Habari ndugu zangu,
Yani leo hii nimeachwa apeche alolo kwa utaratibu wa kufuatilia loss report baada ya kupata mafuriko na kuondokewa na baadhi ya vitu vyangu muhimu, so nikajikaza na kasema niende kituoni sasa kufika pale naambiwa niende stationery ya karibu na pale kituoni.
Akili yangu...
Nimekua nikifuatilia tamthilia za Wakenya Na comedy zao huwa zinanirushisha kuliko izi za wabongo, yani kama comedy za wabongo naona ma shamba boy hapa home ndio wanazifurahia sana.
Kuna huduma pale kimboka ya wadada wanaouza nyau ni fake service,haiwezekani mtu umlipe ili umle mzgo anakuambia mbona hukojoi na anatishia kuondoka wakati ww wazungu ni kwanza wapo kitonga. Tunaomba serikali watusaidie Kwa hili.mitano tenaaaaa
za mihangaiko mabibi Na mabwana,Mimi ni kijana mwenye miaka 31 ni me nimekubwa na tatizo la miguu kuwaka moto hata kwenye vidole vya mguuni,baada ya tatizo nilikwenda hospital Na kupima pressure Na Sukari lakini majibu ya vipimo yalionesha kwamba sikuwa na tatizo kwa iyo nikapewa kutumia dawa za...
Wandugu nimekua Na bahati au sijui niitaje ila wanawake wengi wajawazito wamekua wakivutiwa Na mimi Na pindi wakijifungua wanakua hawanipendi tena,wengi huna Wananambia eti kipindi kile cha ujauzito nilikua nakupenda Na nilikua nataka unigegede na hii imetokea kwa wanawake wengi sana toka nipo...
Uchaguzi umekamilika kwa rais na wabunge pia na madiwani kutangazwa japo dosari nyingi zinaonesha uchaguzi ulikosa fairness na transparent kiukweli naumizwa sana na watu wanaoleta ushabiki kwenye mambo yanayogusa maisha moja kwa moja sasa wapinzani bungeni hakuna na waliopo wapo kuitetea...
Maumivu ya nn kwa Lissu maumivu yapo kwa sisi watanzania wapenda haki tuliopoteza muda wetu kupiga kura wakati nec wapo na matokeo yao mfukoni sasa tutaona nyie mnaoshangilia kama mtakua na favor yoyote.