Maana yake vyuo vyote ni sawa tuu muhasibu anapimwa kwa CPA sio degree alisoma wapi, so nenda kokote. Usifikiri kama ukisoma Mzumbe BAF utapata priority kwenye ajira kumshinda aliyesoma Accounting TEKU lakini ana CPA
Nina hisi hicho ila anadai mtoto akinyonya anatapika hivyo hospitali wamemkataza kunyonyesha na anasema kaambiwa ni jambo la kawaida, ila me i doubt ndio maana nimejaribu kuuliza humu kama kuna mtu ashawahi sikia hii kitu.
Hello
Kwa wataalamu wa afya ningpenda kujua ni sababu gani zinamfanya mzazi akatazwe kunyonyesha mtoto ukiacha ya HIV ambayo ndio pekee naifahamu.
Leo nimeshangazwa kuona mzazi hanyonyeshi tena mtoto sababu anasema maziwa yake ni machafu hivyo ameshauriwa ampe mwanae maziwa ya ng'ombe au kopo...
Vinapatikana kwenye maduka ya Elite book stores wapo Mlimani city,Mbezi beach na Quality Centre kwa sh elfu 10 tu. Nimekipata nimefurahi sana
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Danganya toto ili nasisi tuwaruhusu waje wamiliki ardhi na wafanye kazi huku. Kwa ardhi gani ya kupata kenya kama wenyewe tu wanastruggle kumiliki. Kazi ndo usiseme ajira finyu, Magufuli usiruhusu hii bongo tuendelee tu na utaratibu wa sasa.
Ahsante nimeuliza mapema ili nijipange chanzo cha mapato, unaweza kopa ukashindwa rudisha marejesho kwa wakati kutokana na aina ya biashara.
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Wakuu nimevutiwa na kufanya hii biashara ya kutengeneza keki na kuuza kwa watu binafsi, taasisi na sherehe za hapa na pale.
Kwa wale wazoefu naombeni msaada kujua.
Mtaji wake kiasi gani
Gharama za uendeshaji zipoje
Faida yake je inalipa haraka au la
Changamoto zake kubwa ni nini.
Nitashukuru...