Habari
Wakuu naomba kuwakilisha hili suala la usafiri wa abiria hasa tumezoea kusema daladala kwa upande wa mkoa wa Mwanza zimezidi kuwekewa Tinted
Yaani asilimia kubwa zimewekewa tena nyeusi hasa
Tafadhari hata kama gari zenu lakini mnabeba abiia iweje mchana tu hata kuona nje inakuwa shida...
Wakuu samahani naomba kujua tafsiri ya neno PISI linatumiwa sana Mawingu studio na Millard kwa walimbwende wa Mashindano ya Taifa!
Na kama haijakaa sawa kutumiwa kwa walimbwende hawa inakuwaje baraza la sanaa wamekaa kimya?
Kama Taifa ndio tumefikia kutumia maneno ya mtaani kwenye mambo ya...
Habari,
Nimekuwa nafatilia mada za huyu dada muda wote amekuwa mtu wa kulaumu wanawake kupigwa na waume zao je amewahi jiuliza changamoto ni nini Mpk wapate vipigo?
Wakati flani wanawake wanakera na kuudhi sanaaa wapo wanaowanyanyasa sana waume zao walalamike wapi?
Wanaume wasioweza kusema...
Habari wakuu,
Kampeni meneja wa CCM uchaguzi huu ni nani? Nayaona makosa mengi mno kwenye uchaguzi kipindi hiki.
Kwa maeneo waliyofanya kampeni mpaka sasa hivi, watu wameshasahau kilisemwa nini.
CCM huwa wana mpangilio wa kampeni zake kwa miaka yote, huko nyuma imekuwa cha kushangaza kuna...
Wakuu,
Kuna shida gani na haya mabasi kila mara ni kupigwa mkono weka pembeni nusu saa au lisaa lizima.
Kama hamtaki wawe wanasafiri futeni vibali vya magari kama ndio hivyo, ni mambo yasio na maana.
Mnachelewesha abiria wasio kuwa na kosa lolote.
Asante
Wakuu yaani hizi ni lazima niwe nazo kwa ajiki ya kunifariji safari hasa nikiwa naambaa na kona za Iyovi yaani nasikia raha kabisa
1.Werasin-Blandine
2.Tshala Muana-Tshibola
3.Felle gola-100 kilos
4.Madilu system - frere edward
5.Fally Ipupa -canne sucre
6.Mbilia belle - Nadina
7.Super Mazembe...
Wazee napata shida kuamini kama wafuasi wa Clous fm ni halali maana wako 5.6 milioni yaani kifupi ndo ukurasa wenye wafuasi wengi zaidi kwenye tasnia ya habari,
Kichekesho sasa ndo page yenye wachangiaji wachache zaidi sasa swali hao watu wote ni halali kweli?? Mbona page za Wasafi fm wafuasi...
Wakuu habari,
Nimetafakari leo viapo vya utii na maadili kwa mfano ikatokea ukatoa siri za kambi nini kinatokea?
Kwa mfano Bwana Paul Makonda akaamua kutumegea nini kipo huko akatoa siri za mabaya yote ya ofisi ya mkoa na aliyoamrishwa kufanya inakuwaje?
Kuna Sheria inayombana au kumfunga kabisa?
Kama mnavyotambua ujio wa Mh Lissu Mbeya ni alhamis hii kwa Jiji la Mbeya, Mamlaka imeziamuru gari zote za matangazo kufanya usajili upya kwanza kabla ya kutangaza matangazo na gari yeyote itakayobainika kufanya matangazo bila kuruhusiwa hatua kali zitachukuliwa ikiwemo kufutiwa kibali kabisa...
Habari wakuu,
Nimepata kuishi mikoa kama 8 hivi hapa Tanzania kwa kanda tofauti tofauti
Lakini hali imekuwa tofauti upande wa Mbeya wakati fulani nilikuwa nawalaumu marafiki zangu kwa nini hawapendi kuja kwao Kujumuika na ndugu zao katika furaha na majonzi lakini mnisamehe sana marafiki zangu...
Huyu jamaa shida ni nini wadau tusaidiane kumdadavua??
Anaitwa Mwijaku binafsi sijawahi kuona lolote la maana kwake leo naona kawafomea waandishi wa habari still bado wanamuuliza maswali tu inashangaza
Mara asambaze sijui picha za utupu duh yaani nakuwa hoves kabisa
Bwana mdogo katangaza kuleta Carnival tarehe 28/11/2020 akishirikiana na TVE
Vitu vya huyu dogo vingi ni vya kukurupuka yaani kama kasikia mtu anatajataja na yeye ana wahi na anasema uwanja wa uhuru na litakuwa la siku tatu. Wasanii watakaopenda kushiriki wajiandikisha kwa BDozen pengine bure...
Hii inashangaza sana kweli Mhe. Makonda kupewa MIC kama mzungumzaji kwenye harusi ya Dada wa Diamond, jamaa wamekata matangazo
Hii kitaalaam tunaitaje?
Asia Said Ali (50) Mrangi ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la CHADEMA Kata ya Palanga, Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma, amefariki dunia baada ya kupigwa mshale na Mtu aliyefahamika kwa jina la Haruna Ali Kimata miaka 35.
Marehemu akiwa amekaa na mume wake muda wa saa mbili na nusu...
Taabu kidogo kwa Vijana wa leo Lugha na maandishi yalivyo unaweza pata shida kumuelewa haswa nini kakikusudia kubandika,
Unaweza pata rafiki tena akawa yupo chuo kikuu kabisa kabisa akawa anaandika hivi
Dhana kubwa ya haya maandishi ni nini ?? Uvivu wa kuandika neno lililokamilika???pengine ni...
Wakuu kwema kijana wangu Mpendwa Kapata Division 0 ya 35 point anasema kafaulu ,
Anasema kapata point 35 ambazo ni nyingi sana na tabu kuzifikia kwa wengine!
Hapa nimepanga nimfanyie sherehe ya kumpongeza
Asanteni sawa
Habari,
Katika hali ya kawaida leo nimeona tunadike hili kidogo kwamba kwa maandika Shetani alihasi Mbinguni Mwenyezi Mungu akamleta Duniani kama adhabu,Leo hii tunaaswa tuishi katika kumpendeza Mungu ikiwa yeye mwenyewe alishindwa kukaa na Shetani??😷,Kama alikikuka Matakwa ya Mwenyezi Mungu...
Guys tulikua msibani.....huku kwetu Geita tunazika kivyetu...mila mila mila..ukihoji unayeyuka. Huyu alikua Mganga mkuu wetu☠💀
Maiti wetu anazikwa akiwa ameketi na anasindikizwa na watu wake wawili wakaribu wao wanafukiwa wakiwa hai wamemshikilia mkulu...kudadeck...yaan ukilogewa pande hizi...
Kuna Madogo flan walikuwa sijui mapacha,walikuwa maarufu sana kwa ku burn cd ,yaani tulikuwa tunajazana pale kusikilize cd zetu,kijiwe hicho hicho alikuwa anashida sana Linex akiwa hana hata 100 mfukoni
Hivi kijiwe bado kipo?