Kumekuwa na wimbi kubwa la wachezaji wanaotoka league kuu Tanzania bara na kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi wakiishia kusugua benchi na kupoteza ramani.
1: Shaban Idd chilunda
2: Eliud ambokile
3: Kichuya
4: Adam salamba
Wengine unaweza kuongeza idadi. Tunakwama wapi Watanzania?
Utakuta ni kijana rijali shababi ana future nzuri ameweka misingi bora kwa ajili yake na familia yake lakini anakuja kukosea kwa kuoa mke wa mtu na kuishi na familia ya mwanaume mwingne
Maandiko matakatifu yanasema dhambi inayoweza kupelekea ndoa kuvunjika ni uzinzi tu na hii ni pale ambapo...
faculty gan ni wide na bora kati ya hizi
Information technology
Information communication technology
Computer science
Computer engineering
Software engineering
Ni mwanamke mcha Mungu mcheshi ana akili ananiheshimu na kunipenda pia anawapenda sana ndugu zangu nimemuumiza kihisia Mara kadhaa lakini bado upendo wake kwangu unazid kuchanua.
Hana mwonekano mzuri na Mimi sina hisia nae lkn naona kama nikiamua kuanza nae maisha atakuwa mke bora na mama bora...