Aisee Mimi Ni mke hakuna kitu nilikua napinga kama kuchepuka
kutoka na stress za Mume nilizeeka kuliko mwil wangu Dada angu akanishaur tafuta mtu pemben angalau awe anakuliwaza
Nilikua mhanga sipati ujauzito 4yrs
Mpaka ikafikia hatua naulizia IVF
Mwez wa nane nimepata mchepuko mapenz motomoto...

Mama mkwe ananishaur nn kila siku??? Ebu akae kwake na mmewe atulie
Ushaur maramoja inatosha na mkeo sio mjinga Kama anashauriwa vizuri hawez kuelewa vibaya shida wamama wakwe wengi wanataka kuendesha familia Kama wanavyotaka wao
Na nyie hamen hapo kaeni mbali na wazazi kinyume Cha hapo kila...
Ebu fanya hizi kama tangu ametoa mpaka Sasa haijazidi mwezi chukua kipimo Cha mimba umpime Kama alikua na mimba kweli na mwez haujapita tangu atoe itasoma imo
Ukishapata uhakika utajua ufanye nn