Search results

 1. M

  Uchumi Supermarket imeamua kuwauzia wateja wake mifuko

  Hali hii nimeikuta leo nilipokwenda kupata mahitaji yangu.Mteja baada ya malipo anaulizwa kama anahitaji mfuko.Mfuko huuzwa 200.
 2. M

  Mwanamume amzika mkewe jikoni kama ishara ya upendo

  Mwanamume mmoja nchini Kenya afanya kituko cha mwaka kwa kumzika mkewe jikoni ili kuonesha upendo.Tukio hilo limetokea jimbo la Kaembu mji wa Kisii. Mume huyo amesema amefanya hivyo ili kumuenzi mkewe aliyempenda kwa dhati ingawa alikuwa mkulima mwenye kipato kidogo wakati mwanamke ni...
 3. M

  Walemavu wafunga barabara makutano ya Uhuru na Kawawa wakipinga kuvunjiwa vibanda vya biashara

  Watu wenye ulemavu wameamua kuzuia njia kwa kulala barabarani katika makutano ya barabara ya Uhuru na Kawawa kupinga kuvunjiwa meza zao za biashara na askari wa jiji. Magari mengi yamekwama, watu waamua kutembea kwa miguu. Jeshi la polisi linafanya nao mazungumzo kwa njia ya amani ili watoke...
 4. M

  Rais Kikwete apewe tuzo ya rais bora katika ukanda wa maziwa makuu

  Hakuna asiyeona kazi nzuri na utumishi uliotukuka wa rais wa Tanzania ndugu Jakaya Kikwete. Kwa muda aliokaa madarakani ameleta maendeleo makubwa katika nchi yetu. Elimu, afya, kilimo na ujenzi wa miundombinu ni baadhi ya maendeleo katika kipindi cha uongozi wake. Kuna haja ya Watanzania...
 5. M

  Mkuu wa shule anapomlinda mwalimu anayejishughulisha na vitendo vya kishoga kwa wanafunzi

  Mkuu wa shule moja mkoa wa Pwani wilaya ya Bagamoyo kwa muda mrefu amekua akishindwa kumchukulia hatua za kinidhamu mwalimu mmoja wa kiume mwenye tabia za kuwadhalilisha wanafunzi wa kiume kwa kuwaita ofisini kwake na kuwafanyia vitendo vya aibu. Shule hiyo ni ya sekondari iliyoanzishwa kwa...
 6. M

  Tanzia: Captain John Komba afariki Dunia

  Kwa kutambua mchango wa hayati capt.Komba kwa Taifa na Afrika kwa jumla,ni vyema channel ya TBc ioneshe live Shughuli zote za mazishi za msiba wa capt.Komba
 7. M

  Msaada wa kisheria: Afisa elimu wa Bagamoyo amezuia mshahara wangu

  Mimi ni mtumishi katika idara ya elimu Bagamoyo. Nilikwenda kusoma baada ya kukataliwa releasing letter, mshahara umezuiwa kwa muda mrefu, niko kazini still mshahara wangu umezuiwa. Naombeni ushauri ili nipate haki zangu.
 8. M

  Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) inapolalia vituo vya afya

  Vituo vingi vya afya vilivyoingia mkataba na mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa vimekuwa vinalaliwa malipo baada ya kutoa huduma kwa wanachama.Mathalani dawa ya shilingi 20000 NHIF hulipa shilingi 10000. Hali hii imesababisha baadhi ya vituo vya afya kutoingia mikataba na NHIF matokeo yake...
 9. M

  Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

  Kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu imekuwa bubu kwa muda mrefu kuzungumzia taarifa zilizoenea mitaani na kwenye mitandao ya kijamii zinazomuhisisha mtoto wa rais JK,Ridhwani Kikwete kujihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya.Taarifa hizi zinadokeza mtoto huyo wa rais kukamatwa nchini...
 10. M

  Network mbovu ya LUKU yawalaza watu kwenye giza

  Jana wateja wengi wa Luku walilazimika kulala gizani baada ya kushindwa kununua umeme kupitia wakala na mitandao ya simu na benki.Hali hii imesababishwa na kusuasua kwa network ya luku. Wateja wengi wa luku wameathirika na hali hii.Tanesco hawajatoa tamko lolote mpk sasa.
 11. M

