Search results

 1. FikraPevu

  Watu wanaochelewa kulala wako katika hatari ya kufa mapema

  Utafiti uliotolewa hivi karibuni umebaini kuwa watu wanaochelewa kulala wana uwezekano mkubwa wa kufa mapema kuliko wale wanaoamka mapema wakati wa usubuhi. Watafiti walibaini kuwa watu ambao walikuwa wanachelewa kulala walikuwa na hatari kwa asilimia 10 kufa mapema katika kipindi cha utafiti...
 2. FikraPevu

  Serikali yaiomba Switzerland kuwekeza kwenye sekta ya mifugo nchini

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Isdor Mpango amemuomba Balozi wa Switzerland hapa nchini, Florence Tinguely Mattli, kuishawishi nchi yake iwekeza katika sekta ya mifugo ili kuongeza tija kwa wafugaji na wakulima nchini. Aidha waziri Mpango aliongeza kuwa Tanzania ina mifugo mingi lakini...
 3. FikraPevu

  Maadhimisho ya miaka 70 ya kujitawala kwa Israel kuchochea uhasama Mashariki ya Kati

  Leo Mei 14, Taifa la Israel linaadhimisha miaka 70 ya uhuru wake. Lakini sherehe hizo huenda zikachochea zaidi uhasama wa kisiasa katika eneo la Mashariki ya Kati ambalo limekuwa na migogoro isiyoisha. Miaka 70 iliyopita (14 Mei 1948), Waziri Mkuu wa kwanza wa Israel, David Ben-Gurion alisaini...
 4. FikraPevu

  Kuna haja gani kusoma kama huwezi kukumbuka ulichosoma?

  Kwa mujibu wa Jhumpa Lahiri katika kitabu chake cha The Namesake anasema, “ Kusoma kitabu ni kitendo cha kusafiri bila kusogea kutoka pale ulipo”. Naye David Bowie msanii ajulikanaye kama msomaji mkubwa wa vitabu; alipokuwa akijibu maswali mbalimbali aliyoulizwa kwenye dodoso, alipoulizwa kuhusu...
 5. FikraPevu

  Mataifa Makubwa kama Marekani hukopa wapi fedha?

  Hadi kufikia Januari 2018, Deni la taifa la nchi ya Uingereza lilikuwa limefikia dola za Marekani 2.5 trilioni, Japani dola trilioni 9.5, China dola trilioni 4.6, Marekani yenyewe dola trilioni 20 na India deni lake la taifa ni takribani dola trilioni 1.1, hii ni kwa mujibu wa tovuti ya...
 6. FikraPevu

  'Selfie' yaondoka na uhai wa msichana huko Urusi

  Tunaishi katika dunia ambayo watu wengi wanapenda kujipiga picha ‘selfie’na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Tabia hiyo ya kujipiga selfie inatajwa kuwa ni mapinduzi makubwa ya tasnia ya upigaji picha duniani. Pamoja na uzuri wake kuna matokeo hasi ambayo yanaweza kujitokeza kwa mtu pale...
 7. FikraPevu

  CHLOROFORM: Dawa ya usingizi inayotumiwa na wezi kuwapulizia watu kabla ya kuiba

  ‘Chloroform’ ni dawa isiyo na rangi na yenye harufu nzuri yenye jina la ‘IUPAC’ lijulikanalo kitaalamu kama ‘Trichloromethane’ na ina fomula ya CHCl3. Chloroform inaweza kukufanya usinzie hata kama itatumiwa kwa dozi ndogo. Chloroform ni kimiminika chepesi na chenye harufu nzuri ambacho...
 8. FikraPevu

  Umoja wa Ulaya waiwekea ngumu Tanzania biashara ya pembe za ndovu

  Nchi 32 za Afrika ikiwemo Tanzania zimeutaka Umoja wa Ulaya (EU) kusitisha biashara ya pembe za ndovu ili kuokoa tembo waliosalia barani humo. Makubaliano hayo yalifikiwa nchini Botswana hivi karibuni katika kongamano la Ujangili wa Tembo na Biashara Haramu ya Wanyamapori ambalo lilijikita...
 9. FikraPevu

  Unafahamu kuwa mafuta ya Lavenda, chai huchochea wanaume kuota matiti?

