Search results

 1. Hudhaifiy

  Tunapaka rangi za art pamoja na kuweka wallpapers kwa bei nafuu!

  Habari yako! Tuna Company yetu ya interior designing tunashauri vitu vingi. Tunadesign nyumba yako inaonekana nzuri. Sio lazima kila sehem tupake rangi za art, sehem nyingine tunaweka wallpapers kwa kulingana na nyumba yako na unavyopenda! Hostel rums tunapendelea sana kuweka wallpapers coz n...
 2. Hudhaifiy

  S4 original inahitajika, white colour itakua fresh zaid call me 0653 457659

  Wakuu nahitaji s4 nyeupe original Mwenye nayo anicall 0653 457659 Npo dar es salaam
 3. Hudhaifiy

  Mwenye note 3 plz call me 0653 457659

  Habari zenu, kama kuna mtu ana note 3 naomb anicall kwa namba hyo. Npo dar!
 4. Hudhaifiy

  Nahitaji gari dogo liwe manual

  Habari zenu.! Nahitaji gari dogo lolote hasahasa starlet or vitz au gari ambalo halina buti I mean sio kama carina or gx100 nadhan mmeelewa.! Thanks
 5. Hudhaifiy

  Nahitaji Hp envy,

  Habari zenu.! Nahitaji hp envy yenye specification zifuatazo; Hp envy Core i7 8gb ram 500 - 1000 GB graphics 2gb Contact 0653 457659
 6. Hudhaifiy

  Samsung Note 3 zinahitajika nyeupe na nyeusi kwa 650k

  Kama unayo unawez ukanichek 0653 457659 Npo dar
 7. Hudhaifiy

  S4 OG zinahitajika mbili ziwe katika hali nzuri.!

  Habari zenu, nahitaji s4 mbili nakaa mabibo hostel ndan mule...!! So mwny nazo anicall 0653 457659
 8. Hudhaifiy

  GALAXY NOTE 10.1 (S pen) 2014 edition inahitajika...!! Wasiliana nami 0653 457659

  Kuna tab inaitwa GALAXY NOTE 10.1 2014 edition inahitajika..!! Ikiwa ya rangi nyeusi itakua bomba..!! Check me 0653 457659
 9. Hudhaifiy

  Mtazamo tu kuhusiana na Homa ya dengue

  Habari zenu wana jf.! Taifa hili now kuna suala muhim sana nadhan kila mtu analijua na wananchi wote wanafatilia sana hili suala..!! Lakini naona hizi wiki mbili tatu kuna suala lingine limeibuka linaitwa homa ya dengue.! Sasa kuna maswal najiuliza, Je homa ya dengue tangu enzi hzo haikuwepo...
 10. Hudhaifiy

  Utapeli uliokithiri Tz. So kua makini

  Plz take a time to read it, ni information muhim sana..!! Habari wana jf! Naomb niwataarifu kua kuna UTAPELI upo na unaendelea so uwe makini sana.! Utapeli huo n sms feki za direct either tigo, airtel or mpesa. INAKUA HIVI, mtu unamuuzia kitu mf. simu au pc den anakuulza unatumia mtandao upi...
 11. Hudhaifiy

  Nahitaji y300 kwa bei nzur tu..!! call me 0653 457659

  Wadau nahitaj y300 kwa bei nzur..!! Nahitaj kama 5 hivi..!! So kama unazo check me 0653 457659
 12. Hudhaifiy

  Jipatie power bank, wasiliana nami 0653 457659

  Habari zenu, mzgo mpya umeingia wa power bank..!! Ambazo ninazo n kama zifutazo, Power bank for sale; 5600mAh (red In colour) - 35,000 8400mAh (black in colour) - 45,000 12,000mAh (blue bahar in colour) - 60,000 15000mAh (pink in colour) - 70,000 Kama unahitaji wasiliana nami 0653 457659
 13. Hudhaifiy

  Wazanzibari waambiwa wawe na vitambulisho vya mtanzania, hii inaashiria nn?

  Miaka miwili iliyopita kila mzanzibar alitakiwa awe na kitambulisho cha kumuonyesha yeye n mzanzibar.! Lakn mwaka huu nimepewa taarifa na mama yang yupo pemba kua wameambiwa wawe na kitambulisho cha mtanzania na kwa pemba wilaya ya wete zoez hilo limeanza jana.! Sasa wana jamii forum naomb kujua...
 14. Hudhaifiy

  Note 2 inahitajika, bet bei yako

  Wakuu nahitaji note 2.!! Mwny nayo anichek 0653 457659
 15. Hudhaifiy

  Samsung Note 3 zinahitajika mbili, wasiliana nami 0653 457659

  Habari zenu, Note 3 zinahitajika mbili kwa yoyote aliyekua nazo naomb anicall..!! Ofa yang 700k
 16. Hudhaifiy

  Mwenye spacio anichek 0653 457659

  Habari zenu, na shida na spacio..!! Kama mtu anayo naomb anichek kwny namb hyo..!!
 17. Hudhaifiy

  Pata Samsung Galaxy s5 kwa bei chee.

  Habari zenu! Zile sim tulizokua tukisubiria kwa ham zishaingia kutoka hukooo zilipotengenezwa! Sio nyingine n SAMSUNG GALAXY S5, n bei chee sana kulingana na wanavyouza madukani! Madukan wanauza 1,700,000million (1.7m) ila sisi tunauza 1,500,000million (1.5m). Kwa wale watakaohitaji check me...
 18. Hudhaifiy

  Huawei y300 mbili zinahitajika

  Habari zenu, huawei y300 mbili zinahitajika za bei cheee..!! Wasiliana nami 0653 457659
 19. Hudhaifiy

  Mac book pro iliyo katika hali nzur inahitajika!!!

  Habari zenu! Mac book pro retina display inahitajika! Mwenye nayo naomb anitel bei yale na specification zake kwa kutumia namb hii 0653 457659 Thanks
 20. Hudhaifiy

  Je honda wave 110i bei yake n sh ngap ikiwa used na ikiwa dukani?

  Habari zenu, kwa yoyote anayejua bei za pikipiki coz najua maduka yalipo ila naamini kuna wataalam ndo mana ikawepo jamii forum! Bei ya wave 110i dukan n bei gan? Na bei ya used n bei gan?
Top Bottom