Search results

 1. M

  Mapato ya CHADEMA kuporomoka kwa zaidi ya 50%

  Wanajamvi habari, Imebainika kwamba mapato ya chama kikuu cha upinzani hapa nchini (CHADEMA) ambayo yanatokana na ruzuku ya serikali yataporomoka sana hasa baada ya uchaguzi mkuu mwakani. Kwasasa chadema inapata ruzuku ya takribani sh milioni 203 kwa mwezi kutoka serikalini ikiwa ni ruzuku...
 2. M

  Kurugenzi ya habari CDM iko wapi?

  Ndugu wana jamvi, Naomba kupata ukweli hivi yule jamaa wa habari pale makao makuu ya chadema kapotelea wapi? Kwasababu huyu jamaa taarifa zake huwa zinafanana kabisa na mtoa taarifa wa serikali ya marehemu ghadaffi aliyekuwa anawapa moyo watu kuwa serikali ya lybia bado ina nguvu ya kupambana na...
 3. M

  Muungano wa wanaukawa na hatima yao

  Wana JF! Naamini mu wazima kabisa na mnaendelea na majukumu ya kila siku. Leo gazeti la mwananchi limeandika kuwa viongozi wa vyama vya upinzani wanaounda umoja maarufu kwa jina UKAWA wamekubaliana kusimamisha mgombea mmoja wa urais na pia kusimamisha wagombea ubunge kwa makubaliano. Sasa wana...
 4. M

  Urais CDM 2015

  Wanajamvi habari, Naomba tujaribu kufanya upembuzi kidogo kuhusu mgombe urais kupitia chadema, ni nani anauwezo wa kuwakilisha vizuri na kuleta upinzani mkubwa bara na visiwani. Nani unaona anafaa?
 5. M

  Siri ya Kalenga CHADEMA yafichuka

  WANA JF..................................... Imebainika kuwa ushindi wa CCM katika jimbo la kalenga ulikuwa rahisi kuliko tulivyodhani kutokana na chama kikubwa cha upinzani (CDM) kukosa mambo yafuatayo: 1. Kukosekana kwa zzk ndani ya CDM na mchakato huu kwa ujumla 2. Kukosekana kwa umoja...
 6. M

  ICC na watawala wa Afrika

  Habari ndugu wanajamvi! Naamini kabisa mko safi na imara kabisa katika ujenzi wa Taifa hili, hongereni saana! Naomba sasa tujadili uzi huu kwa manufaa ya Taifa letu na Afrika kwa ujumla kama tulivyozoea kuimba Mungu ibariki Afrika ,Mungu ibariki Tanzania. Hivi karibuni kumekuwa na taarifa...
 7. M

  Vijana msikubali kutumika katika swala la katiba mpya:

  Ndugu wanajamvi, habari ya jumapili! nimeona leo tuweze kushare mada hii muhimu ikizingatiwa kuwa sisi sote ni wadau wa hatima ya taifa letu na si vinginevyo. Kumekuwa na tabia ya vijana wenzangu kutumika kisiasa katika mambo mbali mbali hususani ya kisiasa bila kujua hatima ya nini...
 8. M

  Je,swala hili ni kweli?: CHADEMA chukueni hatua

  Katika hali isiyokuwa ya kawaida mitandao ya kijamii hata magazeti pia, vyote vinazungumzia namna Chadema inavyohusika na swala la Ludovick anayedaiwa kuwa kada nguli wa chama, kuwa CDM wameshindwa au hawana nia ya kumsaidia atoke lupango pamoja na kuwa dhamana ya kijana huyu iko wazi, sasa ni...
 9. M

  mwigulu na elimu nchini

  katika hali isiyokuwa ya kawaida, mh mwigulu leo amemtetea Dr kawambwa kwa nguvu zote na kusema wapinzani hawana jipya huku akiwapoint Chadema kwa kusema wao hawana hata OFISI. Jamaa pasipo kujenga hoja ya kuijadili bajeti ya elimu alionekana kuogopa mzimu wa slaa pale aliposema kuwa Chadema na...
Top Bottom