Search results

 1. Alphonce Kagezi

  Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke aache kutisha na kufedhehesha Waandishi wa Habari

  Hayo majibu hutolewa na walio lewa madraka au alipigiwa simu akiwa katika hali ya msongo mawazo. Yote kwa yote ni majibu ya kuudhi yasiyo stahili kutolewa na kiongozi au mtendaji wa shughuli kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
 2. Alphonce Kagezi

  Guru la Sheria (Halima Mdee) ameishinda Kamati Kuu ya CHADEMA

  Swala la kupewa mda wa kuandaa utetezi dhidi ya tuhuma zozote Duniani haliepukiki. Tatizo hasira na mihemko inayochochea fukuto la tanuru liwakalo moto ndilo tatizo kubwa
 3. Alphonce Kagezi

  Katiba mpya ni mhimu miaka ijayo

  Kulingana na hali ilivyo kisiasa kijamii kiuchumi Tanzania na Duniani kwa ujumla Ni mda sahihi sasa mchakato wa rasmu ya Mh Jaji J Walioba .Ilejeshwe maoni yangu . Mchakato huo kwa kuwa rasmu ya Walioba ipo sasa Watalaam wa Sheria walioko kwenye mfumo wa umma (majaji,Mawakili wa selikali) na...
 4. Alphonce Kagezi

  Uchaguzi 2020 Kampeni za uchaguzi Tanzania

  Amani ni tunu yetu Watanzania kuipoteza ikatuponyoka tutalia kilio kikuu cha kusaga meno tangu mimba hadi wazee. Kila mmoja aiombee Tanzania ipite salama kwenye kikaango uchaguzi mkuu. Amani itamalaki. Haki idumishwe bila kumpokonya mwenye nayo. Vyeo ni dhamana za mda tu . Heshima hutoka kwa...
 5. Alphonce Kagezi

  Nashindwa kumtofautisha Tundu Lissu na Jonas Savimbi

  Nisikitike kuona Watanzania mnaanza kutunishiana misuli mitandaoni hali hamko face to face je mgeonana safari yenu ibgekuwa salama kweli? Mauaji ya kimbari na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilianza kwa maneno na mwisho kukamiana chuki ikataga mayai ikatotolewa kifaranga aitwae mauaji ya kimbari...
 6. Alphonce Kagezi

  Kizazi cha wenye kuijua vyema Tanganyika kinakwisha

  Historia zote zihuzo Tanganyika,Zanzibar,Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,msisitizo uanzishwe ili history zote zifundishwe mashuleni kwa kuvijenga vizazi vyote vya Tanzania kuwa ktk uelewa wa pamoja kusiana na Tanzania
 7. Alphonce Kagezi

  1995: Siku Jakaya Kikwete alivyomuinua kitini Rais mstaafu Nyerere

  Ohh hivi utamaduni huu ulioasisiwa miaka hiyo . Kwenu wana CCM wenye tamaa ya madraka mnauelewa?mnaushi?MNA udumisha?MNA uamini?au nyinyi ni akina tamaa mbere na adui rushwa huufunika utamaduni huu?
 8. Alphonce Kagezi

  Mnaotumia Voda, Tigo ama Airtel katika bando, vipi huko hali ikoje maana TTCL bando halikai kabisa

  Voda imeisha pikuliwa ila tunaitumia kutokana na kuwa wengi ninao husiana nao wako na voda. Airtel,Togo,Holotel kwa vifurushi vya internet wanajitahidi ingawa pia holotel na Togo ziko sawa sana na unafuu pia
 9. Alphonce Kagezi

  Siku ya Sheria: No mention of Tundu Lissu!, Je ni amesahaulika tu kutajwa, amepuuzwa au ameepukwa?!.

  Neno (Wasiojulikana)lina ukakasi na lina ibua maswali mengi yasio na majibu yalio sahihi. Kimsingi makoso ya nayohusu uharifu dhidi ya binadamu yanapotokea uchunguzi wake wakati ukiendelea neno wasio julikana lisitumiwe sana kwani hili laweza kuwa chaka kubwa la kuuficha ukweli wa tukio na...
 10. Alphonce Kagezi

  Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

  Sasa Tanzania iko grad ya Uchumi wakati bado hujafumbuliwa Mh JPM anatupeleka wapi? Labda ludisha mkanda nyuma zilejee kumbukumbu kwa usahihi utaiona njia tunayoindea
 11. Alphonce Kagezi

  Uchaguzi 2020 Hii teua teua ya Wakurugenzi: Je, Rais Magufuli anapanga safu ya watangaza matokeo?