  Pamoja na kukosekana kwa idadi kamili, lakini ukweli ni kuwa Tanzania, kama ilivyo kwa nchi zingine, kumekuwepo ongezeko la wavulana na hata wanaume, kuonekana kuwa na matiti makubwa. Kawaida, maumbile ya wanaume hayaruhusu kuwa na matiti makubwa. Kwanza yawepo kwa ajili gani? Matiti makubwa...
 10. FikraPevu

  HOJA: Ni kweli Watanzania wanataka maendeleo lakini wanataka na Katiba Mpya

  “Wananchi wanataka maendeleo. Wanataka huduma bora za jamii. Wanataka maji safi na salama, wanataka elimu bora, huduma za afya, na miundo mbinu bora. Katiba mpya si kipaumbele cha Watanzania. Wananchi wanataka ‘Ukatiba’ na sio katiba. Wananchi wanataka maendeleo”. “Serikali ya awamu ya Tano...
 11. FikraPevu

  Mgongano wa takwimu za maji unavyoathiri wananchi vijijini

  Machi 22 ya kila mwaka ni siku ya maji duniani. Hii ni siku ya kukuza uelewa kuhusu janga la maji ulimwenguni na kuchukua hatua thabiti za kuleta mabadiliko katika jamii. Kulingana na Shirika la Afya duniani (WHO) asilimia 37 ya Watanzania wanategemea vyanzo vya maji visivyo salama. Mwenendo...
 12. FikraPevu

  Kwanini ugonjwa wa figo huwapata wanawake kuliko wanaume?

  Hatari ya kupata Ugonjwa wa figo ni kubwa zaidi kwa wanawake kuliko ilivyo kwa wanaume. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali ugonjwa wa figo unawakumba zaidi wanawake tofauti na wanaume ambapo hatari kwa wanawake kupata ugonjwa huo ni asilimia 14 ambapo kwa wanaume ni asilimia 12. Katika orodha ya...
 13. FikraPevu

  Watetezi wa mazingira 4 wanauawa kila wiki duniani

  Shirika la Global Witness limeeleza kuwa watu 197 waliuawa mwaka uliopita kwa kutetea matumizi mazuri ya ardhi, wanyama pori na rasilimali asilia. Shirika la Global Witness likishirikiana na Jarida la The Guardian limeendesha kampeni ya kulinda na kuhifadhi mazingira duniani kote ambapo...
 14. FikraPevu

  Wanasayansi: Sio kweli kwamba minara ya simu inasababisha kansa kwa binadamu

  Baadhi ya watu wamekuwa wakijenga hoja kuwa kuishi, kutembea au kusoma karibu na minara ya simu kunawaweka watu katika hatari ya kupata kansa au matatizo mengine ya afya. Lakini mpaka sasa hakuna ushahidi wa moja kwa moja juu ya hoja hiyo. Katika nadharia za afya kuna sababu chache ambazo...
 15. FikraPevu

  Hii ndio tiba ya maumivu, kuvimba kwa viungo vya mwili

  Ipo dhana kuwa maumivu ya viungo vya mwili ni maradhi yanayowapata watu wenye umri mkubwa pekee. Lakini maumivu hayo yanaweza kumtokea mtu yoyote bila kujali umri. Kitaalamu maradhi hayo hujulikana kama ‘Arthritis’ ambapo maungio kwenye magoti, mikono, kiuno hupatwa na maumivu, kukakamaa na...
 16. FikraPevu

  Kwanini ajali nyingi za magari hutokea kwenye makazi ya watu?

  Kulingana na uchunguzi uliofanywa na Jalida la Huffngton Post nchini Afrika Kusini umebaini kuwa zaidi ya asilimia 50 ya ajali za barabarani hutokea karibu na maeneo wanayoishi watu hasa wakati wa usiku ambapo madereva hurejea nyumbani. Hizi hapa sababu nne zinazosababisha ajali hizo katika...
 17. FikraPevu

  'Utumwa wa kisasa' unavyojitokeza kwa sura tofauti nchini Tanzania

  Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 100 duniani zenye idadi kubwa ya watu ambao wanatumikishwa kwenye shughuli za ‘utumwa wa kisasa’ ambapo hali hiyo inatafsiriwa ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Kulingana na ripoti ya utafiti iliyotolewa na taasisi ya Global Slavery Index...
 18. FikraPevu

  MIMBA ZA UTOTONI: Wasichana wanapogeuka wakimbizi katika nchi yao

  “Nilipomaliza shule nikaanza mahusiano na huyo mwanaume, basi katika kipindi cha wiki tano nikajigundua sijielewi kutokana na mabadiliko niliyopata”, hayo ni maneno ya msichana Aisha Juma (17) aliyepata mimba muda mfupi baada ya kumaliza darasa la 7 katika shule moja kata ya Pwani mkoa wa...
 19. FikraPevu

  Ni kweli kukodolea matiti ya mwanamke kunaongeza siku za kuishi?

  Daktari bingwa na mtaalamu asiyepingika duniani aliyefanya utafiti wake kwa wanaume wa Ujerumani kwa muda wa miaka mitano, Karen Weatherby, anaeleza kuwa wanaume wanaokodelea matiti, hasa yaliyosimama na ‘kuumbika vizuri’, wanaongeza muda wao wa kuishi. Anasema, "wanaume wanaofanya hivi...
 20. FikraPevu

  Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida

  Balozi Mteule na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbroad Slaa amesema tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida na ameitaka jamii kuliacha Jeshi la Polisi kukamilisha upelelezi na kutoa majibu. Dkt. Slaa...
Top Bottom