Search results

 1. Mkya

  Arusha CCM kuijibu CHADEMA kesho viwanja mbali mbali

  baada ya tundu Lisu na silinde na mdeee kupita Arusha week hii nzima wakiwa na chopa kesho ccm wataunguruma viwanja zaidi ya sita 1 majengo 2 mbauda 3.kilombero 4.kwa chuesi 5. soko kuu 6.kijenge ya juu lengo kupongeza mchakato mzima wa bunge maaalumu la katiba iliyopendekezwa na kuwaomba...
 2. Mkya

  CCM arusha ongereni kuwa chadema nafasi ya naibu meya

  kitendo cha ccm kuwapa chadema nafasi ya naibu meya ni kitendo chakiungwana sana chadema wana wajumbe kumi na sita ndani ya baraza madiwani wao na wabunge wanaoingia halmashaur ccm na TLP wana wajumbe kumi na sita kama wangeingia kwenye kura leo basi wangetoka droo na hiyo nafasi ingebakia...
 3. Mkya

  CHADEMA wadundana Arusha ndani ya gari la matangazo

  Vijana Wa Red brigerd Wa chadema Arusha wakuongozwa na kamanda wao krisi ambaye ndiye kamanda wa Red brigerd Arusha jimbo wamepigana hadi kumwagana damu maeneo ya Ostabey unga LTD kuelekea Sombetini ambapo walikuwa wanatangaza mkutano wao Wa hadhara Baada ya kuumizana mziki ulizimwa ghafla na...
 4. Mkya

  UVCCM Arusha wafunga ofisi za Mkoa

  Juzi siku ya jumamosi uvccm mkoa wa Arusha walifungiana ofisi baada ya kubaini kuwa kuna ubadhilifu Wa shilingi milioni kumi na tatu ziliziliwa na Mwkt na Katibu wake Wajumbe walipokuja kwenye kikao na kuikuta hali ya pesa zao hazito zimeliwa waliende kununua kofuli na kuifunga ofisi Baada...
 5. Mkya

  Said Arfi (mbunge wa CHADEMA) aeleza sababu za kurejea Bungeni

  Mbunge wa Mpanda amesema hawezi endelea kuongozwa na mfumo wa kizamani zidumu fikra za mwenyekiti Mbowe. Ukikosana na Mbowe unaonekana wewe msaliti. Viongozi wa dini wameomba turudi mimi nina hofu ya Mungu siwezi kaidi ombi la viongozi wetu a dini sijafikia hatua ya kuwa mkaidi namna hiyo...
 6. Mkya

  CCM Mungu awabariki kwa kuijali nchi hii

  Ndugu wanabord napenda kuchukua nafasi hii Kama siyo fursa hii kukipongeza chama cha mapinduzi kwa Kazi kubwa ya kuijenga nchii hii tangu kitukombowe kutoka kwenye mikono ya wanyang'anyi wakoloni ambao waliongoza nchi hii kwa kuwanyanyasa babu zetu na Bibi zetu Lakini mwenyenzi Mungu alimtuma...
 7. Mkya

  Askofu na Rose Mhando wamtabiria Sumaye urais 2015

  Kakatika uzinduzi wa albamu ya kamata pindo la Yesu ikiyofanyika leo ukumbi wa Diamond Jubilee Askofu Dastani Maboya wakanisa la Assembulss of God ambaye amewataka watanzania kuwaheshimu wazee na kuwaenzi kwani hata kiti cha enzi cha Mungu kimezungukwa na wazee 24 Rose mhando baada ya uzinduzi...
 8. Mkya

  Kuijadili katiba kibanda Maiti ubungo ITV Star Tv nk ni ujinga na kujilisha upepo

  Ndugu wanabodi kinacho fanywa ccm na ukawa nikutufanya wajinga sisi wanchi maana midahalo yote na mikutano yote havina maaana ccm na ukawa waende bungeni wakazungumzie kule Ukawa wanasema kuwa wanataka ijadiliwe rasimu ya wariyoba kwani pale bungeni kuna rasimu mbili?? Napata mashaka sana na...
 9. Mkya

  Mbunge wetu Wa jimbo la Arusha pokea simu zetu

  Wanabodi Mbunge wetu mteue Wa jimbo la Arusha Godbless Lema tuliye mpenda Sana mwanzoni kabisa kampeni zake alionyesha kushirikiana na wanyonge lakini tumeanza kuona vitu tofauti Sana na tulivyo waza Machinga na wamama wasokoni tulikuchangia na kuzilinda kura zako mpaka ukawa Mbunge Ila...
 10. Mkya

  Mwigulu kuzipiga na Kigwangala

  Wana bodi mwezi Wa nane tarehe nane naibu Katibu mkuu ccm bara ambaye ameonyesha nia ya kutaka uraisi mwigulu atazichapa na Mbunge Wa nzega Dk Kigwangala ambaye naye ameonyesha nia ya kuutaka uraisi baada ya raisi Kikwete Tukutane uwanja Wa taifa name nane tuone nani atatoka bingwa
 11. Mkya

