Jamani mlioko ndoani ndani ya miaka 5 nakuendelea mmewezaje?
Yaani mmewezaje kuishi wawili mpaka miaka hiyo
Yaani mimi miaka 2 tu natamani dunia igeuke kichwa chini miguu juu.Yaani ukimuona mwenzio unapata hasira gafla.
Akisafiri unatamani asirudi dah!
Mmewezaje jamani nipeni mbinu
Una mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.
Yeye anachojua ni kuhemea chakula ndani tu.
Unavyojaribu kumuuliza mbona mimi hanihudumii anajibu "Nilisoma kwa...
Hope mko poa guys
Iko hivi
Dada anamtoto mmoja wa kike ana 5yr aliezaa nae alishafariki
Sasa hv kaolewa na mwanaume mwingine hawajazaa bado wanakama miaka 2 wanaishi wote kiuhalali...
Kabla ya kuolewa na huyu mwanaume bidada alikua anaishi na mtoto wake...pia bidada alikua anaduka lake kubwa...
Et hii imekaaje wanandoa wapya hamna mtoto hamna ugomvi mnamaliza wiki 2 hamjasex na mnalala kitanda kimoja shuka moja naked...
hamna majukum makubwa Sana yakuwafanya muwe busy et hii imekaa au nikawaida?
Ndoa haina mwaka
Wifi angu kaharibikiwa mimba yake wiki ya 10 aliona dam bila hata kuumwa
Akakimbia hosp mapema Sana wakaambiwa mapigo ya moyo ya mtoto yamepotea.....
missed abortion....akawekewa kidonge chini mtoto katolewa akasafishwa vzuri
Kaambiwa asibebe mpaka miez 6 ipite hapo ndipo anapowaza mimba ya...
Nimeulizwa swali kwangu limekua kidogo
Mnaishi mke na mme mfano ndugu wa mume au mke anataka kuja kuishi hapo mnajadiliana Kwanza au mmoja ndio anapewa taarifa tu ndani?
mfano rafik angu kuna anaishi na wifi zake 2 mme anapigiwa cm kwao fulan anakuja kukaa huko amwambii mkewe ,, mke anashtuka tu...
Nataka nifanye maamuzi magumu ya kuachana na huyu Mwanaume, nahofia kitu kimoja
1) Ukweni kwangu pamoja na mume wangu hawana dini yaani ni waganga sana. Je watanibakiza?
2) Nilitolewa mahari mil 1.6 bi mkubwa ameshakula na taratibu za kisukuma ukiolewa kama haujazaa mahari inarudi na faini...
I hope mko poa guys
Naitaji ushauri hapa serious kabisa
Mimi ni mwanamke nina miaka 30 nina mchumba ambaye wazazi walishatupa ruhusa ya kuishi pamoja
Mwaka 2016 nilipata kazi ya muda mfupi katika kampuni fulani nilifanya kazi ndani ya miezi minne nilikutana na kaka ana 33 kwa a
Huyu Kaka...
Niliingia mp trh 31/10 nikamaliza trh 3/11 ...ilipofika trh 10/11 gafla tu nikashangaa nikaona dam lkn chache nadhan pad nusu , kesho take ped ikakomea jujuu tu basis haikutoka tena lkn nakua na uchafu unaovutika wenye rangi ya dam
Sielew tatizo linaweza kua nini?.... Jana nimesex baada ya hapo...
kuna mdogo wangu anamchumba wake ambae process zote za kuoana tayar japo jamaa kaomba hajajipanga kufunga ndoa sasa hv uchumi haujakaa sawa anaomba amchukue kwanza ndoa baadae
bint amepanga kwake mkoa tofauti na jamaa sasa jamaa kamuomba akae na mtoto wa dada binti kamaliza form 4 mwaka huu...
Iko hv kuna dogo anamchumba wake
Mwanaume ana kazi nzuri kiasi ila ukoo mzima unamtegemea yeye, kijijini baba ake anawake 3 ambapo asilimia 80% wanamtegemea jamaa kuanzia chakula kila kitu
Sasa jamaa kumbe alimpenda bidada kwakumuona anaroho nzuri pia anakibiashara kidogo ambacho kinatosha...
Ni mdada ana mchumba wake wana mwaka sasa
Jamaa amekua na tabia ya kuwasiliana kwa siri na wanawake na dada akigundua jamaa anaomba msamaha yanaisha. Jumamos wazazi wa mume wamepanga kuja kupanga mahari.
Sasa Jana wakati wanaongea bidada kagundua jamaa ana simu nyingine ambayo yeye haijui na...
Wapendwa hiyo hapo ni calendar ukitaka kuchagua uzae mtoto jinsia gani unaangalia miaka yako na miezi ya kubemba mimba hiyo ni calendar ya china Mimi naomben kupata uhakika hapa kwa walio na watoto hasa wanawake
He miaka yako na mwez uliobeba mimba ni sawa na kwenye hiyo kalendar????
Changamoto za ndoa, dada yupo na stress za kufa mtu.
Iko hivi, kuna hawa wanandoa wameoana wana miaka karibia 2 sasa ya ndoa yao baba mwalimu wa secondary na mama mwalimu wa primary.
Dada anadai alipoolewa walikaa baadae mwanaume akamwambia ili wae huru kufanya maendeleo ya familia yao inabidi...
Hope mko poa,
Nyie wanaume wa humu naombeni jibu.
Hivi pale inapotokea unamchumba wako ambae soon mnafunga ndoa alafu ukachit inakua;
a) Tamaa
b) Tabia yako
c) Nature kama mnavyodai
d) Mchumba wako haumpendi umelazimishwa tu au nini hasa?
Naombeni jibu
Mpaka kuandika natetemeka...
Nina mpenzi wangu tuna 5 au 6 month yeye ana kazi anapokea kama 1m hivi kwa mwezi. Mimi nina biashara napata kama laki 3 hivi kwa mwezi.
Nimepanga chumba, kula, kodi ya kibanda na nyumba ni juu ya hiyo laki 3 ambayo ndio faida katika biashara yangu.
Lengo la...