu kuhusu ESCROW

  Watanzania tunasubiri kwa hamu kusikia hotuba ya mheshimiwa rais Jakaya Kikwete atakayoitoa kesho atakapokutana na wazee. Baadhi yetu eti tunafikiria kwamba kesho mheshimiwa rais atakurupuka na kuwafukuza vigogo wanaohusishwa na kashfa ya akaunti ya ESCROW, kama tunafikiri hivyo tumepotoka...
 13. M

  Baada ya agizo la rais la ujenzi wa maabara rais atoe pia agizo la ujenzi wa nyumba za walimu

  Kumbe hakuna linaloshindikana iwapo tu rais akiwakunjia sura watendaji wake na kuonesha ukali. Tumeona viongozi kuanzia ngazi ya wizara, mkoa,wilaya mpaka kata kote nchini wakihaha huku na huku kuhakikisha wanatekeleza agizo la rais JK la kujenga maabara katika shule za kata nchini, zoezi...
 14. M

  JK chukua hatua kali dhidi ya huu uonevu wa makato ya mishahara ya walimu kwa ajili ya maabara

  Tanzania kama nchi inayofuata utawala wa sheria,ikiwa wewe na rais wetu huu ubabe na ukandamizaji dhidi ya walimu hauvumiliki.Una nafasi kubwa ya kuwashughulihikia hawa watumishi wahuni hasa wakurugenzi wa Halmashauri waliojichukulia maamuzi ya kibabe ya kudhulumu walimu kwa kukata mishahara yao...
 15. M

  Coca Cola na dakika 5 muda wa maongezi

  Leo nimesikia tangazo likisema unaponunua soda ya coca cola unapewa muda wa maongezi wa dakika 5 mtandao wa Vodacom.Katika chupa ya soda ndani ya kisoda kuna namba za vocha utakazoingiza ili upate muda wa maongezi utakaoutumia kupiga simu voda kwenda voda pamoja na internet. Nafikiri huu ni...
 16. M

  Tutegemee mambo mazuri zaidi kutoka kwa Mwigulu Nchemba

  Hii kasi ya utendaji wa Naibu Waziri wa Fedha ni faraja kubwa kwa Watanzania ambao tumekuwa tukikamuliwa kodi lakini pesa zinapotea kimiujiza baada ya wajanja wachache kuzila. Kwa kuona hayo Naibu waziri wa Fedha,ndugu Mwigulu Nchemba ameamua kupambana kuzuia pesa za walipa kodi zisipotee na...
 17. M

  Kwa kasi hii ya maendeleo mh rais Jakaya Kikwete unamaliza muda wako wa urais kama shujaa

  Nimependezwa sana kwa kasi kubwa ya maendeleo katika nchi yetu ya Tanzania.Serikali ya JK kwa kiasi kikubwa imefanikiwa kutuletea maendeleo makubwa.Hamna atakayepinga kwa upande wa miundombinu maboresho makubwa yamefanywa ktk uongozi wa JK.Kuanzia barabara,bandari,reli mpaka viwanja vya...
 18. M

  Utapeli mpya katika minada ya simu

  Wana JF, Ninapenda kuchukua fursa hii nilete uzi huu kuhusu utapeli mpya ulioibuka hasa katika minada ya simu inayofanywa maeneo ya wazi kama stendi ya basi.Nimeshuhudia hili nilipokuwa Morogoro.Hawa jamaa wajanja sana.Wanachofanya ni kwamba wanapita mitaani na gari wakiwatangazia wananchi na...
 19. M

  Nimefurahishwa jinsi skauti walivyokuwa wanafanya duara kuzuia watu wakati wa ziara ya JK sabasaba

  Hawa vijana wa skauti kuanzia miaka 13 mpaka 18 wameonesha uzalendo wa hali ya juu wakati wa ziara ya rais Jakaya Kikwete katika viwanja vya sabasaba leo tarehe 5/07/2014.Walikuwa katika makundi mawili,wenye mavazi ya khaki na wale wa mavazi meusi. Wamesaidia kwa kiasi kikubwa kuweka utaratibu...
 20. M

  Kuhusu kukithiri rushwa serikalini: IKULU IMEONESHA UADILIFU NA IMANI KUBWA KWA WATANZANIA.

  Kauli ya Katibu Mkuu Kiongozi ndugu Ombeni Sifue inaonesha jinsi gani IKULU inavyokerwa na vitendo vya rushwa serikalini hasa katika suala zima la ajira nono katika taasisi za serikali kama BOT,TRA,BIMA YA AFYA,UHAMIAJI,TANROAD,NSSF nk.Rushwa hizi zimekuwa zinaipaka matope IKULU YETU TUKUFU KWA...
Top Bottom