Search results

 1. Ritz

  CHADEMA vunjeni mfumo wenu wote wa Uongozi muanze upya "Mapenzi na Kazi ni Msiba"

  Wana Ukumbi. Najua bado kuna mjadala mkubwa na simtofahamu ndani ya CHADEMA, wafuasi wa CHADEMA hawaamini kinachoendelea ndani ya chama chao. Hili sakata la CHADEMA liwe funzo kwa vyama vingine vya siasa kikubwa kinachoitafuna Chadema kwenye sakata la wabunge 19 viti maalumu ni kuchanganya...
 2. Ritz

  Chama Kikuu cha Upinzani ni ACT Wazalendo, CHADEMA, mnakwama wapi?

  Wanaukumbi. Hii habari itakuwa ngumu sana kuisikia au kuikubali kwa wafuasi wa CHADEMA lakini huo ndiyo ukweli. Chama ACT Wazalendo, kinaonekana kinakuja kuwa chama Kikuu cha Upinzani Tanzania ukiangalia mipango yao dhahiri inaonekana, Kwanza wana uhakika wa kupata viti vingi vya Ubunge...
 3. Ritz

  CHADEMA yetu ya mabadiliko ipo wapi?

  Wanaukumbi, Tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020. Sioni ile nguvu ya Chadema iliyokuwa nayo miaka kumi iliyopita, Chadema ya mabadiliko, CHADEMA ya Maandamo kila kona. Ni kitu gani kimetokea ndani ya Chadema, kinapoelekea naona kama kitakuwa kama TLP, naona wabunge wengi wanarudi CCM...
 4. Ritz

  Lowassa, Sumaye, mbona mnakuwa wazito kwenda kumuona Lema gerezani Kisongo

  Wanaukumbi. Kamanda wetu Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, yupo gerezani muda mrefu sasa tunaona viongozi wa vyama vingine na watu mbalimbali wakienda kumtembelea kamanda wetu huko kwenye gereza la Kisongo Arusha. Lakini bahati mbaya au nzuri hatuwaoni viongozi wa Chadema wakifanya hivyo...
 5. Ritz

  Mkurugenzi mkuu NSSF Prof. Godius Kahyarara, ni wewe ndiyo umeandika haya au kuna fitna ndani yake?

  Wanaukumbi. Sijaongeza kitu nimeiweka hapa ukumbini kama nilivyoikuta kwenye tangazo.
 6. Ritz

  Tuliaminishwa na Media kuwa Bakhresa anakwepa kodi kumbe upotoshaji baada ya kauli ya Rais

  Wanaukumbi. Kupitia humu JF tulikuwa tunasoma habari kutoka kwa members wenzetu na waandishi wa habari kuwa mfanyabiashara Said Bakhresa, ni mkwepa kodi mkubwa ambaye anaikosesha serikali mapato. Lakini leo kinyume chake tumemsikia leo Rais Magufuli, akisema kuwa "hongera sana mzee wangu...
 7. Ritz

  Sumaye: Kutoka Waziri Mkuu mpaka Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani. Si kupotea kisiasa huku?

  Wanaukumbi. WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amekubali ombi la viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani, waliomchukulia fomu ya kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho kanda hiyo katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Baadhi ya viongozi...
 8. Ritz

  Mjadala kuhusu ndege Mpya za ATCL!

  Wanaukumbi. Kumekuwa na Mjadala kuhusu ndege Mpya za ATCL! Nimeikuta hii mahali na naweka hapa wengine nao waone! Nikiwa kama Mtanzania muuza kahawa, ninaelewa! Wakati mwingine ni vizuri kujua hadi uamuzi unafikiwa watu wamefanya utafiti, hali halisi ya viwanja vyetu na sababu zipi kwa chaguo...
 9. Ritz

  Mwafrika aliyewekwa kwa maonyesho miaka 170

  Wanaukumbi. Katika karne ya 19 lilikuwa jambo la kawaida kwa wazungu kukusanya wanyamapori kutoka sehemu mbali mbali za dunia, na kisha kuwapeleka nyumbani kwao ulaya kuwaweka kwenye makavazi ili waweze kutazamwa. Hata hivyo raia mmoja wa Ufaransa alivuka mipaka zaidi na kupeleka mwili wa...
 10. Ritz

  Kuna umuhimu wafanyakazi wa mgodi wa Mwadui kudai fidia walivyokuwa wanadhalilishwa

