Search results

 1. JET SALLI

  Kwa mazingira yalivyo; je, sanduku la kura liendelee kuwa suluhisho la kupata voongozi?

  Ndugu zangu Great Thinkers hebu tujiulize haya yanayotokea na uhalali wake. Na sasa tufike mahali tuseme sote tena tukiwa na akili timamu kabisa pasipo shaka na pasipo ushabiki wowote kwamba sanduku la kura ndio suluhisho la kupata viongozi ambao wananchi wanawataka kwa ridhaa yao ili waweze...
 2. JET SALLI

  Einstein alisema hakuna uhusiano kati ya elimu na akili

  Sasa katika wakati kama huu utaona wanaojiita wasomi,watumishi,wakulima,na watu wengine ktk jamii wako ktk kampeni wanashangilia wagombea na hawawachiju ili kujua nani anaweza kuwa anaongea ukweli ,na kwa sababu ukweli haudanganyi na unabaki kuwa ukweli tu.Ndio maana ukisema mtu huyu ana Elimu...
 3. JET SALLI

  Uchaguzi 2020 CCM hii haiwezi kujirekebisha kamwe, tarehe 28 Oktoba iondoke ili ijirekebishe

  Watu wachache wanadhani CCM ya siku hizi huwa inasikia. Toka atoke Mwalimu Nyerere madarakani na baada ya kifo chake CCM huwa haisikii kamwe. Azimio la Zanzibar ndilo lililoleta CCM isiyosikia na CCM yenye kuuza viwanda, na CCM isiyojali maskini na huuzungumzia umaskini nyakati za kampeni...
 4. JET SALLI

  Tanzania: Taifa ambalo lina amani ila limekosa haki

  Taifa letu linasifika kote duniani kwa kuwa taifa lenye amani. Watu wanasema ukiuliza popote africa na nje ya Africa kuhusu tanzania utaambiwa ni taifa lililojipatia na kujizolea heshima kubwa duniani kupitia Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwa kuwa taifa lenye amani na haki kwa watu wote kwa...
 5. JET SALLI

  Je, ni kweli Serikali ya awamu ya tano imewajali masikini?

  Watu wengi sasa wameona na wametofautisha ni wakati gani kati ya awamu hii na ile iliyopita ya KIKWETE ni wakati gani umasikini umekolea vzr na majibu yako wazi na yanajulikana wala hayahitaji mtu apewe michoro ili aelewe vzr. Serikali ya awamu ya tano ilijinasibu,na imeendelea kujinasibu kuwa...
 6. JET SALLI

  Kwanini Watawala huwa hawajifunzi kwamba haki ikikosekana kwa muda mrefu, madhara yake huwa ni Makubwa?

  Ndugu zangu wanajamii Forums, Mimi ninaamini kwamba hakuna mtu awaye yote asiyependa kutendewa HAKI katika mazingira ambayo anajua kwamba HAKI hiyo ni ya muhimu katika kipindi husika au kwa vipindi vyote kulingana umuhimu wa HAKI hiyo kwake yeye na kwa wengine pia,mm ninaiona kwamba viongozi wa...
 7. JET SALLI

  Kwanini sukari imekuwa ni kama anasa kwa Tanzania na kwa mwelekeo hapa Serikali imechemka

  Ndugu zangu wana jukwaa hebu tujadili pamoja jambo hili la Sukari kwa Tanzania na bei yake ambayo sasa ni kero kwa nchi nzima, tulishuhudia Waziri akitangaza bei elekezi lakini cha ajabu bei iko juu palepale kwa maana ya Tshs 3000 na kuendelea. Sasa tuamini hii ni biashara ya vigogo wenyewe...
 8. JET SALLI

  Hivi umoja wa wakuu Shule za Sekondari(TAHOSA)Una mchango gani kwa Sekondari zetu?

  Mm binafsi naona hili ni genge fulani la kulishana posho zinazotokana na michango ya wanafunzi,na toka nimeanza kufuatilia na kuichunguza TAHOSA sijawahi ona wala kubaini mchango wake kwa shule za sekondari. Haka ka TAHOSA ni ka mchwa kanakokula pesa za wazazi masikini.Nichukue nafasi hii...
 9. JET SALLI

  Je, viongozi wa vyama shindani vya siasa wanajua wanachohitaji wananchi?

  Sidhani kama viongozi wa vyama shindani(upinzani)wanajua nini wananchi wanahitaji kwa sababu viongozi wana yao na wananchi wanayao wanayoyaamini na kudhani viongozi nao wanayaamini hayo. Sidhani kama kuna mwananchi au kiongozi anayejidanganya kwamba chama chake hakitakuwa na hivyo basi...
 10. JET SALLI

  Voice of America yaikosoa NEC

  Voice of America yaikosoa NEC na utaratibu mzima wa uchaguzi Tanzania, yakirikuwa Tanzania haki haiji kwa njia ya kupiga kura ila ubabe na kutumia majeshi. ...NEC chanzo cha dhuruma.....
 11. JET SALLI

  Watanzania wachache na kujidanganya juu ya utawala ulazimishwao.

