Unaweza kupata shida kuona athari ya hili mpaka usafiri kidogo.
Ukimwambia mtu kwa mfano unapata Mshahara wa Mtz kwa mwezi wa Tsh milioni moja anashtuka kwa kuwa yeye huo ni mshahara wa mwaka.!
1 Usd=1700 Tsh
1 south African Rand =159
1 Usd = 10 South African Rand
1 Kenyan Shs = South...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyata anatarijiwa kuappear mbele ya mahakama the Hague muda wowote. Habari zilizothibitishwa kutoka Kenya ni kwamba wabunge na wananchi wengi yapata mia tatu wanatarajiwa ku 'show some love' kwa rais wao kwa kuambatana naye the Hague. SHebu tujadili wadau kama hii ni...
Unampenda, there's no shadow of doubt about it. Ila alikutenda. Yes , and it's still recurring. How can you ever forget that night you found her between the sheets with some other dude. Should you forgive and forget-Especially now that you are in the process of moving on, almost there and she's...
Nakumbuka nilirudi kijijini Mang'ula,Morogoro Mwaka 1999 nikiwa form 5. Lengo ilikuwa kusalimia ndugu na jamaa. Nikakuta huduma za simu zimeanza kutolewa kwny vibanda vya wafanyabiashara. Cha kushangaza ilikuwa huduma ya 'kudipu' (kama walivyokuwa wanaita kubeep)' ilikuwa nı Tshs 500.
Kwa...
Kenyans voted funniest looking in Africa
September 1, 2014
With Kimathi Mutegi
Kenyans were last year voted the funniest looking people in Africa. With 48 participating nations in the Annual Most Beautiful People of...
Habari zenu wakuu wangu,
Naomba kujulishwa machache khs Matumizi ya Crdb Master Card nje ya nchi.
1. Gharama zao zikoje makato yani charges ukitoa hela kwa atm ya bank nyingine nje ya nchi?
2. Pia,nimeona kuna huduma ya kuswipe..mfano,unaenda shoprite unanunua bidhaa halafu unawapa...
Salaam,
Naombeni msaada. Nimeenda kununua wameniambia laki 2 na nusu..hapo bado installation ya window 7..
Nimehangaika nimepata window 7 tena haina key so nimeskip activation. Shida imebaki Ms office. Je kuna mahali naweza download? ama kama kuna mdau anayo Cd yake akinisaidia ntashkuru...
ok,not a very good place to write for self. I thought It cn help me pass the night. All this anxiety, and nervousness!
A most crucial thng abt my life,my future 2rw..It's going to shape my future,my everythng.
So God,do not disappoint,please. You knw hw much of the night am going to spend...
It was announced here. I followed the link and applied. Months ago. It was a long wait I almst forgot about ij.
Well, now so you know, I signed a contract!
Thanks for whoever posted it. And thanks for the tips you guys keep giving us here. They were helpful during the Interview.I am a...
Habari wadau?
napataje drivers za windows
7? kuna desktop hapa ina windows xp
proffessional 2002. Nikataka kuweka
kaspersky anti virus, ikasema system
software ni old. Nikawa nataka
kupgrade to windows 7, wakasema
haiwezekani kuupgrade kutoka xp mpk
windows7, labda ufanye clean install...
Wasalaam.
Dhumuni la bandiko hili ni kutaka kujua makato anayopaswa kukatwa mwajiriwa wa serikali. Lengo ni kujua take home inabaki ngapi baada ya makato stahili.
1. PAYE ni asilimia ngapi?
2. Social security je?
3. Na NHIF ni kiasi gani?
4.Je makato haya yanatofautiana kulingana na ajira...
Wasalaam,
I got a job interview tomorrow for an academic post. Can you be nice and share tips for prep?
See,It's coming after years since I last walked into an interview room. And i desperately need this one I could catch a grenade for it.
So,You'all can imagine how nervous I am..I read over...
One week after the first episode of
the talent search show Tusker
Project Fame Season 6 went on air
from the academy in Nairobi, there
have been twists and turns in
events.
The Beat has reliably learnt that
organisers at the academy have
dropped Tanzanian judge, musician
Zahir Ali...
Wasalaam,nimepokea ujumbe huu.Naombeni taarifa kwa anayejua. Muathirika yuko Mbeya.Kiroho safi yani.
"Shalom brother! Kuna kaka yangu ameathirika sana na madawa ya kulevya mpaka amekuwa kichaa and I was thinking je iko hospitali inayoweza saidia kuondoa sumu hiyo? Please if you know anything...
Update 26th October 2013: 1st eviction night, Uganda's undercover Brothers and Kenya's Mishel are Out!!
Update: Poor Tanzanians! two are evicted! We're left only with Hisia and That pretty lady wth powerful vocals,Angel.
UPDATE:Show ndo imeanza tena rasmi usiku wa leo. Tunategemea...
Wasalaam nyote.
Natumaini kama binadamu sote tunakuwa na hasira ama huzuni mara kadhaa.
Swala ni je,tunakabiliana nazo vipi?Ningependa kujua kutoka kwa wataalam wa saikolojia,afya ya akili na wengne nyote kama binadamu.
Naamini mawazo yenu yanaweza kuwa tiba na kuokoa roho ya mtu leo hata...
Juzi kwenye hivi vipindi vya TV
ambavyo wadada wameshika hatamu
kutangaza, na huwa wanawauliza watu
mambo mengi tu nilisikia kali. Mdada
alikuwa kamkaribisha daktari wa
hospitali wa wagonjwa wa akili,
ambaye alielezea kuwa mtu anaweza
akaonekana mzima kabisa , lakini
ukimuuliza maswali...
Wasalaam..
Nitaenda straight kwny mada.
Wakati tuko undergraduate mkoa huu,nligundua classmate wangu ni muathirika wa ukimwi yani she's HIV+.
Nilijuaje?
Kaka yangu ni Daktari yuko hospitali ya mkoa. Alinitahadharisha akisema anajua naweza kuwa natoka na mademu darasani kwangu.Akaniambia...