Search results

 1. M

  Yaliyonikuta wakati nafuatilia loss report

  Habari ndugu zangu, Yani leo hii nimeachwa apeche alolo kwa utaratibu wa kufuatilia loss report baada ya kupata mafuriko na kuondokewa na baadhi ya vitu vyangu muhimu, so nikajikaza na kasema niende kituoni sasa kufika pale naambiwa niende stationery ya karibu na pale kituoni. Akili yangu...
 2. M

  Kenya kwenye uigizaji wa tamthilia wako vizuri sana kuliko Wabongo

  Nimekua nikifuatilia tamthilia za Wakenya Na comedy zao huwa zinanirushisha kuliko izi za wabongo, yani kama comedy za wabongo naona ma shamba boy hapa home ndio wanazifurahia sana.
 3. M

  Nina bahati ya kupendwa na wanawake wajawazito

  Wandugu nimekua Na bahati au sijui niitaje ila wanawake wengi wajawazito wamekua wakivutiwa Na mimi Na pindi wakijifungua wanakua hawanipendi tena,wengi huna Wananambia eti kipindi kile cha ujauzito nilikua nakupenda Na nilikua nataka unigegede na hii imetokea kwa wanawake wengi sana toka nipo...
 4. M

  Natafuta nyumba ya kupanga

  Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya tabata iwe na fence pamoja na parking, maeneo ya kwa bibi kurudi aroma budget yangu ni tsh 300k
 5. M

  Suala la Uanachama ndio sumu ya maendelo

  Kwa hapa tulipofikia naona siasa za hapa Tanzania zimegubikwa sana na ushabiki pasipo kujikita kwenye hoja na sera za Wagombea. Sioni manufaa yoyote ya kitaifa mtu kuwa mwanachama wa chama fulani labda uwe na itikadi au ndoto za kuwa mwanasiasa, ndio naona ni sawa kuwa mwanachama kutokana na...
 6. M

  Naomba msaada wa tatizo la ngozi ya korodani kubanduka

  Za majukumu, Mimi ni kijana nimekuwa na tatizo la kubanduka kwa ngozi ya korodani mara tuu ninavyomaliza ku sex na mwanamke na hii inatokana na kugusa yale uke kwenye korodani. Nahitaji msaada wa kitabibu nijue chanzo na suluhisho la tatizo. Thank you in advance
 7. M

  Wapenzi wa nyimbo za gospel

  Niseme kwamba hakuna watu wanaojua kuimba kama watu wa gospel. Mimi ni mpenzi sana wa music but nimekuja kujua gospels singers ni watu wanaimba sana. Nitawatajia baadhi ya waambaji alafu muwafuatilie. Kuna mtu anaitwa Jaye Thomas ana nyimbo nyingi but for your glory ni hatari, kuna mtu anaitwa...
 8. M

  Masada jinsi ya kudownload nyimbo za YouTube kwenye iPhone

  Habari za siku nashindwa ku download nyimbo za YouTube kwenye iPhone 7 Plus nilikua nimezoea kwenye simu za Android najua wataalamu apa wapo Msaada wandugu
Top Bottom