  Wakurugenzi bila shaka watatangaza matokeo yalioko kwenye mjumuisho wa kura zote. Sio sawa kujadri uteuzi wa mwenye mamlaka ya kuteua kama ilivyo kwa mjibu wa Katiba ya Jamhuri ya Tanzania.
 12. Alphonce Kagezi

  Zanzibar 2020 CCM Zanzibar kama ni kweli mmependekeza iwe hivi basi mnaenda kutengeneza Makundi na Mpasuko baina yenu

  Mpasuko Zanzibar ukitokea CCM tufahamu kuwa watakaoleta makundi basi watakuwa na mtazamo wa ubinafsi wa lao ndilo lazima liwe wakati sio sahihi kuwa na mtazamo wa aina huyo. Tukumbuke mnaweza kuomba ridhaa wengi ili mmoja wenu awe ndie. Basi ni vema wa tia nia wote nia zao wachukulie kama...
 13. Alphonce Kagezi

  Uchaguzi 2020 CCM yazidi kujihakikishia ushindi Uchaguzi Mkuu Kanda ya Ziwa

  Hivyo ndio CCM na utekelezwaji wa Ilani zake chini ya Selikali ya Awamu ya 5 iliokabidhiwa jukumu LA kuitekeleza Ilani
 14. Alphonce Kagezi

  Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

  Ushauri kwa Mheshimiwa Mwenyekiti CCM Taifa pia akiwa Ndie Raid wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015-2020 na 2020-2025 inayofuata Kuusema ukweli asieziona juhudi zako na Uzalendo wako Akajinyongee makamasi . Niombe kusema kero yangu moja nitamalizia maoni. 1-Chama Cha Mapinduzi ndicho...
 15. Alphonce Kagezi

  Mambo gani umewahi kumuomba Mungu na akakujibu papo hapo?

  Taarifa ya ajari ambayo ilionye kifo kimesogea sana. Ndipo nilimtaka Mungu aingilie kati na mapenzi take yatimizwe. Ghafla nikasikia sauti ikijibu hakika hiyo ni ajari unagogwa na gari hiyo na unagongwa ila jipe moyo wa imani nitakulinda hutakufa ingawa utakanyangwa na kuvunjwa mguu wa kushoto...
 16. Alphonce Kagezi

  Mkojo wa mjamzito: Biashara nyingine ya siri isiyojulikana na wengi

  Kweli nikupe ongera kwa kufikiria na kupata hili na kupost pia. Ulichopost kina ukweli ndani yake wako wengi wakina mama wa aina hiyo ya kihuni. Wako na wengine mimba moja baba wa mimba hiyo wako (10) na wote wanaitumikia hiyo mimba na wajuani na kadi za clinic ya mimba zina kuwepo idadi hiyo...
 17. Alphonce Kagezi

  Utapeli kwa kushirikiana na jeshi la polisi?

  Nadhani ikiwa mtoa post ana evidence zisizo tia shaka kuhusiana na post yake inayoelezea utapeli. Ni vema awasilishe Jeshi la polisi au takukuru au usalama wa taifa kwa uchunguzi zaidi. Ikiwa maelezo alietoa post yatakuwa na evidence toshelezi post hii itashughulikiwa kikamilifu
 18. Alphonce Kagezi

  Je, ni kweli maambukizi ya COVID-19 yamepungua nchini au ni propaganda tu?

  Ok Kwa mjibu wa Matamko na taarifa ya Sekali Tunapaswa kuamini kuwa maambuki ya covid 19 yamepungua Hili halina mjadala wala mjadala Tuiamini Selikali yetu na Watendaji wake.
 19. Alphonce Kagezi

  CORONA haipotei leo wala kesho. Mtumishi wa Umma jiandae na yafuatayo

  Hivi punde, Watalaam wa afya na watafiti wanastahili kupongezwa kwa kutupambania na kujitoa kuhudumia wenzao bila stigma na hofu ya kuwa affected Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom