Network yenu mwanzo ilikua poua saana saizi naitafuta kwa toch,,3G inakuja kama inarud hivi yaani ni shida,,nipo Itamba mbarali.
Pia nlienda mkwanuni Songwe nilikaa kama wiki hivi sikupata kama mtando wa ttcl yaani hakuna kabisa kwa 24/7.
Vocha zenu pia kuzitafuta ni sawa na kutafuta bikra miaka...