  Mbowe umeongopa kwenye taarifa yako ya mkutano mkuu Wa wilaya CHADEMA Hai

  Mbunge wetu Wa jimbo LA Hai Mh Freman Aikael Mbowe juzi alipokuwa akiwasilisha taarifa yake kwenye mkutano mkuu Wa jimbo la Hai chadema alisema yeye binafsi na mfuko Wa jimbo ametoa kiasi cha sh milioni mia Mbili hamsin na sita Mbunge Mbowe akichangia kiasi cha sh. Milioni mia moja na sita Mh...
 12. Mkya

  Ilani ya na ahadi za Kikwete Arusha zimetekelezwa kwa 100%

  Akihojiwa jionini hii Mwenyekiti wa UVCCM Arusha mjini Martin Munisi amesema Ahadi zote za Raisi tayari na ilani ya uchaguzi ya ccm zimetekelezwa kwa hapa Arusha Square Arusha one Radio
 13. Mkya

  Msaidizi wa nyumbani wa kike

  Kama kuna mtu anataka wadau mambo ya nauli mpaka ulipo ni juu yako mshahara nilazima uanzie 30000 mm nakula kilemba 100,000
 14. Mkya

  Naibu waziri wa serikali za mitaa Malawi (Godfrey Kamanya) ajiua nyumbani kwake

  Aliyekuwa waziri wa serikali za mitaa Malawi amejiua baada ya kupata taarifa za kushindwa uchaguzi mkuu.Kifo chake kimetokana na kujipiga risasi akiwa nyumbani kwake. Source: BBC Swahili, Habari Zilizotufikia hivi punde My take: 2015 tutegemee mengi kwa mawaziri na manaibu waziri kujinyonga...
 15. Mkya

  CCM Na CHADEMA Arusha kuendesha tamasha LA pamoja

  Ccm na chadema Arusha watakuwa na tamasha LA pamoja litakalo ratibiwa na bavicha na uvccm kutakuwepo na Mpira wa miguu na baadae kuvuta kamba Mwisho ni pambano kabambe LA ngumi kati ya Mbunge Lema wa chadema na mwanachama waccm na rafiki wa karibu na Lema Jumanne Mjusi Hakutakuwa na...
 16. Mkya

  Mwenyekiti UVCCM amtaka DC Makunga kuwawajibisha haraka viongozi wa CHADEMA Hai

  MWENYEKITI wa Uvccm wilaya ya Arusha mjini ndugu Martini MUNISI amemtaka mkuu wa wilaya ya Hai kuwawajibisha haraka sana viongozi waliyo uza chakula cha njaa wakiongozwa na MWENYEKITI wa halmashauri ya wilaya ya Hai pamoja na madiwani wenzake wa CHADEMA haikubaliki hata kidogo serikali ya CCM...
 17. Mkya

  Ridhiwani Jakaya anawasili muda huu kuchukua fom ya ubunge

  Baada cc ya CCM kumteua Riz kuwa mgombea wa ubunge kupita CCM Jana usiku mchana huu Riz anaelekea ofisi za Halmashauri kwenda kuchukua fomu ya ubunge Chalinze.
 18. Mkya

  Shule ya Njiro Korona aliyoifunga Lema hajatoa ahadi azoahidi mpaka leo

  Jana kwenye mkutano wa hathara sombetini shuleni mwenyekiti wa uvccm Arusha mjini alimtaka mbunge lema kabla ya kuwashawishi wanasombetini kumchagua bananga akatekeleze ahadi alizotoa Shule ya Korona baada ya kuvunjasheria na kuamuru ifungwe Mwenyekiti huyo aliendambali pale alipo waambia...
 19. Mkya

  Ccm Arusha wa mjibu lema chatanda katibu wa ccm mkoa

  Leo ccm imemjibu lema mbunge aliye tangaza maandamano Arusha jumatano Chatanda amesema tuwakwepe chadema kwenye fujo msiwaguse maana baada ya lema kuelemewa ameanza kumlaumu RPC kuwa hapokei cm yake kwasababu hiyo anaandamana polisi msipige mabomu sombetin. Maana nia na lengo la lema...
 20. Mkya

  Mh. Lema aleta kikosi cha watu 34 toka Mara kushiriki maandamano ya kimya kimya kama alivyoyaita

  Maandalizi ya maandamano ya lema Arusha ya kimya kimya kama alivyo yaita yeye yanaendelea vizur baada ya jana mida ya saa moja usiku gari aina ya costa kuleta vijana thelathini na nne nakuwashusha gest ya Nairobi shine Ngusero vijana hao wanaunganika nawenzao waliyo kuja siku ya ufunguzi wa...
Top Bottom