  Serikali ya Burundi yaomba msaada wa kijeshi kutoka Tanzania

  Baada ya kuonekana viashirio vya uvunjifu wa amani kutoka makundi ya waasi nchini Burundi, nchi hiyo imeomba msaada wa kukabili waasi hao kutoka vikosi imara vya majeshi ya Tanzania.Vikosi hivi imara vimejijengea sifa baada ya kuvifyeka vikosi vya waasi wa M23 nchini Congo. Vikosi vya Tanzania...
 12. M

  Idd Azan, mwanamume hasusi! Usiliachie jimbo la Kinondoni kwa sababu ya fitina za CCM

  Utakuwa huwatendei haki wananchi wa jimbo la Kinondoni kutokana na uamuzi wako wa kutogombea tena ubunge jimbo la Kinondoni. Hao akina Tarimba, Madabida wanaoliwania jimbo la Kinondoni wasikunyime raha. Kuna msemo unasema ukisusa sisi twala. Una kila sababu ya kugombea tena ubunge wa jimbo la...
 13. M

  Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

  Kwanza napenda kuchukua fursa hii kuipongeza serikali kwa kuonesha busara na hekima ya hali ya juu katika kukabiliana na vikundi vya uhalifu kama Panya road.Kwa nini niseme hekima na busara ya hali ya juu.Sababu ni serikali ina uwezo wa kutumia vikosi vyake vya ulinzi na usalama kudhibiti hawa...
 14. M

  Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

  Kwa napenda kuchukua fursa hii kuipongeza serikali kwa kuonesha busara na hekima ya hali ya juu katika kukabiliana na vikundi vya uhalifu kama Panya road.Kwa nini niseme hekima na busara ya hali ya juu.Sababu ni serikali ina uwezo wa kutumia vikosi vyake vya ulinzi na usalama kudhibiti hawa...
 15. M

  Ni kweli maghorofa ya TAZARA Chang'ombe vetenary yameuzwa?

  Kuna tetesi eti maghorofa yanayomilikiwa na shirika la reli la Tanzania na Zambia yameuzwa kwa Oil Com. Wafanyakazi waliokuwa wakiishi kwenye maghorofa haya wametakiwa kuhama kuwapisha watu wa Oil Com. Uuzaji huo umefanyika bila kuishirikisha nchi ya Zambia. Makabidhiano bado. Upande wa Zambia...
 16. M

  Madhara ya kuishi na mwanamke bila kupenda kwa kuwa umezaa naye

  Kumbe wanaume wanaowakana wanawake wanaowapa mimba wakat mwingine wanafanya uamuzi nzuri sana.Wanajiepusha na matatizo mengi.Wanawake wengi baada ya kupewa mimba wanalazimisha kuishi pamoja na wanaume waliowapa mimba hata kama mwanamume hakuwa tayari. Hali hii huwakuta wanaume...
 17. M

  Mkutano wa rais na wazee 22/12/2014 : Msitegemee rais afuate mawazo yenu kuhusu ESCROW

  Watanzania tunasubiri kwa hamu kusikia hotuba ya mheshimiwa rais Jakaya Kikwete atakayoitoa kesho atakapokutana na wazee. Baadhi yetu eti tunafikiria kwamba kesho mheshimiwa rais atakurupuka na kuwafukuza vigogo wanaohusishwa na kashfa ya akaunti ya ESCROW, kama tunafikiri hivyo tumepotoka...
 18. M

  Baada ya agizo la rais la ujenzi wa maabara rais atoe pia agizo la ujenzi wa nyumba za walimu

  Kumbe hakuna linaloshindikana iwapo tu rais akiwakunjia sura watendaji wake na kuonesha ukali. Tumeona viongozi kuanzia ngazi ya wizara, mkoa,wilaya mpaka kata kote nchini wakihaha huku na huku kuhakikisha wanatekeleza agizo la rais JK la kujenga maabara katika shule za kata nchini, zoezi...
 19. M

  Mapya kuhusu ESCROW, Shule ya Prof Tibaijuka yathibitisha kupokea pesa' in good faith'

  Habari wana JF ifuatayo ni taarifa ya bodi ya wadhamini ya JOHA Trust inayomiliki shule za Babro Johnson na Kajumulo Girls kuhusu mchango wa shilingi bilion 1.6 kuchangia shule hizi kutoka kwa Rugemalira. BARBRO JOHANSSON GIRLS’ EDUCATION TRUSTJOHA- TRUSTP.O. Box 14556, Dar e Sa!aa"...
Top Bottom