Search results

 1. B

  Wananchi wamuomba Rais Magufuli kuingilia kati vitendo vya udhalilishaji vinavyofanya na Jeshi la polisi

  Wananchi wamuomba Rais Magufuli kuingilia kati vitendo vya udhalilishaji vinavyofanya na Jeshi la polisi. Jeshi letu la polisi limekosa dira. Vitendo hivi wanavyowafanyia wananchi ni hatari kwa mahusiano kati ya polisi na raia. ------------ Baadhi ya Wakazi wa Mtaa wa Kambarage Kata ya...
 2. B

  Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  NI muhimu tukusanye sahihi za wananchi 10milioni ili tupeleke petition mahakamani kudai mchakato wa katiba kukamilishwa. Wadau hili si la cdm wala ccm. Ni haki ya watanzania wote kwa ajili ya kuhakikisha tunatawaliwa kwa haki na amani na kuwa serikali zetu ziwajibike kwetu. Katiba mpya...
 3. B

  Serikali yawajibu Umoja wa Ulaya(EU) na Marekani kuhusu kutokuwepo usalama na haki za binadamu Tanzania

  Kama hiyo barua inakataa kuwa hakuna hofu na matukio ya mauaji na utekaji nyara wa raia na hasa viongozi wa kisiasa pamoja na ukandamizaji demokrasia, basi serikali haina nia njema. Serikali inapaswa kuwa wazi kuwa kuna vitendo hivyo na iombe msaada wa kubaini wahusika 'WASIIJULIKANA' maana...
Top Bottom