  Wanaukumbi. Wafanyakazi wa mgodi wa almasi Mwadui walivyodhalilishwa zamani. Picha hizi zimepigwa mwaka 1948 katika mgodi wa almasi Mwadui Shinyanga. Wafanyakazi wa mgodi wa almasi wakikaguliwa baada ya kazi ikiwa ni utaratibu wa wamiliki wa mgodi kudhibiti wizi wa almasi ghafi. Kuna...
 11. Ritz

  Nimekutana na huu ushauri unawahusu CHADEMA, ni muhimu

  Wanaukumbi. Kama nilivyoipokea sijapunguza kitu wala kuongeza kitu makamanda.
 12. Ritz

  CHADEMA wakiwa Kanisani wakiomba kabla ya kujipanga na UKUTA

  Wanaukumbi.
 13. Ritz

  Makamanda tupeni ratiba ya maanadamo mikoani tarehe 1

  Wanaukumbi. Kwa sisi tuliyo mikoani tungependa kufahamishwa ratiba maalum ya maandamano ya "UKUTA" siku ya tarehe 1 September 2016. Wakazi wa Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa, Dar es Salaam, Morogoro, Tanga, Shinyanga na mikoa mingine pamoja na Wilaya zake maandamano yataanzia wapi...
 14. Ritz

  Makamanda wenzangu tuwe makini sana tusimjaribu Rais wetu Magufuli

  Wanaukumbi. Sina maneno mengi ya kuongeza kichwa cha habari cha huu uzi kimejieleza vizuri. Na huu ujumbe hapa chini umemaliza kila kitu.
 15. Ritz

  Kwanini swahiba wake Lowassa, Msindai kaamua kurudi CCM?

  Wanaukumbi. Aliyekuwa Mwenyekiti wa wenyeviti CCM Taifa na Mwenyekiti wa mkoa wa Singida Mgana Msindai, alihamia Chadema kumfuata swahiba wake mkubwa Lowassa, na baadaye kugombea ubunge Jimbo la Singida Mjini kupitia tiketi ya Chadema na kushindwa vibaya. Kipi kilichomfanya kuamua kurudi CCM...
 16. Ritz

  Wananchi wa Uturuki wamegoma kuingizwa mkenge kama wa Libya

  Wanaukumbi. "Waasi' 6,000 wamekamatwa Uturuki. Utawala nchini Uturuki umevamia kambi za kijeshi kote nchini kuwatafuta wanajeshi wanaoshukiwa kuunga mkono mapinduzi ya kijeshi yaliyozimwa siku ya Ijumaa.Kambi za kijeshi zimevamiwa na kusakwa. Katika oparesheni kwenye mji ulio...
 17. Ritz

  Mbowe, kwanini usifanye maamuzi kama ya David Cameron, wananchi hawakuelewi

  Wanaukumbi habari. CHADEMA, waanze kwanza kupigania Demokrasia ndani ya Chama chao ndiyo waje kwenye Taifa. Mbowe kaanza kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wakati huo Jakaya Kikwete, akiwa Waziri wa Mambo ya nje wakati wa Utawala wa Benjamin Mkapa, mpaka leo Jakaya ni Rais Mstaafu, lakini Mbowe, bado...
 18. Ritz

  Sumaye hajawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, inakuwaje Mbowe amemteua kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu?

  Wanaukumbi. . Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu wanachama na wafuasi wa Chadema naona sasa hivi hawajuhi hatima yao ndani ya Chadema, imefikia wakati wanasema pembeni kwa hofu ya kufukuzwa chama kama watahoji haya yanayotokea ndani ya chama chao. Sumaye hajawahi kuwa Mwanachama...
 19. Ritz

  Godbles Lema video: Nimemmis sana Kikwete

  Wanaukumbi. Jana nimemsikiliza Lema akichangia bungeni kuwa kammiss Rais Kikwete aliyemaliza muda wake. Wakati wa utawala wa JK hawa hawa Chadema walisema JK ni rais dhaifu leo tena wanasema wamemmiss daah! Ilifikia wakati Chadema wakatoa tamko kuwa watampeleka JK ICC kulikoni leo Lema na...
 20. Ritz

  Vijana wengi wa CHADEMA ni mawakala wa CCM, wapo CHADEMA kwa njaa tu

  Wanaukumbi. Vijana wengi ambayo wapo Chadema na vyama vya upinzani wengi wao ni mawakala wa CCM. Vijana wengi wapo Chadema kwa kwa kazi maalumu. Tatizo kubwa ni tamaa na njaa bahati mbaya ndani ya Chadema hawajui kinachoendelea. Mfano ulikuwa kipindi cha uchaguzi kwenye kampeni walikuwa na...
Top Bottom