Search results

 1. The Dude

  Ni kwanini unajenga nyumba ya ghorofa?

  Awesome. Asante nguzo1
 2. The Dude

  Ni kwanini unajenga nyumba ya ghorofa?

  Asante. Ngoja nizigoogle zaidi. Kama una key word kusaidia my further search..please assist.
 3. The Dude

  Ni kwanini unajenga nyumba ya ghorofa?

  Maam, tell me more about hizi lift. Na kama una picha au video nitashukuru Sky Eclat
 4. The Dude

  Aliyoyasema Amri Kiemba ni madai mazito na hatari kwa soka letu, yachunguzwe

  Mkuu fafanua. Unamaanisha nini?
 5. The Dude

  Kwenu waoaji 2021

  Hasa watoto. Atulize akili kwanza. Ajipe muda.
 6. The Dude

  Kwenu waoaji 2021

  You'll be fine. Grief iishe na utamove on. Man, hakuna jipya duniani. Amini wewe sio wa kwa za na wala sio wa mwisho kukupata haya. Jinsi gani unakabiliana na hili suala ndio itaamua mustakabali wako baadae na familia yako, hasa watoto wako. Muhimu tumia busara wakati huu. Mungu akupe hekima...
 7. The Dude

  Kwenu waoaji 2021

  I agree. Tatizo sio nurse. Tatizo ni mwanamke aliyempata. Mimi nadhani mwamba sio mnyonge. Anapitia phase ya grief tu. He'll come to terms na ata move on.
 8. The Dude

  Kwenu waoaji 2021

  Dah pole sana bro
 9. The Dude

  Muda niliopoteza kwa mtu asiyesahihi unanicost, je naweza pata mke tokea mtandaoni akawa mwema?

  Mkuu kuna uzi humu mwenzako anatukana wanawake wa Kagera wote, kisa mwwanamke wake mmoja wa Kagera tu kamsaliti.
 10. The Dude

  Muda niliopoteza kwa mtu asiyesahihi unanicost, je naweza pata mke tokea mtandaoni akawa mwema?

  Sex dolls wana baba na mama? Au hujaona hichi kigezo chake?
 11. The Dude

  Ni kwanini unajenga nyumba ya ghorofa?

  Namnukuu binti nimeongea nae hapa sasa hivi: "Wengine ni lifetime dream zetu tu. Hivyo yani. Unaamka unashuka ngazi toka chumbani kuja down stairs. " "Halafu pia the idea ya kuseparate downstairs where the place greets every Tom, Dick and Harry, na upstairs ambapo ni more personal and private"
 12. The Dude

  Hali yangu kiafya si nzuri. Maombi yenu Wakuu

  Pole sana mkuu. Unaendeleaje kwa sasa?
 13. The Dude

  JamiiForums Usiku wa manane

  Tupo.
 14. The Dude

  Mpenzi hapendi tufanye mapenzi

  Mzee miaka mitatu ni mingi sana
 15. The Dude

  RE: Mrejesho wa maoni yenu kuhusu mwanamke niliyempenda, 12/12 / 2020

  Chairman Lee Brother, not your fault. You are IN Love. HEAD OVER HEELS. Shida tu ni kuwa unayempenda hakupendi na hana chembe ya hisia juu yako. Move on. It hurts, yes but only for now. You will be fine. I hate to tell you that it may be harder than it is now. And it may take even a a little...
 16. The Dude

  Mpenzi hapendi tufanye mapenzi

  Dah[emoji23]kwamba jamaa ametumiwa na mkewe kisha katelekezwa. Ameharibiwa uvulana wake[emoji23]
 17. The Dude

  Polepole fuata sheria za kazi, saa 3 usiku siyo muda wa kazi

  Au hupokei tu. Kesho yake sasa, "Ilikua charging nyumbani. Mimi Nilikua nje ya nyumba tumetoka na wageni"
 18. The Dude

  Msaada Wenu: Uliwezaje kupita salama mpaka Ndoa kwenye Mapenzi ya namna hii?

  Sasa mkuu hiyo mbona simple tu? Aliekwambia akienda chuo huwezi kumuoa kwa sasa ni nani? Zungumza naye, plan ziendelee then mfunge ndoa as soon as possible Pia jitahidi mzae hata mtoto mmoja. Kuna vitu vinashikilia mahusiano, japo sio mara zote na sio guaranteed. Ila mkiamua kufunga ndoa na...
 19. The Dude

  Madai ya TRA kukamata akaunti za Benki na hata kuchukua kilichomo, Serikali iangalie tena, huenda hiyo Mamlaka ikatumika vibaya

  Mkuu, kuna kitu inaitwa Agency Notice kwny sheria ..ni hatari sana hii
Top Bottom