Search results

 1. I

  Ushauri nataka kununua PC, HP niko Dodoma

  Kwa hiyo hapo budget haitoshi mkuu? Vip PC nzuri niwe na kuanzia TZS ngapi?
 2. I

  Ushauri nataka kununua PC, HP niko Dodoma

  Habari zenu wakuu, Naombeni ushauri nataka kununua PC mpya aina ya HP, Lakini sina utaalamu wowote juu ya PC ipi ni nzuri zaidi. Hivyo ningependa kujua yafuatayo:- ~PC ipi ya HP itanifaa kwa kusomea na kuchezea games ~Pia ipi ni nzuri kea kutunza charge ~Display iwe kuanzia 14inches Pia naomba...
 3. I

  Naombeni msaada wa mbinu na connection za kuweza kubalidi course UDOM

  Nasikia nafasi huwa zinatolewa tatizo bila connection ni sawa na kubetia timu unayojua haiwezi kushinda.
 4. I

  Naombeni msaada wa mbinu na connection za kuweza kubalidi course UDOM

  Nimechaguliwa nursing ila nataka nikajaribu kuomba tena MD kama nafasi zitakuwepo.
 5. I

  Naombeni msaada wa mbinu na connection za kuweza kubalidi course UDOM

  Habari zenu wadau,husika na kichwa cha uzi hapo juu naomba kujuzwa mbinu,ujanja na connection ambazo watu wanatumia hadi wanafanikiwa kubadili course hapo Udom. Kwa ufupi mimi nimechaguliwa nursing udom lakini ndoto zangu zilikuwa ni kusoma MD. Nawaza nikifika chuo zikitokea chance za kujazia...
 6. I

  University Admission Results 2020

  Tena ninge-enjoy maisha maana imeliwa kimasihara.
 7. I

  University Admission Results 2020

  Nao nawasikilizia bora wasile 50k yangu bure bure
 8. I

  University Admission Results 2020

  Yani kukosa chuo inauma sana!
 9. I

  University Admission Results 2020

  St.Fransis wameshalamba 20k yangu bure bure bora ningeenda kununulia malaya
 10. I

  Hivi ni mkoa gani hata kwa dawa huwezi kwenda kuishi uko[emoji24][emoji24]??

  Kigoma,Bulombora kwanza network tu ni shida!!
 11. I

  Silaha ya mlinzi wa Lissu imenitoa ushamba

  Labda ni mwanajeshi huyo
 12. I

  University Admission Results 2020

  Mkuu ushapata admission letter?
 13. I

  University Admission Results 2020

  Crdb wamenifelisha kuomba vyuo Leo,network mbovu kabisa!
Top Bottom