Hao watoto ni wako kweli usikute umepigwa changa la macho ndo maana wanakuletea ujinga, kapime DNA usiwe mtumwa unafanya makosa sana kutokuwa na maamuzi yako mwenyewe, wakati mwingine unapaswa kuwa aggressive kuwa dominant siyo muda wote hekima sijui busara sijui huruma
Biashara hii ukitaka kutengeneza hela ndefu inabidi u monopoly kusema ununue labda 80% ya mchele wote wa mbeya uwe main supplier
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea vitu vya maaana sana hata kama hautaeleweka na wengi wachache watakaokuelewa uzi wako utakuwa wa msaada sana kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu nimepita ukanda wa bagamoyo nimeona namna mikorosho ilivyostawi na kubeba korosho nyingi ilihali haina matunzo kabisa ya kusafishiwa kutifuliwa wala haijawahi kupuliziwa dawa kwa ujumla zinakubali sana ukanda wote wa pwani.
Huu uzi umekuwa wa msaada sana shukrani kwa wote waliochangia hasa waliotoa mawasiliano ya vituo vya utafiti, naliendele ntawatafuta. wenye taarifa msichoke kwa maswali ya member kama mimi ningependa kujua kama huu upande bagamoyo mpaka msata je hili zao la korosho linakubali?
nafikiria tu to turn it in a positive way ni abiria wangapi wanasafiri toka dar kwenda mikoani kila siku, fastjet walliona fursa wakaja wakapiga hela sana ila sijui kilichowapata sasa hivi japo siyo mtaaalam katika uendeshaji wa biashara ya usafirishaji wa anga, siamini kama kusafiri na ndege ni...
Karanga za umeme sa ndo karanga zipi? Umeme unazalisha karanga? Mkuuu hata kujieleza vizuri huwezi?!
Sasa hizo machine ziwe zinazalisha karanga? Zina saga karanga? Zinamenya karanga? Zinakaanga karanga? Zinapika karanga?
Well kama upo dar jaribu business millennium park pale...
Mkuuu makonda hakusema shisha ni madawa ya kulevya hiyo weka akilini, alisema wanaouza shisha wanawachanganyia drugs watumiaji bila wao kujua kwa mujibu wa maelezo yake na TFDA,unataka ushahida unaweza omba wakupe, je hujawahi sikia kuwa kuna maeneo ya primary school wauza icecream walikuwa...