Akiendeleza vita vya maneno kimashairi pamoja na ucheshi katika misemo yake, Bepari la kihaya ama waweza muita Mpoki kutoka kundi la Orijino Komedi awamu hii akiwa amemshirikisha Ben Pol ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'Umiza Kichwa'
Unaweza kuupata kupitia link hapo chini
Download | Mpoki ft...
Langa alifanikiwa kuumalizia wimbo wake ya mwisho ambao zaidi ulikuwa ukiyalenga/ kuongelea maisha yake kiujumla.
Siku akiifanya ngoma hiyo ndio siku aliyokutana na Julio Batalia aliyekuwa mshiriki wa BBA 2012 na kufikia hatua ya kumaliza kipande chao na kumsubiria TID ambaye mwaka 2013 siku...
Baada ya kimya cha Ally Kiba sasa Mtu na mdogo wake wakizifuata nyayo za Peter & Paul ama P Square, wameachia wimbo wao mpya 'Pita Mbele' kama kundi wakijiita 'Kiba Square...
Kilichofanyika humo ndani kama wataka kukifahamu waweza usikiliza / kuupakua wimbo huo kwenye link hapo chini...
Sitaki kuisifia sana wala sitaipondea ila huu hapa ni wimbo wake mpya kijana anayejitambulisha kama mwanzilishi wa Swag flow Tanzania
NOLNIZ: Download | Mr Blue - Mapenzi [Audio]
Sent from my iPhone using JamiiForums