Search results

 1. 27072019

  Msaada: Natafuta Boda boda ya Mkataba/Siku

  Salaam wakuu, Rejea kichwa cha habari hapo juu, natafuta boda boda ya mkataba au kwa siku, maongezi zaidi nipo hapa kujibu, nipo Dar es Salaam. Tufanye biashara.
 2. 27072019

  Mtaani mwetu uswahilini huku Tandale kwa tumbo

  1. Kuna wataalamu wa kuchukua mabeki tatu. Yaani hata aje beki tatu gani, anaye, yeye mademu wengine hana habari nao. 2. Kuna wataalamu wa kuchukua vicheche. Yaani kicheche kwake hapindui na hajisikii poa akiwa na mademu wa kawaida. 3. Kuna wataalamu wa kuchukua watoto wa geti, nyie...
 3. 27072019

  Hawa omba omba wa Dar ni wavivu sana!

  Sasa hivi wanaona uvivu hata kusema naomba (kwa wale wanaoweza kuongea vizuri). Wameamua kurekodi sauti wanaweka spika halafu wanakaa pembeni kusikilizia, daah!
 4. 27072019

  Hivi Kama Mama Mkwe amejifungua natakiwa kwenda kumuona baada ya muda gani?

  Mambo vipi wakuu? Hivi, kwa kawaida tu, Mama Mkwe akijifungua natakiwa kwenda kumuona baada ya muda gani? Ama mtoto wake (mke wangu) anatakiwa kwenda baada ya muda gani? Au tunatakiwa kufanyaje katika hali kama hiyo? Kabila la mama mkwe ni Mnyakyusa. Msaada wako ni muhimu sana kwa kadri...
Top Bottom