  Uongo na wizi ni ndugu wa damu,kujidanganya na kujifariji ni aina nyingine ya upuuz,ugumu wa maisha utawakumba watanzania wote kwa ujumla wao bila kujali itikadi za vyama watokavyo,chuki ya wazi itajengeka,tutaona vitu na tabia mpya za watu waliouchoka utawala wa kulazimisha zitaigubika nchi...
 12. JET SALLI

  Ni nani anajali hatima ya tanzania?

  Nani anaijali hatima ya Tanzania?Ni nchi ya ajabu kwa mwanadamu makini kuweza kuishi. Ni nchi inayoshangaza sana, ingawa raia wake hawaonyeshi kushangazwa na matukio kadhaa yanayotokea.Naizungumzia Tanzania nchi niliyoishi kwa miongo kadhaa tangu nizaliwe. Baada ya nyimbo nyingi za matatizo...
 13. JET SALLI

  Sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU.

  Ndugu zangu watanzania sauti hii ya wengi ilikataliwa 2010 hivyo jk ameongoza taifa kwa laana,tena juzi sauti hiyo hiyo ya MUNGU mekataliwa tena basi tusubiri Kazi ya MUNGU yeye ataamua laana ipi tumbatane nayo.Inaonekana madhambi ya ccm ni makubwa makubwa sana watu wametenda mambo makubwa...
 14. JET SALLI

  Kimya kimeghubika nchi

  Ushabiki ni jambo zuri sana kama haki, ukweli na uwazi vitatawala. Hata ukiwa na furaha kama una msiba ni msiba tu,unaweza kucheka lakini kidonda kilichopo moyoni kitakutesa tu, mshindi ni mshindi tu na mungu ndiye aongozaye mambo yote. "Maandiko matakatifu yanasema bwana asipoulinda mji...
 15. JET SALLI

  Huu ndio mzaha wa kiuongozi

  Nimemsikia mkuu wa nchi eti Richmond ni ya Lowassa, kumbuka haya majibu yanatoka leo miaka nane, kwa mtu makini haya sio ya kuayaongelea kabisa katika dakika za mwisho za watu kupiga kura ina maana moja kwa moja unawaambia watanzania kuwa wewe hukuwa raisi makini, ndio maana kuna msemo usemao...
 16. JET SALLI

  Soma hapa ujue kwanini wananchi wanataka kuiadhibu CCM jumapili

  Haya ninayoyasema ni baadhi tu, huwezi kubishana na kifo maana utakayeumia ni wewe,ndivyo ilivyo kwa CCM na serikali yake ambayo kimsingi imeshindwa kuletea wananchi maendeleo. Nyerere aliwahi kusema maendeleo sio barabara watu wengi hawakumuelewa alimaanisha nini,Leo inaweza kueleweka zaidi...
 17. JET SALLI

  Kwanini CCM na NEC wanaongea kauli moja?

  NEC na CCM wao wanadhihirisha ubovu wao na mkakati wao wa goli la mkono watu wenye akili wanawashangaa na kujiuliza hv suala dogo la kulinda kura ndilo linalowanyima usingizi NEC na CCM acheni democrasia ifanye kazi yake.Mita 200 ipo kisheria UKAWA wana haki ya kulinda kuza Zao, kama CCM wao...
 18. JET SALLI

  Katika uchaguzi huu haki pekee ndio itakayo linusuru taifa na kulipa heshima

  Kama serikali ilizoea kutotenda haki basi mwaka huu na mwezi huu na hususani siku nane zijazo CCM, NEC na jeshi la Polisi kutenda haki ni lazima. Na msijifanye hamjui matakwa ya wananchi kwa maana mlianza kwa kuibomoa katiba yao pendekezwa na mkatengeneza yenu yenye maslah ya wachache...
 19. JET SALLI

  CCM haiwezi kujirekebisha kamwe, dawa pekee ni kuipumzisha ili ijirekebishe

  Watu wachache wanadhani CCM ya siku hizi huwa inasikia. Toka atoke mwalimu Nyerere madarakani na baada ya kifo chake CCM huwa haisikii kamwe. Azimio la Zanzibar ndilo lililoleta CCM isiyosikia na CCM yenye kuuza viwanda,na CCM isiyojali maskini na huuzungumzia umaskini nyakati za kampeni...
 20. JET SALLI

  Eti Kubaki vituoni kulinda kura ni ishara mbaya

  Historia au kumbukumbu ni walimu wazuri,kwenye kura za maoni za majuzi tu ndani ya CCM tunaambiwa wanaccm walilinda kura zao usiku kucha.Swali liko hv kwa nn wanaccm hawa waliamua kulinda zao,jibu rahisi tu ni kwamba wanujua mchezo huu kwa undani zaidi kuwa ndio tabia iliyojengeka ndani ya...
Top Bottom