For your information, ile charge sheet ya awali iliyokuwa na makosa 96 ilikuwa amended dakika za mwisho. Likawekwa kosa moja tu/one count ambalo ni kuisababishia serikali hasara. Kosa la kukwepa kodi liliondolewa. Msifuate propaganda za mtaani. Someni HUKUMU ya shauri hili. Mwanyika ni wakili...
For your information, ile charge sheet ya awali iliyokuwa na makosa 96 ilikuwa amended dakika za mwisho. Likawekwa kosa moja tu/one count ambalo ni kuisababishia serikali hasara. Kosa la kukwepa kodi liliondolewa. Msifuate propaganda za mtaani. Someni HUKUMU ya shauri hili. Mwanyika ni wakili...
Hilo pingamizi halina mashiko kisheria. Document ya msingi kabisa ni HUKUMU tu.
1. Kosa lililomo kwenye judgement ni kuisababishia serikali hasara. Siyo kukwepa kodi.
2. Hakupata adhabu na mahakama ya kwenda jela miezi 6 au zaidi.
Note well: Kwa hukumu hii Deo Mwanyika hana kizuizi kikatiba na...
Huyu ni mzaliwa kijiji cha Ihalula au Kisilo huko Njombe. Kada ndakindaki wa CCM. Ni wakili wa kujitegemea, mhadhiri sheria chuo kikuu Iringa.
Mwanateolojia na mwanafalsafa pia. Miaka ya nyuma aliwahi kuwa padre(Dr. Slaa namba 2).
Vajameni mwaka huu tutaona mengi ambayo hayawahi kutokea.
Kwa mara ya kwanza ubunge CCM Njombe Mjini wapata watia nia wengi na mchanganyiko toka kada mbalimbali. Sasa wafikia 23. Kazi na uchapakazi wa Magufuli amewavutia watu wengi kuingia kwenye siasa za CCM.
Yupo Mwalongo mbunge mstaafu
Mwalimu Dr. L. Mwalongo
Mr. Mchami diwani CCM mstaafu
Mr...
BAadhi ya wabunge wasitaafu wanatumia kiinua mgongo waliachopata hivi majuzi kurubuni wajumbe na hicyo kuondoa keshima ya chama chetu.
Kila kona rushwa. Hii inaondoa usawa kwa wagombea ubunge mwaka huu. Itakuwa vigumu sana wasio na pesa kupata ubunge.
Tunaimba uongozi wa chama chetu ccm uwe...
Hata watumishi wa umma waliotumbuliwa kwa sababu mbali mbali tunao mtaani wamechanganyikiwa na wengine wamekufa. Je nao walikuwa na kiapo cha upadre? Hoja ya msingi hapa ni ECONOMIC SECURITY.
Kuna jamaa moja aliacha upadre miaka ya 2000. Sasa ni advocate/wakili, ni mhadhiri wa chuo...
Kuoa siyo ishu. Kuna mapadre wengi wa katoliki wameoa kisheria. Hasa wale waliohamia toka madhehebu mengine kama anglikani luthelan nk Pia hivi karobuni kanisa katoliki limeruhusu watu waliooa wawe mapadre ktk maeneo maalum ya AMAZONI, south amerika.
Mapadre wanaochanganyikiwa baada ya kuacha...
Mapadre na waseminari walioacha ambao hawana elimu dunia hubaki form4&6 leavers huku dumiani. Hivyo maisha yao huwa na changamoto kama wananchi wengine. Ila wale wenye elimu dunia kama sheria,walimu madaktar,manesi huishi maisha mazuri kama wananchi wengine wenye fani hizo na wenye ajira zao...
Nimeona leo TBC ikionyesha Rais Magufuli akiwa bandarini ambako kuna uozo mkubwa sana. Mimi ni mwanasheria ambaye pia ni mtaaam wa sheria za kodi.
TRA ni jipu kubwa sana. Hayo 'magari hewa' ambayo mmiliki hajulikani, na yamefichwa; wahusika wa kubwa ni watumishi wa TRA.
Madili hayo kisheria...